Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

IMG_20180728_114416_769.jpg
 
Tatu tayar dakika ya 80

Huyu philips anastahili kucheza badala ya Lovlen
 
Leo man u akipigwa ntafurah sana maana mourinho ashaanza kumnanga klopp kwny Ku spend hela nyng usajili huu
Furahi gem imekwisha 4-1 ha haaa

Kama ilivyokua mechi ilipita kikosi cha pili ndo kimecheza vizuri zaidi Cat jones hakung`ara leo nzani hakupangwa upande wake leo
 
Last edited:
True kabisa bredren!!

But i really don't see us signing any new player again.... Ila naomba deal la Fekir lifanikiwe tu.. the guy is creative!

Huyu Fekir ni mgonjwa,period!

Kama angekuwa mzima sasa hivi angekuwa mchezaji halali wa LFC!

Hivi nini maana ya kufanya medical b4 finalizing the transfer? Kama matokeo ya medical hamtaki kukubaliana nayo?

I wanted to see Fekir at LFC badly,but kama ana goti bovu muacheni abaki hukohuko tu

Heavy metal football haitomfaa kabisa
 
Basi utaanza kusikia 'huu ni mwaka wetu'

😀😀😀
Tayar huko mmoja kasema washatuma salam epl kasahau kama mwaka jana klopp hii ndo aliibeba china na barcelona walimfunga 4-1 ktk hizi mechi za kupasha misuli
 
Tayar huko mmoja kasema washatuma salam epl kasahau kama mwaka jana klopp hii ndo aliibeba china na barcelona walimfunga 4-1 ktk hizi mechi za kupasha misuli
Hawa jamaa kwa kujipa matumaini hawajambo.
 
Huyu Fekir ni mgonjwa,period!

Kama angekuwa mzima sasa hivi angekuwa mchezaji halali wa LFC!

Hivi nini maana ya kufanya medical b4 finalizing the transfer? Kama matokeo ya medical hamtaki kukubaliana nayo?

I wanted to see Fekir at LFC badly,but kama ana goti bovu muacheni abaki hukohuko tu

Heavy metal football haitomfaa kabisa
Shaqir atasimama nafasi yake kapangwa kati leo na kacheza vyema sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom