SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,923
Katika Maudhi niliyowahi Kuyashuhudia Hapa Liverpool Ni Kuona Kikosi Kikiwa na Striker Varonini, Balotelli, David Ngog na Benteke.
Yani Kuanzia Mwaka 1992 makocha Walikusudia Kuifanya Liverpool iwe sawa na Bolton! Hivi Hawa ndiyo Kweli Wachezaji Wa Kusaini utegemee Mafanikio?
Halafu Kulikuwa na Mpumbavu Mmoja Yule Damien Comolli Wakati Alikuwa Ni Sporting Director wetu basi Alikuwa akiokota tu Wachezaji na ndiyo Akatuletea Hao Kina Carroll, Jonjo, Maxi Rodriguez, Kyrgiakos na Dosena.
Yani baada Ya Kuja Huyu Michael Edwards basi Ni Starehe tu.
View attachment 844969
View attachment 844971
Yaani umefanya nicheke sana mkuu!!!
Eti hawa ndiyo aina ya wachezaj tuliokuwa tunawaeka kwenye first eleven kwenda ku face big games!! Hasa hasa huyo Ngog
Yani Kuanzia Alipoanza Kukamata Timu Roy Hogson, Dalglish na Rodgers Basi Wachezaji Wao Wote Waliowasajili Ni Wawili tu Ndiyo Naweza Kuwarate Kama Wachezaji na Ndiyo Wanaoweza Kucheza Katika Kikosi Hichi Cha Klopp.
Nao Ni Suarez na Firmino... Ukitoa Hawa Wawili Basi Waliobakia Wote Ni Magarasa Ya Kucheza Simba na Yanga! Yani Mtu anaruliza Akili ikisha anatuletea Striker Lambert??????
Wewe umekua na Klop misimu mingapi???Wewe ukishamaliza mbwembwe zako Utakaa Kimya Coz Kile Kigenge Chenu Na Msimu ujao Mutacheza Uropa nawahakikishia Subiri ligi ichanganye tu Mutaanza Kulia na Sarri.
Leo naona umeongea kwa unyenyekevu mkuu. Umetofautiana na kina malafyale wanajiakikishia ubingwa kila msimu unapoanza. Mwisho wa siku wanabaki kunamisha kichwa chini. Kwa upande wangu naweza sema hizi timu 3. Mmoja Kati yao atanyanyua kwapa msimu huu....!!Sio Kwamba Sijiamimi Mkuu!
Mimi siamini Utabiri! Kwahiyo Si mtu Wa Kutangaza Kushinda Game kabla sijaicheza! Ninakiamini Mimi Ni Kile Kinachotokea Baada Ya Dakika 90 au 120.
Na ndiyomana Mimi Hata Siku moja Hunikuti Kutangaza Kuchukua Kombe Kabla Ya Ligi haijaanza.
Na Ninachoamini Mimi Ni Kwamba Mtu yeyote unayemsika anasema na Kujihakikishia Kuwa Msimu huu atabeba Kombe Kwenye Timu Yake basi Huyo Hajui Mpira. Kwasababu yeye Ni sawa na Mganga Wa Kienyeji tu na Ndiyomana haangalii Kuwa Mpira Ni Mchezo Wa Mahasebu, Makosa, Uimara Wa Timu, Mbinu, Fitness na Utayari. Factor moja tu Kati ya Hizo inaweza Kukunyima Ubingwa Hata Kama Una Kikosi Bora Kiasi gani.
Mtu anaejua Mpira Maranyingi Husema Msimu huu Nina matumaini Ya Kubeba Ubingwa... Na Sio Kujihakikishia Kuwa lazima Ataubeba kama wanavyosema baadhi ya Watu utafikiria Matokeo ya Mchezoni wanayapanga wao.
Mimi Ni Mshabiki Wa Liverpool lakini Kama Mshabiki Wa Mpira basi Msimu huu Naipa Nafasi Man City ya Kubeba Ubingwa Wa EPL... Lakini Sisemi Kuwa Lazima itabeba Bali naipa nafasi tu Kutokana na Uimara Wa Timu Yao. Kwani Kama Nilivyotaja Hapo juu zipo Factors ambazo zinaweza Kumkosesha Ubingwa.
Kuna yule mgiriki mmoja alisajiliwa kama beki wa kati, kilikuwa kioja ! Jina silikumbuki, ila ni moja ya watuwalionikera sana. At least yule mreno mwenye tattoo nyingi !Tumetoka mbali sana mkuu! At some point the situation at the club was so hopeless and grim to say the least.
Imagine eti Rafa was sacked na yule babu wa Crystal Palace - Roy akawa appointed. Akawasajili akina Jonjo
Hakukaa sana akatimuliwa akaja King Kenny na uzee wake akasajili mauzauza ya akina Charley Adams!! Alichofanya poa ni kumleta Suarez tu
AhahahaKuna yule mgiriki mmoja alisajiliwa kama beki wa kati, kilikuwa kioja ! Jina silikumbuki, ila ni moja ya watuwalionikera sana. At least yule mreno mwenye tattoo nyingi !
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna yule mgiriki mmoja alisajiliwa kama beki wa kati, kilikuwa kioja ! Jina silikumbuki, ila ni moja ya watuwalionikera sana. At least yule mreno mwenye tattoo nyingi !
Sent using Jamii Forums mobile app