Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Kumbuka huyo huyo Allison alifungwa na Mane na Salah goli tano wakati akiwa hapo hapo Roma![]()
kwa iyo sio kipa wa kusema kuwa anaweza kuwa kipa bora wa EPL ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Siku Hile Roma Hata Wangelimueka De Gea Wa Last season (sio huyu Wa sease hii) basi tungeliwafunga 5 au Zaidi Kwani Tuliwazidi Kila idara kiasi ya Kwamba Kipa hakuwa na namna ya Kuweza Kudhibiti chochote kile.