Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Lovren has improved sanaa in recent months aisee
It’s disrespectful to write him off while hata hajaripoti kwenye preseason training

Uliangalia final yetu against Real Madrid? Kama sio Lovren siku ile tungefungwa goli nane kwa moja!

Hakuna beki asiyekosea,

Hatusajili malaika hata tukisajili beki gani atakosea tu at some point

Give Lovren a break Man!

Sawa Mkuu haina Shida Nimekuelewa vyema tu! "Time will Tell"
 
Marahii Katika EPL tutajikusanyia Points ≥ 85
Mark this Comment
Nimeangalia mechi kama 3 za pre season, timu iko vizuri sana. Tunaweza kustruggle first few games kwa sababu ya chemistry, lakini tuko vizuri.

Kwenye back line bado tuna utegemezi kwa VD (tuombe awe mzima).

Kitu kikubwa nachokisubiri ni kuona jinsi tutakavyo react kwenye defensive games.
 
Mourinho:

“Everyone has invested and then you’ve got Liverpool buying anything and everybody.”


Huyu Mourinho Msimu Huu Naona Kama Aliyechanganyikiwa Hivi! Amejisahau Kuwa Yeye Ndiye biggest spending football manager in the history of the game.
Mourinho Ndiyo Kocha Wa Kwanza Katika Historia Ya Soka Toka Aanze Kazi Ya Ukocha Kuspend £1billion... Halafu anaishia Kulialia Kwa Wengine.


LIVERPOOL 2018/19

Players in: £170m
√ Alisson (£65m)
√ Naby Keita (52.75m)
√ Fabinho (£39.3m)
√ Xherdan Shaqiri (£13m)

Players out: £12.5m
√ Emre Can (Free)
√ Danny Ward (£12.5m)
√ Jon Flanagan (Free)

Net Spend: £157.5million



LIVERPOOL 2017/18

Players in: £154.9m
√ Virgil van Dijk (£75m)
√ Mohamed Salah (£36.9m)
√ Alex Oxlade-Chamberlain (£35m)
√ Andy Robertson (£8m)
√ Dominic Solanke (Free)

Players out: £182.5m
√ Philippe Coutinho (£142m)
√ Mamadou Sakho (£26m)
√ Lucas (£5m)
√ Kevin Stewart (£7.5m)
√ Andre Wisdom (£2m)

Net Spend: Made £27.6m



LIVERPOOL 2016/17

Players in: £66m
√ Sadio Mane (£30m)
√ Gini Wijnaldum (£25m)
√ Loris Karius (£6m)
√ Ragnar Klavan (£5m)
√ Joel Matip (Free)
√ Alex Manninger (Free)

Players out: 77m
√ Christian Benteke (£30m)
√ Jordon Ibe (£15m)
√ Joe Allen (£14m)
√ Tiago Ilori (£3.5m)
√ Luis Alberto (£3.6m)
√ Brad Smith (£6m)
√ Martin Skrtel (£5m)

Net Spend: Made £11m



MANCHESTER UNITED 2018/19

Players in: 73.5m
√ Fred (£53m)
√ Diogo Dalot (£19m)
√ Lee Grant (£1.5m)

Players out: £21m
√ Daley Blind (£14.4m)
√ √ Michael Carrick (Retired)
√ Sam Johnstone (£6.6m)

Net Spend: £52.5m



MANCHESTER UNITED 2017/18

Players in: 147.7m
√ Romelu Lukaku (£76.2m)
√ Nemanja Matic (£40m)
√ Victor Lindelof (£31.5m)
√ Alexis Sanchez (Swap)

Players out: 7.5m
√ Wayne Rooney (Free)
√ Adnan Januzaj (£7.5m)
√ Henrikh Mkhitaryan (Swap)
√ Zlatan Ibrahimovic (Free)

Net Spend: £140.2m



MANCHESTER UNITED 2016/17

Players in: 166.3m
√ Paul Pogba (£94.5m)
√ Eric Bailly (£34m)
√ Henrikh Mkhitaryan (£37.8m)
√ Zlatan Ibrahimovic (Free)

Players out: £42.7m
√ Morgan Schneiderlin (£20.6m)
√ Memphis Depay (£14m)
√ Paddy McNair (£4.7m)
√ Tyler Blackett (£1.6m)
√ Will Keane (£1.8m)
√ Victor Valdes (Free)
√ Bastian Schweinsteiger (Free)

Net Spend: £123.6m


Klopp v Mourinho - Net spend since summer 2016


• KLOPP NET SPEND £119m

• MOURINHO NET SPEND £316m

Huyu Mourinho inaonesha Shule Hakulipenda Somo la Hesabati Ndiyo Mana ikawa Hajui Anachotumia Yeye Ni Kiasi Gani, Wala Wanachotumia Wengine Ni Kiasi gani.
 
Huyu Mourinho Msimu Huu Naona Kama Aliyechanganyikiwa Hivi! Amejisahau Kuwa Yeye Ndiye biggest spending football manager in the history of the game.
Mourinho Ndiyo Kocha Wa Kwanza Katika Historia Ya Soka Toka Aanze Kazi Ya Ukocha Kupend £1billion... Halafu anaishia Kulialia Kwa Wengine.


LIVERPOOL 2018/19

Players in: £170m
√ Alisson (£65m)
√ Naby Keita (52.75m)
√ Fabinho (£39.3m)
√ Xherdan Shaqiri (£13m)

Players out: £12.5m
√ Emre Can (Free)
√ Danny Ward (£12.5m)
√ Jon Flanagan (Free)

Net Spend: £157.5million



LIVERPOOL 2017/18

Players in: £154.9m
√ Virgil van Dijk (£75m)
√ Mohamed Salah (£36.9m)
√ Alex Oxlade-Chamberlain (£35m)
√ Andy Robertson (£8m)
√ Dominic Solanke (Free)

Players out: £182.5m
√ Philippe Coutinho (£142m)
√ Mamadou Sakho (£26m)
√ Lucas (£5m)
√ Kevin Stewart (£7.5m)
√ Andre Wisdom (£2m)

Net Spend: Made £27.6m



LIVERPOOL 2016/17

Players in: £66m
√ Sadio Mane (£30m)
√ Gini Wijnaldum (£25m)
√ Loris Karius (£6m)
√ Ragnar Klavan (£5m)
√ Joel Matip (Free)
√ Alex Manninger (Free)

Players out: 77m
√ Christian Benteke (£30m)
√ Jordon Ibe (£15m)
√ Joe Allen (£14m)
√ Tiago Ilori (£3.5m)
√ Luis Alberto (£3.6m)
√ Brad Smith (£6m)
√ Martin Skrtel (£5m)

Net Spend: Made £11m



MANCHESTER UNITED 2018/19

Players in: 73.5m
√ Fred (£53m)
√ Diogo Dalot (£19m)
√ Lee Grant (£1.5m)

Players out: £21m
√ Daley Blind (£14.4m)
√ √ Michael Carrick (Retired)
√ Sam Johnstone (£6.6m)

Net Spend: £52.5m



MANCHESTER UNITED 2017/18

Players in: 147.7m
√ Romelu Lukaku (£76.2m)
√ Nemanja Matic (£40m)
√ Victor Lindelof (£31.5m)
√ Alexis Sanchez (Swap)

Players out: 7.5m
√ Wayne Rooney (Free)
√ Adnan Januzaj (£7.5m)
√ Henrikh Mkhitaryan (Swap)
√ Zlatan Ibrahimovic (Free)

Net Spend: £140.2m



MANCHESTER UNITED 2016/17

Players in: 166.3m
√ Paul Pogba (£94.5m)
√ Eric Bailly (£34m)
√ Henrikh Mkhitaryan (£37.8m)
√ Zlatan Ibrahimovic (Free)

Players out: £42.7m
√ Morgan Schneiderlin (£20.6m)
√ Memphis Depay (£14m)
√ Paddy McNair (£4.7m)
√ Tyler Blackett (£1.6m)
√ Will Keane (£1.8m)
√ Victor Valdes (Free)
√ Bastian Schweinsteiger (Free)

Net Spend: £123.6m


Klopp v Mourinho - Net spend since summer 2016


• KLOPP NET SPEND £119m

• MOURINHO NET SPEND £316m

Huyu Mourinho inaonesha Shule Hakulipenda Somo la Hesabati Ndiyo Mana ikawa Hajui Anachotumia Yeye Ni Kiasi Gani, Wala Wanachotumia Wengine Ni Kiasi gani.
haha!
 
...Issue ya Fekir naona imeibuka tena. Hii ni kwa mujibu wa vyombo mbalimbali vya habari. Lyon inasemekana wapo tayari kumwachia aondoke kama tu kuna club itafikia dau la 60€.
 
...Issue ya Fekir naona imeibuka tena. Hii ni kwa mujibu wa vyombo mbalimbali vya habari. Lyon inasemekana wapo tayari kumwachia aondoke kama tu kuna club itafikia dau la 60€.
Huyo jamaa kama vipi tuachane nae, Aulas anaonekana ana tamaa sana ya hela na mategemeo yake alijua Fekir ata shine WC hivyo kuongezeka thamani matokeo yake akawa ndio wa dakika za lala salama.

Wakishindwa kuchukua mpunga kwa Fekir siku hizi chache zilizobaki basi next season anaweza kuondoka bure kama ilivyotutokea sisi kwa Emre Can
 
this is why wengi wetu humu tunapiga kelele sana umuhimu wa kusajili another more robust CB.

msimu huo ndiyo unaanza wiki hii.... lakini angalia pale kwenye backline yetu tayari kuna "maselule" kibao kitandani
(soma article hii hapa chini courtesy of James Pearce wa Echo).

aaaaarrrrrrrrrrrrrrrgh!

+++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
Liverpool face defensive headache ahead of West Ham opener
Liverpool facing a little crisis at the back
22:30, 5 AUG 2018

Jurgen Klopp admits he has a defensive headache ahead of next Sunday's Premier League opener against West Ham at Anfield.
Joel Matip (hip) and Ragnar Klavan (hamstring) both missed Saturday's 5-0 rout of Napoli and remain doubts for Tuesday's final friendly against Torino.

With Dejan Lovren only reporting back to Melwood on Monday, Virgil van Dijk and Joe Gomez are the Reds' only fit and available senior centre-backs.

From six to three,” Klopp said.
“Dejan didn’t train so far. He is back Monday so probably won’t play Tuesday and Sunday will be very difficult as well.
“Joel, we will have to see. Klavan, should not be too serious, but if Tuesday is too early I don't know yet.
“Maybe we will do some magic things with the formation on Tuesday. I don't know how we will do it.”

Klopp insists he has yet to settle on a preferred starting line up to face the Hammers and says places will be up for grabs when Torino visit Anfield

“We have another game on Tuesday and we need to make sure we use that game as well. Then we have another five days,” he added.
“Why should I make the line-up now? A lot of players look in the moment ready for the start.
“Now we have to make sure we find the 11 who are ready for the start and finish of the game. Obviously that is a different thing. We can’t change six players after 60 minutes.
“The first two (Premier League) games at least are in the 'pre-season' (for the World Cup players). It is like that a bit for the other teams but I'm not sure for West Ham and Crystal Palace.”

The demolition of Napoli was highly impressive but Klopp is keen to keep a lid on expectation levels. He believes the Premier League will be even more competitive this time around.

"First of all I really hope our fans are in it, understanding," he said. "We have shown a lot of good things in the last few years but it was never in one second easy and it will not be this season easy.
“If we win a game, we win a game and then we must win the next game as well, not be celebrating like it's the greatest thing.
"I really believe our fans are spot on and know what the situation is about. The people around that trying to create stories, I am not interested in that.

"We have high expectations of ourselves but our situation has not changed. Why should it? I do not see that United has got weaker or City weaker. Tottenham have not sold a player and have stayed together.

"I think Arsenal and Chelsea will be stronger than last year. Everton obviously are pushing from behind. Wolves are not shy to spend money.
"The league will be difficult. It is not about judging our situation and thinking ‘wow, really good’. We need to be ready each week, not only for a few games. That is our challenge.
"When I speak about not having crazy expectations, if we keep the atmosphere within the club from last year we have a chance of a really big season and then we will see what happens.”
 
...Issue ya Fekir naona imeibuka tena. Hii ni kwa mujibu wa vyombo mbalimbali vya habari. Lyon inasemekana wapo tayari kumwachia aondoke kama tu kuna club itafikia dau la 60€.

Lyon Wakimaliza Kufanya Mbwembwe Zao Basi Yatawakuta Kama Yaliowakuta Monaco.

• Monaco Walipewa £90m Kwa Ajili Ya Thomas Lemar wakaamua Kukataa Wakiamini Kuwa Kwenye World Cup atakwenda Kung'aa aongezeke thamani afikie bei kama ya Mbape.

• Hatimae WC akawa msindikizaji akaporomoka Thamani Wakaishia Kumuuza Atletico kwa £52.9m.

Nahuyo Fekir wao basi wajiandae Kumuuza Kwa £35m.
 
Kabisa........ tunajifanya tunajua sana timu mpaka ina kuwa too much


Kuna vitu hao makocha huwa wanavurunda at the same time wachambuzi, watu wa mpira wanayaona matundu hayo. mashabiki wanavokosoa mambo fulani fulani huwa wameyaona, makocha wanaBlunders kibao ndio maana hawaishi kufurushwa
 
Beki mbovu inayoishi miaka mingi pale Anfield ndio inafanya makombe kuwa ndoto. Sioni juhudi za uhakika zinazofanywa na Makocha wetu kuhusiana na jambo hili
 
Ali13
TAA
Lov6
VVD
ROBBO
HENDO
FABI3
K8
SA11
BOBBY
SAD10


Hichi Kikosi Kipo Underrated tu! Lakini Ni Very Strong na Kama Hakitopata injury basi Kitaleta Ushindani Mkubwa tu.
 
IMG_20180807_090736_831.jpg
 
Tumemaliza Mechi za Kirafiki na Ziara Kwa Ujumla Sasa Ni Wakati Wa Kutulia Nyumbani Kujiandaa na EPL
 
Naona wachambuzi uchwara wa bongo wa ile radio mawingu wanawapa nafasi Liverpool na man u kuwania ubingwa wa ligi.

Halafu kila mwaka huwa hivyo hivyo lakini mambo hubadilika kabisa.

Chelsea, man city, Tottenham.. dah hawa wachambuz wamefanya ligi kuwa nyepes sana.

Ila Chelsea huwa tunawa prove wrong.

Tuko pamoja wakuu ..atakayecheza vizuri ndiye atakaye shinda, sio kusema timu A na timu B ndo znawania ubingwa ..kumbuka ligi ina timu ishirini, na ni ligi ya England sio Hispania au France.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom