Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tayar huko mmoja kasema washatuma salam epl kasahau kama mwaka jana klopp hii ndo aliibeba china na barcelona walimfunga 4-1 ktk hizi mechi za kupasha misuli
Hahahahahahahahahahahahahahahaha mpaka pre season nyie ni Bus tu
 
Tumetuma Salaamu zetu kuwa msimu ujao we mean business
So far so good title contenders ni wawili tu Liverpool na mancity hawa united wapambane na hali zao
Ynwa
 
Tatu tayar dakika ya 80

Huyu philips anastahili kucheza badala ya Lovlen

Tatizo Dogo yupo Academy bado

Comacho anastahili namba kiukweli

Competition itakuwa Soo kwake hatari, maana position ya namba mbili wapo Trent ambae ndio ameishikilia halafu na Clyne

Shaqir atasimama nafasi yake kapangwa kati leo na kacheza vyema sana

Inanipendeza akicheza hapo hapo maana jamaa atafunga na atatoa assist za kutosha tofauti na watu kama Gini ambao wakiwa kati ni wachoyo sijui
 
Tumetuma Salaamu zetu kuwa msimu ujao we mean business
So far so good title contenders ni wawili tu Liverpool na mancity hawa united wapambane na hali zao
Ynwa

Tuwe tunarudi na kwenye ukweli pia, kwa sasa kwa mimi binafsi sijaona club yenye wachezaji wote waliocompetent kama Manchester United.

Man Utd wana Center forwards watatu ambao wote ni top Quality(Lukaku,Rashford na Martial) hapa timu zote kubwa duniani hakuna wa kuwafananisha nao, tukienda Beki pia hamna anaenusa vumbi(Bailly, Rojo n.k)

Defence Football ya Mourinho ndio inawafanya waonekane kama Average players
 
Mkuu ebu jaribu kuwa logical aisee martial na rashford ni world top quality forwards????
Bailey nae ni world center back???? 😂😂😂😂
 
Mkuu ebu jaribu kuwa logical aisee martial na rashford ni world top quality forwards????
Bailey nae ni world center back???? 😂😂😂😂

Rashford sidhani bei yake akiuzwa itakuwa chini ya pauni milioni 80 hivi Martial nae sidhani inaweza kuwa chini ya milioni 50, output yao inaonekana ndogo sababu Regular starter ni Lukaku. Martial hana accuracy nzuri kwenye mashuti ila anao uwezo wa kutoboa ukuta wa Defence, kitu ambacho ukija Liverpool mwenye uwezo huo ni Sadio Mane peke yake

Kwa Bailly kama una shaka hebu niambie beki ambae anakaba kama Bailly au zaidi yake
 
Mourinho first in for his press conference.

"We started the game with a lot of players who will not be in our squad on August 9. This is not my squad, not even half, not even 30% of my squad. So don't look to this."

Bailly, Herrera, Scott, Mata, Sanchez, Fred???? Yani Jose hana Tofauti na Washabiki Wa Timu Yake
 
Sometimes Kutembelea Jukwaa Hili Huwa Nahisi Kuna Watu Hawaangalii Mechi Za Timu Yetu Bali Huishia Kuangalia Matokeo LiveScore...

Hivi Mtu anawezaji Kusema Tuna timu ya Kubeba ubingwa Wa #EPL ?
Kama unaangalia Mechi za Liverpool na Umekiona Kikosi chetu basi Ni wazi kuwa tuna Timu ya Kugombania Top Four tu na wala si ubingwa....

Watu wanajivunia Kuwa tumesajili Fabinho na Xhaqiri!!! Hivi wanadhani na Hao Kina Man United, Chelsea na Man City wamekaa tu wamerelax hawasajili kitu Bali wanatuangalia sisi tu tukisajili??

Tuweni serious jamani Kikosi chetu bado Ni Kidogo hakijawa na uwezo Wa Kugombania ubingwa.

Bado Kunahitajika Addition ya Zaidi ya Wachezaji 3 ambao Ni World Class au Talented ndiyo Tuweze kuwa na Kikosi cha Kuweza Kugombania Ubingwa.

Siko Mkamilifu #Muda unaweza kuniprove Wrong.
 
Mourinho first in for his press conference.

"We started the game with a lot of players who will not be in our squad on August 9. This is not my squad, not even half, not even 30% of my squad. So don't look to this."

Bailly, Herrera, Scott, Mata, Sanchez, Fred???? Yani Jose hana Tofauti na Washabiki Wa Timu Yake
umeangalia mech zote za united fred ni first 11 Kacheza lini?

Kumuelewa mourinho unatakiwa utulize akili ukiacha sachez ni mchezaj yupi alikuwa na namba ya kudumu mliocheza nao jana?
Mourinho huwa yupo wazi.

Wachezaj walio na namba ya kudumu pale united ni lukaku,pogba,matic,de gea,valencia,young na sanchez kuwakosa ni nadra
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom