OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,960
- 25,310
Hahaha umeongea vizuri sana ila apo mwisho ndo umeharibu.Nimekuelewa vzr mkuu, kama ishu ni depth ya kikosi sioni atakaemzuia Man City kutetea ubingwa, msimu ukiopita tumepoteza points nyingi katika mechi dhidi ya timu zilizo nafasi za 10 kushuka chini.
Kama tungepata zile points basi tungekuwa nafasi ya pili kwa karibu sana na Man City, shida ilikuwa ni kipa,Lovren na Matip walikuwa ktk poor form,hatukuwa na defending midfielders wa kusaidia CD,upande wa attacking hatuna shida..
Angalau kwa 70% matatizo yameshughulikiwa, bado shida atakapoumia Van Dijk hana mbadala,yafaa tuongeze CD mwingine wa kiwango cha juu, upande wa kulia ni battle kati ya Clyne na T.A.A, kushoto ni Robertson na Moreno, upande wa DM Wjinaldum na milner bado wapo..
Bado naamini tunaweza kupata ubingwa kama hatutapata injuries nyingi, kutopoteza points kwa timu ndogo.Mpinzani ni Man City tu sioni kama Man u,Arsenal,Chelsea watafanya maajabu, labda Spurs coz bado ana kikosi kizuri.
Yani unaanzanje kirahisi tu kumtoa Chelsea au Man u kwenye mbio za ubingwa? Wewe unaona kuwa una kikosi kipana sana eeh!!
Angalia sana maan msimu uliopita hujaifunga Chelsea na Man u alikukalisha vile vile ..hao man city wanafungika tu