Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Fernando Muslera akiwa na Tunzo Yake baada Ya Mechi Ya Timu Yake vs France.
Liver leo mnacheza , leten kikos chenu na itaoneshwa channel gan, japo nimesikia App ya liver watarusha
Ok , thanksLFCTV wataonesha Live
Ile tabia ya beki kuvaa jersey numbers za viungo na viungo nao kufanya issue kama hizo inaleta ukakasi sana na leo imebidi Fabinho avae namba 3 kwa sababu ya issues kama hizi
Huyu wilson atatufaa Sana Msimu huu
Hiyo Namba 3 aliyovaa Fabinho Leo Ni Temporary tu mpaka Pale Lovren atakaporudi Russia Kuikabidhi Namba 6 Kwa Fabinho.
with or without concussion am not 100% convinced Karius will perfom for us to land EPL coming season...Mkuu Karius anarejea Kuwa GK wetu Namba Moja Kwani Hata Klopp tayari ameshakubali Kuwa Errors alizofanya Karius vs Madrid Ni Sababu ya [HASHTAG]#Concussion[/HASHTAG]! Klopp Leo ameongea Hivi ↓↓
“Whoever had a concussion knows there is not one way how it feels, there are different ways. He didn’t feel it obviously. He had a knock on his head and he felt that but he didn’t know he had a concussion. That’s how concussions are. The guy who has it is the last one to be aware of it probably.
“With all the intensity of the game, adrenaline and the disappointment after the game, nobody really thought about that. I needed a few days, to be honest, to accept the fact and deal with the situation [of losing the final]. It was not that easy.
Wewe nakwambiaga kila siku kwa hili umepotoka,kwahiyo ERIC DIER ni mbovu? Ni bonge la mido lakini HENDO anamsugulisha......Hendo amesifiwa mpaka na SAF wewe unamponda ,kwahiyo SOUTHGATE na KLOPP hawajui walifanyalo?timu inapata matokeo liverpool imefika champions league final na ipo big 4 epl ww bado tu unamponda HENDO hebu sema una visa gani na huyu jamaaMidfielders Za England Zinazoanza Ni:
Hendo
Alli
Sterling
Lingard
Hao Wote Ni Wakawaida tu lakini Waingereza Wanasali asijeumia Hata mmoja.
Wachezaji (Midfielders) Wa Hakiba Wa Timu ya Taifa Ya ENGLAND Ni:
Loftus-Cheek
Rashford
TAA
Jimy Vardy
Eric Dier
Danny Welbeck
Sasa Kwa Mido Hizo Unazani Hapo Henderson anacheza Kwasababu Ni Bora au Anacheza Kwasababu England hawana Mwengine kutokana na Kuwa Wachezaji Wakuokotea?
Kwa Mido Hizo Za Kuungaunga Hapo Hendo Ni Sawa Na Messi.. Lakini Kwenye Uhalisia Hendo Ni Sawa na Adam Salamba.
Usichukue Mchezaji Anaepata Dakika 90 katika Kikosi cha Average Players ukafanya Ni Kipimo Cha Ubora.
Klopp Kama Anamuamini Henderson asingelihangaika na Fekir.
Subiri Season Hii Ujio Wa Fabinho, Keita na iwapo OX atarudi Kuwa Fiti uone Hendo atakapoishia! Mkuu tusubiri Muda tu Time will tell.
Mkuu hao ni watu wa kusifia majina,achana nao!Wewe nakwambiaga kila siku kwa hili umepotoka,kwahiyo ERIC DIER ni mbovu? Ni bonge la mido lakini HENDO anamsugulisha......Hendo amesifiwa mpaka na SAF wewe unamponda ,kwahiyo SOUTHGATE na KLOPP hawajui walifanyalo?timu inapata matokeo liverpool imefika champions league final na ipo big 4 epl ww bado tu unamponda HENDO hebu sema una visa gani na huyu jamaa
SG never played either WC kota final or WC semi final kwa hiyo kwenye ngazi ya Taifa Hendo ni zaidi ya SGH
Henderson wil never be as SG, hizo ni ndoto....yule ni mwanariadha na ucaptain wa Liverpool aliuapata kwa utaifa wake i guess...ila sio kwa kazi kazi...
Wanacheza semis na Croatia Jumatano!Barcelona’s Jasper Cillessen and Stoke City’s Jack Butland have so far been ruled out because they are not seen as significant upgrades on Karius, Simon Mignolet and Danny Ward, the other goalkeepers at Liverpool, according to Paul Joyce.
Wanacheza semis na Croatia Jumatano!
Bado umekariri kama mido za England hazijui kitu?
Si ww ni mmoja wa watu wa majina,Jumatano hao akina Modric wenu akina Rakitic easily tu wanazimwa na Hendo katikati!
Tunza msg hii,England anamfunga Croatia wala matuta hawafiki na Hendo atatakata tena katikati!