Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hii taarifa juzi niliiona pia, ila jana nimesoma sehemu kwenye Liverpool Echo kama sikosei Klopp anasema hatosajili beki yoyote dirisha hili. Hili sijui limekaaje ingawa jamaa ameshine kwenye world cup kama akipatikana sio vibaya maana wakina Matip injury zishaanza hata ligi haijaanza ingawa jamaa umri umeenda kimtindo.
usajil wa huyu jamaa unaweza kuwa mzuri hasa akicheza pamoja na lovren ngoja tuone kama hili dili litakamilika
 
Jose Mourinho Sijui Anavuta Bangi ya Wapi!! Anaisemea Liverpool Kuwa Kwa Pesa ilizotumia Kwa Usajili Watalazimika Washinde [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG].... Hivi Kasahau Kupiga Hesabu Kwa Pesa Alizotumia Yeye Pale Man United???!!!

Au anahisi Wale Kina Pogba, Lukaku, Fred, Matic, Lindelof, Sanchez wote hao Kahongwa hakuwanunua?

Kwanza alikuwa ajiangalie yeye Kuwa Pesa alizotumia Ni Lazima abebe [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG]...
 
Liverpool wamekubali mkataba wa miaka miwili
na beki wa Croatia Domagoj Vida, 29, lakini
atalazimika kununuliwa kwa bei ya Besikitas ya
£22m . (A Spor - in Turkish)

Hakuna Kitu Kama Hichi, Klopp Bado Hajashawishika na Uwezo Wa Vida... Na Vilevile Klopp Hajaipa Priority kutafuta CB bali Kipaumbele Chake Ni Kwa Attackiy Midfielder baada ya Kumkosa Fekir...

Na Kwa Window Hii nadhani Hatosajili tena Mpaka January au Next summer.

Hii taarifa juzi niliiona pia, ila jana nimesoma sehemu kwenye Liverpool Echo kama sikosei Klopp anasema hatosajili beki yoyote dirisha hili. Hili sijui limekaaje ingawa jamaa ameshine kwenye world cup kama akipatikana sio vibaya maana wakina Matip injury zishaanza hata ligi haijaanza ingawa jamaa umri umeenda kimtindo.
 
*UEFA Champions League 2018-2019 Pots*

*ᴄʜᴀᴍᴘɪᴏɴs ʟᴇᴀɢᴜᴇ*

*POT 1⃣*

Atletico Madrid
Barcelona
PSG
Lokomotiv Moscow
Bayern Munich
Juventus
Manchester City
Real Madrid

*POT 2⃣*

Tottenham
FC Porto
Shakhtar Donetsk
SSC Napoli
Dortmund
Man United
Benfica
FC Basel

*POT 3⃣*

Liverpool
Monaco
Schalke 04
Ajax
Roma
RB Salzburg
Lyon
CSKA Moscow

*POT 4⃣*

Valencia
Viktoria Plzen
Club Brugge
Inter Milan
PSV Eindhoven
Celtic
Galatasaray
Hoffenheim
 
Katika Hii Preseason Ni Madogo Wawili tu Mpaka sasa Ndiyo niliwaona Tayari Wanaweza Kubaki Katika Senior Team na Kuweza Kuwa Back up players wetu.
Ni Curtis Jones na Camacho.... Waliobakia Wanaweza itabidi Watokewe Kwa Mkopo wakajifunze Zaidi.
Upo sawa kabisa huyo jones ni kipaji kitam sana kama kitapewa walau dakika 20 Camacho katengeneza goli la kwanza yupo vizuri sanaa najiuliza hii nafasi beki 2 itakuaje msimu huu mimi nimependa Camacho anashambulia vizur zaidi ya waliopo. nakushauli mchunguze na yule beki tano jezi nmba 47 philips kama sijakosea kwa hizi meche 2 nilizo ona angefaa sana kuwepo mana kiakili kamzidi Lovlen.nataman glujic na urig wasitolewe ili washiliki makombe madogo.

Yani leo ya 2 ndo ilicheza vyema zaidi nimefarijika kwakweli
 
usajil wa huyu jamaa unaweza kuwa mzuri hasa akicheza pamoja na lovren ngoja tuone kama hili dili litakamilika
Yani kule kijisahau kwa lovlen umekusahau kabsaa anapotea sana kwenye kula na adui hafai Vida acheze na vvd
 
Yani kule kijisahau kwa lovlen umekusahau kabsaa anapotea sana kwenye kula na adui hafai Vida acheze na vvd
Lovren anafanya makosa mengi sana ya kijinga..Liver inahitaji top defender wa sampuli ya Kollibaly wa Napoli...Acheze na VVD nina uhakika kwa magoli mnayofunga mnaweza mkapigania ubingwa.

Zaidi ya VVD Hamna beki wa kueleweka.Kuna mechi inabidi ushinde 1-0 ili uweze kuwa bingwa.
 
Jose Mourinho Sijui Anavuta Bangi ya Wapi!! Anaisemea Liverpool Kuwa Kwa Pesa ilizotumia Kwa Usajili Watalazimika Washinde [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG].... Hivi Kasahau Kupiga Hesabu Kwa Pesa Alizotumia Yeye Pale Man United???!!!

Au anahisi Wale Kina Pogba, Lukaku, Fred, Matic, Lindelof, Sanchez wote hao Kahongwa hakuwanunua?

Kwanza alikuwa ajiangalie yeye Kuwa Pesa alizotumia Ni Lazima abebe [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG]...
Anajaribu kujinasua kiana ha haaa ili ikitokea tumelibeba aseme tulistahili.

Hii ni khofu inamsumbua mana kwa tea tuliokua nayo na matokeo tuliopata anajiuliza patatosha kweli msimu huu.

Natamani mnoo Fekir

Hii team kwa ufundi wa klop labda kama kuna laana inatuandama tutakosa kombe

Fainal 3 mpaka sasa nafasi za juu kwenye leage
 
Hakuna Kitu Kama Hichi, Klopp Bado Hajashawishika na Uwezo Wa Vida... Na Vilevile Klopp Hajaipa Priority kutafuta CB bali Kipaumbele Chake Ni Kwa Attackiy Midfielder baada ya Kumkosa Fekir...

Na Kwa Window Hii nadhani Hatosajili tena Mpaka January au Next summer.
UNAMAANISHA FIKIR HATUMPATI TENA?
 
Lovren anafanya makosa mengi sana ya kijinga..Liver inahitaji top defender wa sampuli ya Kollibaly wa Napoli...Acheze na VVD nina uhakika kwa magoli mnayofunga mnaweza mkapigania ubingwa.

Zaidi ya VVD Hamna beki wa kueleweka.Kuna mechi inabidi ushinde 1-0 ili uweze kuwa bingwa.
Sana hata kwenye haya mashindano amepishana na mipira zaidi ya sita kwa vile haikua magoli watu hawashtuki ila makosa yalikwepo analukia mpila asioufikia kukiwa adui mnakwisha kama ile mech ya man u
 
theres no doubt kuwa tumekuwa na good window tangu FSG wachukue Club, but lets not lie to ourselves, this isnt a title winning squad (hasa EPL).

EPL ni marathon, kushinda hili kombe unahitaji depth, kama siyo depth unahitaji kuwa na bahati ya wachezaji muhimu kuepuka majeruhi, last year the Fab 3 kept us kwenye top four kwasababu walicheza most of the games (hasa Firmino and Salah), but tunayajua ya kesho? what if mmoja kati ya mane/salah/Firmino akiumia au akipata majeraha ya muda mrefu? tutakuwa able kucompete?

no doubt we've added qualities in the GK area and kwenye MF, but depth ya kwenye attack ni ndogo (despite having shaqiri), na pia we're so short kwenye CB options.

having depth kwenye squad, maana yake ni kuwa na wachezaji ambao wanaweza kutokea bench na kuleta mabadiliko, au wachezaji ambao wanaweza wakaanza game na kuwa na impacts kubwa, LFC hatuna depth hiyo, Dejan Lovren is our 1st choice LCB, sasa you can imagine his 2nd choice atakuwa ni m-bovu kiasi gani kama tu Dejan Lovren ni 1st choice, on top of that our only reliable CB kwenye team ni VVD, swali linakuja pale pale what if akiumia? then kwenye attacking depth, tumeongeza quality addition in Shaqiri, but again we lack creativity, last season post-coutinho departure, tulidraw games nyingi sana hasa zile ambazo zile team pinzani walikuwa wanadefend deep (one of the reason we fell short and finished fourth), so we really want to challenge this season we need a number 10 who can create easy chances for the fab 3, Klopp used Mane kama number 10 kwenye baadhi ya games last season, but if we get a good number 10 kazi ya fab 3 itakuwa rahisi sana, na magoal yataongezeka mengi sana, and thats where Fekir came into the equation, Klopp wanted Fekir kwasababu ni Firmino 2.0, he can play as a 10 na pia kama False 9, so ukiwa na wachezaji wa aina hii wawili kwenye team yako what more do you need?

Solanke/Origi/Ings/Lallana etc ukifananisha na ile fab 3 utagundua kuwa kuna tofauti kubwa sana ya ubora, squad ya namna hii ni ngumu sana kubeba makombe makubwa na itakuwa worse possible scenario kama Fab 3 wakiumia, the only reliable player upfront atakuwa ni Shaqiri tu, well didnt mention DS coz sina uhakika kama anaweza kulast 2-3 games bila injuries.

kwenye CL final, Madrid brought Bale from the Bench na akaleta utofauti mkubwa tu, and we subbed on Lallana ambaye alienda kuharibu shape nzima ya mashambulizi. Pep guardiola can bench Sane/Sterling/Silva/Aguero/Bernado/Ferna/Gundogan/Kompany/Stones/Walker etc na kupata matokeo, but its quite evident kuwa Klopp cant bench Salah/Mane/Firmino/VVD na kupata matokeo (glad we've added Naby and Faby ambao pia Klopp cant afford kuwabench pamoja na fab 3 na kuexpect matokeo).

Get another reliable CB and a good number 10, then pray for injuries ndogo ndogo tu kwa important players, and we can challenge Man City and other top six clubs to the very end.
True kabisa bredren!!

But i really don't see us signing any new player again.... Ila naomba deal la Fekir lifanikiwe tu.. the guy is creative!
 
Liverpool keshokutwa asubuhi inatazamiwa kukipiga na Manchester United katika Jiji la Michigan na tayari Kocha wa Manchester United, Jose Mourinho ameanza kuipa presha timu hiyo kwa kudai inastahili kuchukua ubingwa.

Kwa jumla Liverpool imetumia kiasi cha Pauni 250 milioni tangu Januari baada ya kumnunua mlinzi mahiri wa kimataifa wa Uholanzi, Virgil van Dijik dirisha la Januari kwa dau la Pauni 75 milioni akitokea Southampton na kuvunja rekodi ya dunia ya uhamisho kwa upande wa walinzi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom