#EPL tunaweza kubeba, maeneo yaliyokuwa na mapungufu msimu ulioisha yamefanyiwa kazi kwa kiasi kikubwa, mfano ttz la kipa tayari Alison amekuja, keita na Fabinho wameongeza kitu kikubwa sana had napata wasiwasi kwa captain Henderson, nani asiemkubali Sturrige anapokuwa fit kiafya, Shaqiri nae anakuja kutoa chalkenge kwa kina Mane, angalau sasa kikosi ni kipana,kocha atakuwa na options nyingi,Lovren now yupo ktk kiwango bora akiwa patner wa Van dijk, akiongezwa CD mwingine kama Yeri Mina au Vida itakuwa vizuri zaid,
Man u ni kama hawajasajili ukitoa Fred, so bado watastruggle, chelsea ukimtoa Jorginho hakuna jina kubwa lingine wakilosajili, Arsenal ndo wanajenga kikosi kipya baada ya mzee Wenger kuondoka,Spurs hawajasajili kabisa, anabaki Man city ambae hata asiposajili bado ana kikosi kipana zaidi kilichosheheni vipaji lukuki na hyu ndio mpinzani wetu mkubwa..
Game mentality pia ni kitu kikichokuwa kikituangusha, tunamfunga Mancity tukikutana na Bunley tunapata shida,hili ni suala la kocha kuwajenga wachezaji kisaikolojia wachukulie mechi zote kwa ukubwa sawa.
#Marekebisho rukhsa#
Hope against hopeYou'll Never Walk Alone, msimu wetu huu wapinzani jiandaeni.
Mkuu umezungumza Vizuri! Ila Katika Kubadilishana Mawazo Namimi Naona Bora Nitoe Challenges Katika hii post yako.
• Ikiwa Utaangalia Kimahesabu Basi Hatuja add depth yoyote Katika hii Timu kutoka Kikosi Cha Msimu uliopita. Unajua Kwanini?
√ Tumeondosha Wachezaji Wawili Wa First Team ambao Ni Coutinho na Emre Can... Na Tumeongeza Wachezaji Wawili ambao ni Keita na Fabinho.
√ Tumepunguza Mchezaji Mwengine Ambaye Tayari alikwisha Jihakikishia Namba First Team! Naye ni Alexander OX Chamberlain! Huyu Msimu Mzima huu hatutokuwa naye Kwa Sababu Ya Majeruhi. Lakini Tumeziba Uwazi Kwa Kumsajili Xhaqiri.
Sasa Hapo Watu Wengi Wamekuwa Wakifurahi Tumeongeza Depth!! Mkuu Hapo Uhalisia Ni Kwamba Hatujaongeza Depth yoyote na Tumebaki na Kikosi Kile kile cha Wachezaji 11 tusio na Subs Yoyote ya Maana badala ya Wakina Lallana na Solanke.
Na Kuhusu Sturridge Kama ulivyosema iwapo atabaki Salama... Lakini Usitarajie Kuwa Sturridge anaweza Kauvuuka Hata Michezo 4 bila ya Kukaa juu Wiki 6 kwani Jamaa ni bonge la injury Prone.
Kwa Ufupi Kikosi Chetu ni Hichi:
Alisson
TAA
Robertson
Lovren
VVD
Fabinho
Henderson
Keita
Sallah
Firmino
Mane
Na Katika Benchi Kuna:
Karius
Clyne
Gomez
Gini
Xhaqiri
Solanke
Sturridge
Au punguza Hapo Subs 3 tuwaweke [/B]Klavan, Lallana na Origi[/B]
Sasa Tuweni Wakweli Katika Subs Hizo Unadhani Nani Hapo Ukitoa Xhaqiri ambaye anaweza Kubadilisha Mshezo hasa Kwa wale wazee Wa Kupaki Basi?
Mkuu Kwa Kikosi Hicho bado Nasimamia Hoja Yangu Kuwa Hatuna Kikosi Cha Kugombania Ubingwa Wa #EPL.... Kikosi Chenu Kinahitaji Maombi Tusipate injury Hata moja Jambo ambalo Halitowezekana.
Natumai Muda unatiptove Wrong
Nimekuelewa vzr mkuu, kama ishu ni depth ya kikosi sioni atakaemzuia Man City kutetea ubingwa, msimu ukiopita tumepoteza points nyingi katika mechi dhidi ya timu zilizo nafasi za 10 kushuka chini.
Kama tungepata zile points basi tungekuwa nafasi ya pili kwa karibu sana na Man City, shida ilikuwa ni kipa,Lovren na Matip walikuwa ktk poor form,hatukuwa na defending midfielders wa kusaidia CD,upande wa attacking hatuna shida..
Angalau kwa 70% matatizo yameshughulikiwa, bado shida atakapoumia Van Dijk hana mbadala,yafaa tuongeze CD mwingine wa kiwango cha juu, upande wa kulia ni battle kati ya Clyne na T.A.A, kushoto ni Robertson na Moreno, upande wa DM Wjinaldum na milner bado wapo..
Bado naamini tunaweza kupata ubingwa kama hatutapata injuries nyingi, kutopoteza points kwa timu ndogo.Mpinzani ni Man City tu sioni kama Man u,Arsenal,Chelsea watafanya maajabu, labda Spurs coz bado ana kikosi kizuri.
Shida yao ilikuwa nn msimu uliopita hadi kushika nafasi ya 5, wachezaji ni walewale kina Hazard na Kante, huwezi kutegemea Giroud na Morata ndo wakuletee ubingwa,Jorginho ni mzuri ila bado chelsea wanahitaji kusajili angalau wachezaji wengine watatu wa top quality,Hazard akiondoka ni pengo kubwa huku pia kipa wao akitajwa kuweza kuondoka.Huwezi kumtoa chelsea kwenye ubingwa kirahisi hivyo anawachezaji wengi wazoefu wa ligi labda tu hazard asepe lakin kwaingizo la joginho akiungana na kante ni tatizo lile.
Lebron James Kumbe anahisa 2% Kwenye Timu yetu ya Liverpool.
Inawezekana injury ya jamaa ni zile mbaya ambazo hakawii mtu kuacha mpira kabisaKadri Ninavyoiangalia issue ya Fekir kwamba Liverpool wamejitoa Katika Kumnunua Kwasababu ya Medical record ya Goti lake sio Nziri! Huwa napata na Ukakasi Nikiangalia Kwanini tumemnunua Chamberlain na alipasi vipi vipimo vya Afya wakati Medical Record ya Chamberlain sote tunaijua tokea Arsenal Kuwa ni mbaya zaidi kuliko ya Fekir?
Kiukweli Vipimo Vinapoonesha Kuwa Fekir kafeli Lakini OX kapasi Huwa nashindwa Kuwaamini Wazungu.
Chamberlain ndani ya Arsenal Hakuwahi Kumaliza Msimu bila ya injury ya Muda Mrefu.
Liverpool msimu huu mtacheza mpira mzuri sana, tena kuliko timu yeyote uingereza. Lakini tatizo lipo kwenye kubeba makombe. Sidhani kama mtafanikiwa kubeba kombe hata moja kutokana na approach ya kocha wenu, ambayo inafanana sana na Pochettino wa Toti. Kwa uzuri wa kikosi chenu kwa jinsi kilivyoboreshwa, ingefaa muwe na kocha kama Antonio Conte hakika angewafaa sana.hata msimu uliopita wengi walisema tutatoka mapema ila ndio hivyoo mpaka fainali...msimu huu sio fainali tu mbali ni kuchukua kabisaa ndoo
Ni kweli kabisa mkuu ulichosema. Hao wachezaji waliosajiliwa wamekuja kuziba mapengo yaliyoachwa na waliyoondoka.Mkuu umezungumza Vizuri! Ila Katika Kubadilishana Mawazo Namimi Naona Bora Nitoe Challenges Katika hii post yako.
• Ikiwa Utaangalia Kimahesabu Basi Hatuja add depth yoyote Katika hii Timu kutoka Kikosi Cha Msimu uliopita. Unajua Kwanini?
√ Tumeondosha Wachezaji Wawili Wa First Team ambao Ni Coutinho na Emre Can... Na Tumeongeza Wachezaji Wawili ambao ni Keita na Fabinho.
√ Tumepunguza Mchezaji Mwengine Ambaye Tayari alikwisha Jihakikishia Namba First Team! Naye ni Alexander OX Chamberlain! Huyu Msimu Mzima huu hatutokuwa naye Kwa Sababu Ya Majeruhi. Lakini Tumeziba Uwazi Kwa Kumsajili Xhaqiri.
Sasa Hapo Watu Wengi Wamekuwa Wakifurahi Tumeongeza Depth!! Mkuu Hapo Uhalisia Ni Kwamba Hatujaongeza Depth yoyote na Tumebaki na Kikosi Kile kile cha Wachezaji 11 tusio na Subs Yoyote ya Maana badala ya Wakina Lallana na Solanke.
Na Kuhusu Sturridge Kama ulivyosema iwapo atabaki Salama... Lakini Usitarajie Kuwa Sturridge anaweza Kauvuuka Hata Michezo 4 bila ya Kukaa juu Wiki 6 kwani Jamaa ni bonge la injury Prone.
Kwa Ufupi Kikosi Chetu ni Hichi:
Alisson
TAA
Robertson
Lovren
VVD
Fabinho
Henderson
Keita
Sallah
Firmino
Mane
Na Katika Benchi Kuna:
Karius
Clyne
Gomez
Gini
Xhaqiri
Solanke
Sturridge
Au punguza Hapo Subs 3 tuwaweke [/B]Klavan, Lallana na Origi[/B]
Sasa Tuweni Wakweli Katika Subs Hizo Unadhani Nani Hapo Ukitoa Xhaqiri ambaye anaweza Kubadilisha Mshezo hasa Kwa wale wazee Wa Kupaki Basi?
Mkuu Kwa Kikosi Hicho bado Nasimamia Hoja Yangu Kuwa Hatuna Kikosi Cha Kugombania Ubingwa Wa #EPL.... Kikosi Chenu Kinahitaji Maombi Tusipate injury Hata moja Jambo ambalo Halitowezekana.
Natumai Muda unatiptove Wrong
UNAZI AT WORKNi kweli kabisa mkuu ulichosema. Hao wachezaji waliosajiliwa wamekuja kuziba mapengo yaliyoachwa na waliyoondoka.
Hivyo basi mjiandae kisaikolojia mashabiki wote wa Liver. Na beki za England zilivyo na roho mbaya...