OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Jurgen ambaye hajawapa kombe lolote??? Kuwa siriyasi mkuu.In Jurgen we trust
Sent using Jamii Forums mobile app
Jurgen ambaye hajawapa kombe lolote??? Kuwa siriyasi mkuu.In Jurgen we trust
Mkuu kumbuka kuna fans wa manure hupita pita apa ..hivyo wakiona hii komenti itakula kwako..Wamebadilika Kwasababu Wamemfunga Manure au?
Hivi unadhani sisi Tuna Beki anayeitwa LindaOff na Mshambuliaji anaeitwa Sanchizi?
Hahaha Hallison ajiandae leo kuna goli zaid ya mbili anaweza chomwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Liverpool hii ina depth na quality ya kugomabania ubingwa na cityTuna Kikosi Cha hali Mbili....
1) Kikosi cha Kushindania Kombe Kwa Shart la Kuwa Wachezaji Wetu Wa FXI Wacheze Michezo yote 38 bila ya injury wala rotation. (Haitowezekana).
1) Kikosi cha Kugombania Top Four Kwani in case of injury or rotation hatuna Back up Wa Kuweza Kutupa Ushindi au Kubadilisha Mchezo. (Hili linawezekana).
Haaha mkuu usichukulie siriyasi sana maoni yangu ..hata hivyo unatakiwa usiwe siriyasi sana maana huu ni ushabiki tu.
Kiukweli liverpool mimi siichukii ni ushabiki tu ili kupeana mauzoefu kuhusu football. Mimi ni mutu ya utani sana!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kumbuka kuna fans wa manure hupita pita apa ..hivyo wakiona hii komenti itakula kwako..![]()
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Liverpool hii ina depth na quality ya kugomabania ubingwa na city
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliison sidhani kama atafikisha gemu kumi bila kuchomwa ..kwa gemu ya leo tu kuna uhakika wa kuchomwa goli mbili.Nikuombe sana Mzee wa kaya. Hebu angalia you tube clip ya Allison Becker" the crazy server and reflexes" utakubali ubora wake.
Anawatamanisha fowadi kupiga mijishuti.
Anawapa morali mabeki wake. Hebu jaribu tu.
Ataongoza clean sheet EPL
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka huyo huyo Allison alifungwa na Mane na Salah goli tano wakati akiwa hapo hapo RomaAlisson Hapimwi Kwa Mechi Hizi Mbili Kama unavyodhania Wewe! Alianza Kupinwa Tokea Yupo Roma na Tukaona anafaa Na ndiyomana Tukamnunua.
Hivi EPL kuna Mikiki Gani Mikubwa Kuliko Aliyokutana Nayo Champion League?
Au Hukumbuki Kama Alisson akiwa Na Roma aliifunga Chelsea Yenye Hazard, Kante, Morata, Willian n.k? Sasa Kuna lini Jipya EPL lakumshinda Wakati Aliwazuia Hao Wachezaji Wenu Bora Kwenye CL?
Jifunze Kukumbuka Alisson sio Amateur Kama unavyoamini Bali Ni Full experienced Goalkeeper.
kwa iyo sio kipa wa kusema kuwa anaweza kuwa kipa bora wa EPL ..Mkuu amini kwamba Kocha Sarri ndo atakuwa kocha bora ndani ya hii misimu mitatu inayokuja.Sio wa manure tu, hata wale wa yule kocha mvuta sigara na ugoro hupita hapa.
Ataubwia ugoro sana mwaka huu yule babu
Poa bro tuko pamoja ..ila leo nitakuwa Briton City.Nakwelewa sana, ndo maana nasema wewe ni moja ya washabiki wa kuchangamsha jukwaa, mtu asipokuelewa anajikita anapanic analeta statistics kumbe hata huzihitaji.
Pamoja sana mkuu.
Kumbuka huyo huyo Allison alifungwa na Mane na Salah goli tano wakati akiwa hapo hapo Roma![]()
kwa iyo sio kipa wa kusema kuwa anaweza kuwa kipa bora wa EPL ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliison sidhani kama atafikisha gemu kumi bila kuchomwa ..kwa gemu ya leo tu kuna uhakika wa kuchomwa goli mbili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Manne na Sallah ni hadithi nyingineKumbuka huyo huyo Allison alifungwa na Mane na Salah goli tano wakati akiwa hapo hapo Roma![]()
kwa iyo sio kipa wa kusema kuwa anaweza kuwa kipa bora wa EPL ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu amini kwamba Kocha Sarri ndo atakuwa kocha bora ndani ya hii misimu mitatu inayokuja.
Kuanzia msimu huu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu amini kwamba Kocha Sarri ndo atakuwa kocha bora ndani ya hii misimu mitatu inayokuja.
Kuanzia msimu huu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio mihemko mkuu ..izo takwimu zinaweza kubadilika mkuu ...Liverpool akawa na BP 37% na Briton akawa na 63% ..hii game ya leo sio rahisi kihivyo mkuu.Acha kujitoa ufahamu kwa ushabiki wa kijinga Crystal Palace walituzidi nini
Ball possession ilikuwa 37 % kwa Palace 63% kwa Liverpool
Shoot on target Palace alikuwa na 2 Liverpool alikuwa na 8 tulizidiwa vipi Acha mihemuko