Kabisa........ tunajifanya tunajua sana timu mpaka ina kuwa too much
Si Kuwa tunajua sana Bali tunaongelea ukweli!
Nakumbuka Msimu Wa 2016/17 tulikuwa tukichambua na kulalamika hapa Kuwa Klopp ana Liverpool mbovu haiwezi kushinda chochote Ni lazima asajili. Kuna watu Wakatulaumu sana na kutuita eti tunajifanya tunajua Kuliko Klopp! Watu hao hao Wakataka Kutuaminisha eti tuna Kikosi bora cha Kushinda Makombe na Wakawa Wanajitangazia Kuchukua Ubingwa Wa EPL.
Baadae walipoona Hali inabadilika Wakajitangazia Kuwa Bingwa Chelsea wao Ni Wa Pili...
Walipoona Mambo Yanazidi Kuwa Magumu Wakajitangazia Wao Watakamata nafasi ya Tatu...
Hatimae tukaambulua Nafasi ya Nne tena Kwa Mbinde.
Kumbuka Kwa Kipindi hicho Kikosi Chetu Kilikuwa:
Mignolet
Clyne
Lovren
Matip
Moreno
Gini/Can
Henderson
Lallana
Mane
Firmino
Coutinho
Tulipokikosoa Kikosi Hicho Mulitwambia Tunajifanya tunajua Kuliko Klopp..
Sasa Mbona Klopp hakuendelea na Msimamo wake Wa Kuwa ana Kikosi Bora Kama Mulivyoamini Nyinyi? Si ameendana na Mawazo yetu (Katuprove right) na Amefanya Usajili Wa Kukibadilisha Kama tulivyotaka!!!
Sometimes sio kila tunachoongea Mutukusoe mengine Huwa tupo sawa!
Namshukuru Mungu Kuwa Tulichokiongelea Misimu Miwili iliyopita Kilikuwa Sawa na Leo kila Mtu amethibitisha Kuwa Klopp Kaibadilisha Timu tuliyoilalamikia kama Ni Njia moja ya Kututhibitishia Kuwa Tulikuwa Sahihi.
Kwani Kama Hatukuwa Sahihi Hawa kina
Sallah, Fabinho, Keita, VVD, Robertson, Alisson na Xhaqiri wasingekuwa na Haja Ya Kupoteza zaidi ya £300m Kwa Kuwasajili.
Na ninaamini Na huyu Lovren tunayemlalamikia Karibuni Klopp atatuprove right Kwa Kusajili beki Mpya.