Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
'If Pirlo plays that ball...' - Ferdinand lauds outstanding Henderson display
Rio Ferdinand just had to talk about Jordan Henderson's performance v Sweden
Alan Shearer hails Sunderland-born Liverpool star Jordan Henderson as England reach World Cup semi-final
Shearer na Rio wanasema kama Henderson ataendelea kucheza kama alivyo cheza mechi hizi hasa ya jana na Swede basi England wanaweza chukua WC
Hawa nguli wameliona hili,lkn hapa tumekariri tu majina ya wachezaji!!
Thank God anazidi kuwakata kilimi kilimi,na bado!
Hiyo Ndiyo Sifa Ya Waingereza Kuwa-overrate Wachezaji Wao pamoja na Timu yao.
Kwani Jana baada ya Maguire Kufunga goli Wameshaanza Kuchapisha Papers eti "Maguire Ni Best Center Back Katika hii World Cup".
Lakini Cha ajabu Mpaka Leo Wameshindwa Kuuona Uwezo Wa Raheem Sterling na Wanamlaumu.