Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Dah Liverpool mnatia huruma sana. Hivi mlifikaje final uefa?! Msimu ujao mtadhubutu kuingia hata 16 bora kweli? Angalia kama leo mmecheza nini sasa.

Uyo Klopp ana bahati mbaya sana. Sidhani kama atafanikiwa kubeba kombe lolote akiwa na Liverpool. Jaribuni kutumia falsafa za timu kama Chelsea, labda mtafanikiwa. Klopp hajiamini kabisa!


Unamaanisha Tuige Falsafa za Chelsea za Kucheza Uropa au?
 
Nimeona mechi moja tu ya pre season na some clips za mechi zingine, VVD ndo spine of our defense mechi ya juzi baada ya kutoka tu we had a nightmare in defense.

Naby Keita, this kid has something special, katika mechi ambazo amecheza na Sturridge, Studge amekuwa na performance nzuri he track Studge runs so well na ana uwezo mzuri wa unlock defensive team

Markovic huyu dogo to be honest kaharibikia kwetu huko alipokuwa alikuwa na performance nzuri nadhani ni vizuri akabakia tukamtoa kwa mkopo Solanke. We need his pace down the flank.

Karius, huyu nadhani angetolewa kwa mkopo tu maana maamuzi yake yataendelea na kutu-cost later on

Shaqiri kwa uchezaji wake ule na timu yetu sidhani kama atakuwa na msaada sana kwetu anacheza sehemu kubwa personally labda aje aniprove wrong

so far with this squad we CAN WIN any trophy, ili mradi wachezaji wetu wawe clinical kwenye opponent's goal siyo kama yale na dortmond juzi kwenye dakika za mwisho tungepigwa hata goli nne wakati we had chances earlier on to kill the game kabla ya dakika ya 70


Tuna Kikosi Ambacho upo uwezekano Wa Kushinda Trophy Hata kama Micky Mouse Lakini on one Condition! "Tusipate injury ya More than 2 weeks Kwa Kwa [HASHTAG]#VVD[/HASHTAG], GK, Firmino au Mo Salah".

Ikitokea Mmoja tu Kati ya Hao akipata injury ya Zaidi ya Wiki 2 mbali basi Tujiandae Kisaikolojia Kucheza Uropa with Trophyless season Kwani Kwa 100% Hatuna Depth ya Kuziba Nafasi za Hao.

Kumbuka Mbadala Wa Hawa ni:

GK (Alisson) → Karius
VVD → Klavan
Firmini → Solanke
Mo Salah → Shaqiri
 
Matip rasmi anarudi Uengereza Baada Ya Kupata injury Huko Marekani. Soon tutasikia Kwa Lallana na Sturridge...
I bet Matip, Lallana na Sturridge watacheza Michezo isiyozidi 10 Kwa kila mmoja ndani ya Huu Msimu mzima Wa 2018/18.
Kwa hali hii Option ya CB Yetu Ni Ndogo sana kiasi ya Kwamba akiumia Mmoja tu Kati ya VVD au LOVREN basi Ni Kizaazaa.
 
Naona Mjadala Wa Karius Unazidi Kuchukua Sura mpya....


Screenshot_20180724-192428.png
 
theres no doubt kuwa tumekuwa na good window tangu FSG wachukue Club, but lets not lie to ourselves, this isnt a title winning squad (hasa EPL).

EPL ni marathon, kushinda hili kombe unahitaji depth, kama siyo depth unahitaji kuwa na bahati ya wachezaji muhimu kuepuka majeruhi, last year the Fab 3 kept us kwenye top four kwasababu walicheza most of the games (hasa Firmino and Salah), but tunayajua ya kesho? what if mmoja kati ya mane/salah/Firmino akiumia au akipata majeraha ya muda mrefu? tutakuwa able kucompete?

no doubt we've added qualities in the GK area and kwenye MF, but depth ya kwenye attack ni ndogo (despite having shaqiri), na pia we're so short kwenye CB options.

having depth kwenye squad, maana yake ni kuwa na wachezaji ambao wanaweza kutokea bench na kuleta mabadiliko, au wachezaji ambao wanaweza wakaanza game na kuwa na impacts kubwa, LFC hatuna depth hiyo, Dejan Lovren is our 1st choice LCB, sasa you can imagine his 2nd choice atakuwa ni m-bovu kiasi gani kama tu Dejan Lovren ni 1st choice, on top of that our only reliable CB kwenye team ni VVD, swali linakuja pale pale what if akiumia? then kwenye attacking depth, tumeongeza quality addition in Shaqiri, but again we lack creativity, last season post-coutinho departure, tulidraw games nyingi sana hasa zile ambazo zile team pinzani walikuwa wanadefend deep (one of the reason we fell short and finished fourth), so we really want to challenge this season we need a number 10 who can create easy chances for the fab 3, Klopp used Mane kama number 10 kwenye baadhi ya games last season, but if we get a good number 10 kazi ya fab 3 itakuwa rahisi sana, na magoal yataongezeka mengi sana, and thats where Fekir came into the equation, Klopp wanted Fekir kwasababu ni Firmino 2.0, he can play as a 10 na pia kama False 9, so ukiwa na wachezaji wa aina hii wawili kwenye team yako what more do you need?

Solanke/Origi/Ings/Lallana etc ukifananisha na ile fab 3 utagundua kuwa kuna tofauti kubwa sana ya ubora, squad ya namna hii ni ngumu sana kubeba makombe makubwa na itakuwa worse possible scenario kama Fab 3 wakiumia, the only reliable player upfront atakuwa ni Shaqiri tu, well didnt mention DS coz sina uhakika kama anaweza kulast 2-3 games bila injuries.

kwenye CL final, Madrid brought Bale from the Bench na akaleta utofauti mkubwa tu, and we subbed on Lallana ambaye alienda kuharibu shape nzima ya mashambulizi. Pep guardiola can bench Sane/Sterling/Silva/Aguero/Bernado/Ferna/Gundogan/Kompany/Stones/Walker etc na kupata matokeo, but its quite evident kuwa Klopp cant bench Salah/Mane/Firmino/VVD na kupata matokeo (glad we've added Naby and Faby ambao pia Klopp cant afford kuwabench pamoja na fab 3 na kuexpect matokeo).

Get another reliable CB and a good number 10, then pray for injuries ndogo ndogo tu kwa important players, and we can challenge Man City and other top six clubs to the very end.
I concur with your observation to a great extent ....particularly on the fact that we need another Lovren-type CB but uptop I think we're going to need more of an orthodox marksman than a 10.

why we don't need a 10? because in Keita we already have an 8 and a 10 rolled into one.
so let's land a Diego Costa-esque.
 
Katika timu zote sita kubwa za England sisi pekee ndio tumekuwaga na beki mbovu miaka nenda miaka rudi. Sijui ni kwa nini imeshindikana kuliAddress hili Suala, and besides nilisoma Article moja Forbes ikisema kuwa mwaka huu Revenue ya LFC imeshavuka pauni milioni 400, kwa maana ya kwamba wanaotupita kimapato ni timu mbili za Manchester tu. Uongozi wa klabu Wanachoweza kufanya ni kuuza wachezaji ambao sio tegemeo(Ings, Origi n.k) na kupeleka kwa mkopo wale ambao tuna pottential nao halafu tufanye usajili wa nguvu zaidi kwenye beki na Forward line maana Hela ambayo imetengenezwa mwaka huu ni kubwa kihistoria which means tunaweza kuspent zaidi na zaidi bila kujiwa juu kuhusu FFP
 
James Pearce na Maajabu Yake: "Lyon are crying out for a buyer. It suits them for Liverpool to be repeatedly linked with Fekir." [HASHTAG]#LFC[/HASHTAG] [HASHTAG]#Fekir[/HASHTAG]
 
James Pearce na Maajabu Yake: "Lyon are crying out for a buyer. It suits them for Liverpool to be repeatedly linked with Fekir." [HASHTAG]#LFC[/HASHTAG] [HASHTAG]#Fekir[/HASHTAG]
Binafsi naona kama yajayo yanafurahisha, Ngoja tuone itakavokuwa.
 
Katika Hii Preseason Ni Madogo Wawili tu Mpaka sasa Ndiyo niliwaona Tayari Wanaweza Kubaki Katika Senior Team na Kuweza Kuwa Back up players wetu.
Ni Curtis Jones na Camacho.... Waliobakia Wanaweza itabidi Watokewe Kwa Mkopo wakajifunze Zaidi.
 
About Keita Ni Miracle ya Pekee! Ame-Adapt na Mfumo Wa Klopp Hata Kabla ya Kuja Liverpool...
looks like Wachezaji Wa Bundes Liga Wana-adapt na Mfumo Wa Klopp moja Kwa moja bila ya Hata Kufanya mazoezi na Timu yetu.
 
Tuna Kikosi Cha hali Mbili....

1) Kikosi cha Kushindania Kombe Kwa Shart la Kuwa Wachezaji Wetu Wa FXI Wacheze Michezo yote 38 bila ya injury wala rotation. (Haitowezekana).

1) Kikosi cha Kugombania Top Four Kwani in case of injury or rotation hatuna Back up Wa Kuweza Kutupa Ushindi au Kubadilisha Mchezo. (Hili linawezekana).
 
Liverpool wamekubali mkataba wa miaka miwili
na beki wa Croatia Domagoj Vida, 29, lakini
atalazimika kununuliwa kwa bei ya Besikitas ya
£22m . (A Spor - in Turkish)
 
Liverpool wamekubali mkataba wa miaka miwili
na beki wa Croatia Domagoj Vida, 29, lakini
atalazimika kununuliwa kwa bei ya Besikitas ya
£22m . (A Spor - in Turkish)

Hii taarifa juzi niliiona pia, ila jana nimesoma sehemu kwenye Liverpool Echo kama sikosei Klopp anasema hatosajili beki yoyote dirisha hili. Hili sijui limekaaje ingawa jamaa ameshine kwenye world cup kama akipatikana sio vibaya maana wakina Matip injury zishaanza hata ligi haijaanza ingawa jamaa umri umeenda kimtindo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom