Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ila Mungu sio Klopp jamani, imagine kufika fainal wanajisifu hizi wangechukua kombe ingekuaje.. Abarikiwe Ramos popote alipo
Tena yule malafyale angetunyoosha balaa alikuja na rekod ya 1970 walimfunga madrid 1-0 akajua yatajirudia
 
Sasa tunaanzaje kukaza na icc hayo makombe ni yenu kocha wako hana ubavu hata wa kubeba carabao msimu wa nne huu anakwenda

Kwa hiyo sisi tulikaza sana? Halafu kitu kingine ni kuwa Klopp anaenda msimu wa tatu na kama utakumbuka vizuri Brendan Rodgers alitimuliwa wakati ligi inaendelea. Ingekuwa sahihi ukisema kuwa anaenda msimu wa tatu na nusu labda!

Kuhusu kutambiana makombe nyinyi alipokuja Fergie ndio mkapata ka history japo kidogo ambapo mpaka sasa Vikombe ya ubingwa wa Uingereza mmetuzidi vikombe viwili tu ila tukienda vikombe vya ulaya tumewazidi parefu, kabla ya Fergie kwenye makombe mtu ambae angeilinganisha Liverpool na Nyinyi ni sawa na mtu ambae anacompare Tembo na sisimizi
 

Baba hili povu


Kuna uwezekano sergio ramos akawa kocha wa liverpool msimu huu.
 
Baba hili povu


Kuna uwezekano sergio ramos akawa kocha wa liverpool msimu huu.


Msimu huu panachimbika, mlibahatika na udhaifu wa midfield ya Henderson na Milner ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,, DeGea ajiandae tu kuokotea mipira nyavuni
 
Muda utakprove wrong my fellow kop
 


Point Ni 'a lot of players who will not be in our squad on August 9'

Mou Hakusema First XI Bali Kazungumzia Squad ambayo inahusisha Wachezaji Watakaoteuliwa Kucheza Mechi Husika Kwa Ujumla Huwa Ni 18 yani 11 wanaoanza + 7 (Subs).....

So, Niliowataja Mata, Sanchez, Herrera, Fred, Bailly na Scott Ndiyo miongoni mwa Squad yenu Kwani Wasipoanza Basi Ni Lazima Utawakuta Katika Squad wanawarm Bench (Subs).
 
Usijikite sana kwenye kukosoa au kukubaliana na mawazo ya watu wengine humu kwenye jukwaa huru.Wote hawawezi waza kama wewe.Wewe toa tu mawazo yako bila kujipa mamlaka ya kukosoa au kukubaliana na kila post inayowekwa humu...Inanishangaza unapojigeuza kuwa 'corrector' wa kila kinachowekwa humu as if wengine hawajui kitu kabisa.Sijui kama unajua tofauti ya opinion na fact.Ni bora hata ungekuwa "unacorrect" facts.Sasa wewe hadi opinion!

Embu acha hizo dogo....unaboa.Ni ushauri tu kutokana na observation ya muda mrefu
 
Mnapenda sana kugombana nyie
 


Na Wewe Tayari Umeshakifanya Ninachokifanya
 
#EPL tunaweza kubeba, maeneo yaliyokuwa na mapungufu msimu ulioisha yamefanyiwa kazi kwa kiasi kikubwa, mfano ttz la kipa tayari Alison amekuja, keita na Fabinho wameongeza kitu kikubwa sana had napata wasiwasi kwa captain Henderson, nani asiemkubali Sturrige anapokuwa fit kiafya, Shaqiri nae anakuja kutoa chalkenge kwa kina Mane, angalau sasa kikosi ni kipana,kocha atakuwa na options nyingi,Lovren now yupo ktk kiwango bora akiwa patner wa Van dijk, akiongezwa CD mwingine kama Yeri Mina au Vida itakuwa vizuri zaid,

Man u ni kama hawajasajili ukitoa Fred, so bado watastruggle, chelsea ukimtoa Jorginho hakuna jina kubwa lingine wakilosajili, Arsenal ndo wanajenga kikosi kipya baada ya mzee Wenger kuondoka,Spurs hawajasajili kabisa, anabaki Man city ambae hata asiposajili bado ana kikosi kipana zaidi kilichosheheni vipaji lukuki na hyu ndio mpinzani wetu mkubwa..

Game mentality pia ni kitu kikichokuwa kikituangusha, tunamfunga Mancity tukikutana na Bunley tunapata shida,hili ni suala la kocha kuwajenga wachezaji kisaikolojia wachukulie mechi zote kwa ukubwa sawa.
#Marekebisho rukhsa#
 
hahahhahahahaha huyu alikuwa anasugua kwa yule kipa namba mbili wa Poland Schezny usajili wa hawa jamaa naufananisha na timu moja hapa bongo wanaovaa jezi zinazofanana rangi
Alisugua wapii ndugu wakati msimu.ulioisha yeye ndio alikua kipa tegemezi Roma
 
hata msimu uliopita wengi walisema tutatoka mapema ila ndio hivyoo mpaka fainali...msimu huu sio fainali tu mbali ni kuchukua kabisaa ndoo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…