Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Usikariri mkuu Anfield hakuna ugumu wowote.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu kama hakuna ugumu wowote mbona msimu ulioisha Liverpool aijafungwa hata mechi moja anfield ?
Naona utakuwa umekariri Liverpool sijui ya miaka gani .
Liverpool ya klopp sio ya miaka hiyo ambayo tulikuwa vibonde,Liverpool ya sasa ni moto
Mtaumia sana roho ,
Anfield sio sehemu salama kwa timu pinzani
Timu pekee msimu uliisha epl aijafungwa nyumbani ni Liverpool pekee.




Sent from my iPhone using JamiiForums
 
wenzio huwa wanatumia facts & stats ku back up arguments zao. jifunze kutoka kwa hao chief.

Kama umewahi kuangalia mpira kwenye vibanda watu wa namna hiyo wamejaa. Anabisha kwa mikelele bila facts wala stats, ukimfungulia asome anakwambia hiyo imeandikwa na mtu tu.
 
Mkuu hizi ni past tu ..ngoja tuone leo Liverpool atatokea wapi. Briton wamebadilika sana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Wamebadilika nini? Kama kumfunga man u mbona hata msimu uliopita walimfunga.

Liverpool pia wamebadilika sana kwenye eneo lao la ulinzi na timu iliyotumia hela nyingi kwenye usajili epl msimu huu,briton wamefanya kipi Kwenye mabadiliko yao?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu me nazungumzia Hallison kufungwa zaid ya mbili leo haijalishi mtashinda au mtafungwa ..leo kunawezekana kuwepo kwa magoli pande zote mbili.

Halafu kutokupoteza nyumbani msimu uliopita haina maana sana ..leo unaweza ukapoteza tu

Mpira na timu huwa ni vitu vinavyobadilika kila dakika.

Sent using Jamii Forums mobile app

Naona Hapa Umekuwa Mpiga Ramli Kama Yahya Husseni
 
Mkuu me nazungumzia Hallison kufungwa zaid ya mbili leo haijalishi mtashinda au mtafungwa ..leo kunawezekana kuwepo kwa magoli pande zote mbili.

Halafu kutokupoteza nyumbani msimu uliopita haina maana sana ..leo unaweza ukapoteza tu

Mpira na timu huwa ni vitu vinavyobadilika kila dakika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nikuombe sana Mzee wa kaya. Hebu angalia you tube clip ya Allison Becker" the crazy server and reflexes" utakubali ubora wake.
Anawatamanisha fowadi kupiga mijishuti.
Anawapa morali mabeki wake. Hebu jaribu tu.
Ataongoza clean sheet EPL

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Allison huwezi kusema ni bora kwa kipimo cha game mbili za mwanzo dhidi ya Liverpool ambazo zilionekana ni nyepesi sana. Allison hajakutana na akina Iwobi, Willian, Aguero na timu ndgo ndgo kam Leicester, Burnley n.k ambazo zina winga wenye uwezo wa kufunga vizuri tu. Bado Uefa uko inamsubiri.

Hata hivyo Karius alijitahidi sana sema nyie mashabiki ndo mmemuangusha. Hivyo Hutu Allison bado hajakutana na mikiki mikubwa mikubwa maana ligi ndo kwanza game ya tatu hii.

Bado sana Ku improve uwezo wa Allison.

Sent using Jamii Forums mobile app

Alisson Hapimwi Kwa Mechi Hizi Mbili Kama unavyodhania Wewe! Alianza Kupinwa Tokea Yupo Roma na Tukaona anafaa Na ndiyomana Tukamnunua.
Hivi EPL kuna Mikiki Gani Mikubwa Kuliko Aliyokutana Nayo Champion League?
Au Hukumbuki Kama Alisson akiwa Na Roma aliifunga Chelsea Yenye Hazard, Kante, Morata, Willian n.k? Sasa Kuna lini Jipya EPL lakumshinda Wakati Aliwazuia Hao Wachezaji Wenu Bora Kwenye CL?
Jifunze Kukumbuka Alisson sio Amateur Kama unavyoamini Bali Ni Full experienced Goalkeeper.
 
Mkuu ile ya CP ukicheki kwa makin Liverpool ilizidiwa sema Palace hawakuwa na umakini wa kutosha ..kama wangekuwa makini kama *Briton City* basi ile game ingeisha dro ya mbili mbili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kujitoa ufahamu kwa ushabiki wa kijinga Crystal Palace walituzidi nini
Ball possession ilikuwa 37 % kwa Palace 63% kwa Liverpool
Shoot on target Palace alikuwa na 2 Liverpool alikuwa na 8 tulizidiwa vipi Acha mihemuko
 
Acha kujitoa ufahamu kwa ushabiki wa kijinga Crystal Palace walituzidi nini
Ball possession ilikuwa 37 % kwa Palace 63% kwa Liverpool
Shoot on target Palace alikuwa na 2 Liverpool alikuwa na 8 tulizidiwa vipi Acha mihemuko

Huyo Kaangali Mpira LiveScore ndiyo mana akawa anapayuka! Angelikuwa Kaiona Liverpool Live ikicheza basi asingeliropokwa.
 
Jamaa toka nikuone kwenye Uzi wa Man Utd unakomalia Pogba kuuzwa, niliona wewe ni mzee wa kuchangamsha genge, siyo wa kukuchukulia serious.

Natanguliza kukupa pole, Liverpool FC itakusababishia madonda ya tumbo kama ukiichukia.
Haaha mkuu usichukulie siriyasi sana maoni yangu ..hata hivyo unatakiwa usiwe siriyasi sana maana huu ni ushabiki tu.

Kiukweli liverpool mimi siichukii ni ushabiki tu ili kupeana mauzoefu kuhusu football. Mimi ni mutu ya utani sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom