Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

H
Man, niliona mtu ametweet kuwa Henderson is a better captain for LFC kuliko alivyokuwa SG, sababu yake ni kuwa jamaa anashout sana kwa refs na kupoint a lot. hahahahahaha

Henderson completed only 22 passes against Colombia and had less touches than keeper wao Jordan Pickford, it means Pickford distributed the ball zaidi ya the Controlling Midfield, Henderson but kwakuwa alikuwa anashout sana kwa referee na kupoint backwards kila wenzake wakiwa na mpira, he is a better captain than SG.

tells you a lot, kwanini WIJNALDUM (a number 10 turned into b2b midfielder) was a standout midfielder kwa upande wa LFC against Madrid huku akisaidiwa kupoint na Captain Henderson, whilst a 23 years old SG inspired the greatest comeback in UCL history against a full packed AC MILAN.
Henderson wil never be as SG, hizo ni ndoto....yule ni mwanariadha na ucaptain wa Liverpool aliuapata kwa utaifa wake i guess...ila sio kwa kazi kazi...
 
Baada Ya deal la Allison na Oblack kutokuonesha dalili za Kufanikiwa, Ni Wazi Kuwa Karius ataendelea Kuwa Our first choice GK katika season hii. Najaribu Kujiaminisha Kuwa Bado Nampa Nafasi (Second Chance) Msimu huu Wa Kuweza Kutuprove wrong.

Kuhusu CB pia Kuna uwezekano Wa Kutokuwa na Signing yoyote Kwani Tukumbuke Kuwa Long term solution ya Klopp Ni Joe Gomez katika CB. But it depends na kile atakachomuonesha Klopp this pre-season.
Duu sina imani na Karius kabisa bora hata angemfuata Kepa Spain kama hao targets wameshidikana...
CB pia ni muhimu, to win any silverware msimu ujao tunahitaji kila idare iwe kamili sio kunahatisha mara Karius au Migo...
Man city Bravo aliwapoteza msimu.uliofuata hawasubiri ni chap usajili..
Klopp hii section ya ulinzi na kila asipoipa priority tutakua tunasidikiza wengine...
 
Klopp hamuamini kabisa Joe Gomez kwenye nafasi ya Centre back, huwa anaprefer kumchezesha kama LB, and wont be suprised kama akimtoa kwa mkopo this season. eneo la fullbacks lipo covered now, Arnold and Clyne as RBs, Robertson and Moreno as LBs. i mean Klopp had a chance to play Joe Gomez last season kwenye eneo la CB baada ya zile blunders za Lovren, but at the end he continued to rotate Lovren/Klavan/Matip mpaka tulipomsign VVD, so itakuwa better sana kama akipata a young CB ambaye atamuamini kwa ajili ya long term solution.

i said on here kuwa, kama hatutapata a certified world class GK, kwasababu ya kuwa priced out, wont mind kama tukiendelea na Karius kuliko kununua keepers kama Butland or Matt Ryan. though can see Mignolet leaving this summer, na 100% kuwa tutanunua a 2nd choice GK kwa ajili ya kumreplace Mignolet. i'd be over the moon kama tukisign keepers aina ya Allison and Oblak, but the sad reality is FSG arent paying 70m or 90m for a Keeper. and again we need to remember that our GK coach is Archterbeg, if he managed to ruin Reina sidhani kama atashindwa kwa hawa kina Allison, bado naikumbuka ile kauli yake wakati tumemsign Bogdan, kuwa Bogdan angeleta upinzani kwa Mignolet.

that being said, if we cant get a top keeper, concentrate on strengthen the backline and make plenty of solid additions kwenye attacking options.
 
H

Henderson wil never be as SG, hizo ni ndoto....yule ni mwanariadha na ucaptain wa Liverpool aliuapata kwa utaifa wake i guess...ila sio kwa kazi kazi...

Henderson being a captain kwenye one of the most prestigious clubs in the world, inatukumbusha kuwa MUNGU yupo na anaendelea kutenda miujiza.
 
Lovren anavaa hiyo jezi namba 6 hadi kwenye timu ya taifa. Inaonekana anaipenda hiyo jersey kuliko zote pengine labda kabla ya ubeki alishakuwaga kiungo wakati wa nyuma, siunajua kuna wachezaji wameshacheza namba nyingi

LOL!!!!!!

naona unalikosea heshima neno "midfield", tayari tunae henderson ambaye kila anapocheza mpira huwa anali-disgrace hilo neno, and now unataka utuongezee a braindead footballer kama Lovren.

he's never played as a CM. i guess hiyo number itakuwa inahusiana na ile time aliyokuwa refugee, nadhan itakuwa inamaanisha kitu kwenye maisha yake as a refugee.

can be a big excuse but kama Fundi ambaye tumemkosa tangu kina Mascherano waondoke 2009, anahitaji hiyo number ni lazima apewe. kwanza Lovren need to be shifted man.
 
FABINHO winning ON and OFF the pitch. another day in the office for BALLERS like him.
 
Attachments

  • Screen-Shot-2018-05-29-at-5.31.44-PM.png
    Screen-Shot-2018-05-29-at-5.31.44-PM.png
    139 KB · Views: 33
  • rebeca-tavares-diem-tua-tinh-than-cua-fabinho-6f3fbf.jpg
    rebeca-tavares-diem-tua-tinh-than-cua-fabinho-6f3fbf.jpg
    57.2 KB · Views: 36
  • tavares.jpg
    tavares.jpg
    32.7 KB · Views: 34
Ronaldo to Juve, Neymar to Madrid, Mane to PSG. most likely scenario loool

need Mane to sign that contract ASAP
 
Duu sina imani na Karius kabisa bora hata angemfuata Kepa Spain kama hao targets wameshidikana...
CB pia ni muhimu, to win any silverware msimu ujao tunahitaji kila idare iwe kamili sio kunahatisha mara Karius au Migo...
Man city Bravo aliwapoteza msimu.uliofuata hawasubiri ni chap usajili..
Klopp hii section ya ulinzi na kila asipoipa priority tutakua tunasidikiza wengine...

Mkuu Karius anarejea Kuwa GK wetu Namba Moja Kwani Hata Klopp tayari ameshakubali Kuwa Errors alizofanya Karius vs Madrid Ni Sababu ya [HASHTAG]#Concussion[/HASHTAG]! Klopp Leo ameongea Hivi ↓↓

“Whoever had a concussion knows there is not one way how it feels, there are different ways. He didn’t feel it obviously. He had a knock on his head and he felt that but he didn’t know he had a concussion. That’s how concussions are. The guy who has it is the last one to be aware of it probably.

“With all the intensity of the game, adrenaline and the disappointment after the game, nobody really thought about that. I needed a few days, to be honest, to accept the fact and deal with the situation [of losing the final]. It was not that easy.
 
Klopp aache kiburi ,lakin soka halichezwi chumbani naamini atarud sokoni kwa aibu kutafuta kipa,

Karius sio kipa wakudaka liver, ana udhaifu mwingi sana, hata malejendar wa liver walisema hili kabla ya mech na madrid,
 
Jürgen Klopp: “The work is always going on, that’s how it is. Why should we stop until the window is closed?”

Maneno Hayo ↑↑ ya Klopp Kuhusu Usajili yametengeza Siku yangu Ya Leo! 😀 😀 I'm very happy...!
Ni Wazi Kuwa Klopp ataongeza Mchezaji/Wachezaji Katika Kikosi Chetu..
 
Klopp aache kiburi ,lakin soka halichezwi chumbani naamini atarud sokoni kwa aibu kutafuta kipa,

Karius sio kipa wakudaka liver, ana udhaifu mwingi sana, hata malejendar wa liver walisema hili kabla ya mech na madrid,

Mkuu Kwa Hili Nadhani Klopp Halaumiki.

Klopp yupo Tayari Kufanya Usajili Wa Kipa lakini Wamiliki Wa Timu [HASHTAG]#FSG[/HASHTAG] ndiyo Hawapotayari kusacrifice £70 to £80m Kwa ajili ya GK that is why Wameamua Kukaa Pembeni Kwa Alison na Oblak ambao ndoyo ilikuwa target ya Klopp.

So, Kutokana na Klopp Kuwakosa Hao ndiyo kaamua Kubaki na Karius Kwani Kwa sasa Ukitoa De Gea, Ter Stegen na Court basi Hao Alison na Oblak ndiyo World Class GK. Si Rahisi Kwa Mtu Kama Klopp Kumreplace Karius Kwa GK from Midtable team Ambao wengoli wao Ni Mignolet type.
 
1. Henderson debate:

so far Henderson binafsi hata cha kusema sina - i can't say i like or dislike the guy, and that speaks volume.
let's wait n see - nadhani ujio wa Fabinho utamuweka mmojawapo (Fabinho or Henderson) mahala anapostahili.

2. GK debate:

mimi naona tumwache dogo Karius apewe nafasi nyengine - just like Fergie alivyompa DeGea wakati ule.

nikiangalia alternatives i really can't see any better, nailed-on and flawless option katika wanaotajwatajwa - i mean not kivile!

mfano Allison (Roma): tumempiga goli 7 nje ndani kwenye UCL. je angekuwa Karius si tungemchinja?

mwingine DeGea: kwenye big stage (Spain WC) tumeona alivyo flop.

the list goes on.... so, let's give the kid (Karius) another shot so he can prove (or screw) himself.

3. matumizi sahihi ya pesa

badala ya kumwaga pesa nyingi kwa ajili ya GK mwingine, hiyo moolah itumike hivi:

- tununue CB mpya mbadala wa Matip/Klavan
- tununue another out-and-out striker (a certain Hugain, Lewandowsky, etc) kwa ajili ya zile timu ngumu zinazokwamisha zile "formula 1" zetu (Mane & Salah) kwenye "traffic jam"!

anyways.....YNWA
 
Mkuu Kwa Hili Nadhani Klopp Halaumiki.

Klopp yupo Tayari Kufanya Usajili Wa Kipa lakini Wamiliki Wa Timu [HASHTAG]#FSG[/HASHTAG] ndiyo Hawapotayari kusacrifice £70 to £80m Kwa ajili ya GK that is why Wameamua Kukaa Pembeni Kwa Alison na Oblak ambao ndoyo ilikuwa target ya Klopp.

So, Kutokana na Klopp Kuwakosa Hao ndiyo kaamua Kubaki na Karius Kwani Kwa sasa Ukitoa De Gea, Ter Stegen na Court basi Hao Alison na Oblak ndiyo World Class GK. Si Rahisi Kwa Mtu Kama Klopp Kumreplace Karius Kwa GK from Midtable team Ambao wengoli wao Ni Mignolet type.
Ni nadra sana kutoa 70-80 hata 50 kwa golikipa, hata wamiliki wapo sahihi huwezi kutoa hela yote hiyo kwa goli kipa, mimi sio mshabiki wa liver,ila naangalia sana mechi zenu, toka aje VVD amebalance sana beki yenu, hivo hamuhitaji World class golikeeper mnahitaji hata average kipa tu,

Kwa karius ana makosa mengi ambayo ni binafsi , ambayo kipa aliye average anayaficha,

Kuna kitu nilikiona kwa Mignolet, yule kipa sio mbaya kiasi kwamba anazidiwa uwezo na karius, kipa ambaye ameshaifikisha Liver nafas ya pili ligi kuu kwenye mech zaid ya 30+ ,amekumbana na mikikimiki mingi, tena kipindi liver beki yake inayumba sana, kuliko hii ya sasa ambayo ilichukua muda mrefu watu kubaini Karius sio kipa mzuri ,

Naweza kusema jambo moja iwapo Klopp ataamua amrudishe golini Mignolet na hii beki ya sasa basi atasahau kwenda sokon kununua kipa, Mignolet ana makosa na tuliyaona lakini utagundua karius ana makosa zaidi, siku ya mech na madrid nilimwambia rafiki yangu mshabiki wa liver iwapo klopp atampanga Mignolet basi naamini mna nafas kubwa sana ya kushinda maana sina hofu na beki yenu .Alinipinga sana, kesho yake alikiri ni kweli kipa ana umuhimu mkubwa sana, kuna kipa wa Liver ya miaka ya 78-80 alisema pia ana wasi wasi sana na karius kuelekea ile mechi,

Kiukweli ,Kama klopp hatarud sokon kwa ajir ya kipa bas Ningemshauri amuamini Mignolet, ni kama zidane aliamua kumuanin NAVAS ambaye kiuwezo hana tofaut na Mignolet, lakin hakutaka amuaamin KIKO CASILA AU LUCA ZIDANE ambao uwezo wao hautofautiani na Karius.
 
Liver leo mnacheza , leten kikos chenu na itaoneshwa channel gan, japo nimesikia App ya liver watarusha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom