Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,121
- 14,032
Hao wanaoandika hizi story ndio walisema Fekir ni mchezaji wa Liverpool,umeelewa hiyo statement ya OL kwenye website yao?Deal for Nabil Fekir not dead. lfc wanted to restructure terms to reflect issues with medical. Lyon président Jean-Michel Aulas a notoriously tough negotiator, refusing - so far - to budge on agreed deal. Fekir still wants Liverpool, and talks will resume after World Cup
Labda last season hukuwa na smartphone, lakini hata kusoma mwanasport ulishindwa?Deal for Nabil Fekir not dead. lfc wanted to restructure terms to reflect issues with medical. Lyon président Jean-Michel Aulas a notoriously tough negotiator, refusing - so far - to budge on agreed deal. Fekir still wants Liverpool, and talks will resume after World Cup
Manyumbu banaLivapuli wakijaribu kuomba punguzo la gharamaView attachment 798919View attachment 798921
Endelea kuota.Labda last season hukuwa na smartphone, lakini hata kusoma mwanasport ulishindwa?
Fekir's dream team ni Manchester united na alishakiri mwenyewe, saizi anaonekana anatamani kuja kwenu maana anajua utd haitamsajili
This fekir crap has made me sick to my stomach
Merseyside craps would buy an English Muppet for 50m, but wouldn't go for a French Muslim easily
Losing fekir will signal the end of klopp era... He will leave
Yap....hata mi nililiona hilo...eti alipogongana na Ramos alipata tatizo lililopelekea wrong vision..huyu kipa bao la Bale la mwisho pamoja na lile la Xhaka Arsenal vs Liverpool 3-3 halitofautiani hata kdogo...bao ni kama lile lile tu na inaonekana ndio udhaifu wake..sasa kama ni hivyo je alipata wrong vision pia ktk mchezo dhidi ya arsenal???...jibu ni kuwa hafai kuchezea timu kubwa..[HASHTAG]#FSG[/HASHTAG] Ni Wazi Kuwa Bado Wanatuendelezea Hadaa!
Baada Ya Kuona Wachezaji na Washabiki Wa Liverpool Wamepoteza imani na Loris Karius Kwa Kufungisha Mechi Ya Final...
[HASHTAG]#FSG[/HASHTAG] wameamua Kuandaa Swaga Kwa Kumpeleka Karius Marekani then Madokta Wakatangaza Kuwa Baada Ya Kugongwa na Ramos amepata Concussion mchezoni jambo lilimpelekea Kuwa na Wrong Vision ndiyomana akafungisha ili Wapate Excuse ya Kutosajili Kipa Mwengine Kwani Hawakotayari Kutoa more than £60m Kwa ajili ya GK.
Na Jana Walipoona Michael Edward anaendelea Vizuri Kukamilisha Negotiation basi [HASHTAG]#FSG[/HASHTAG] fasta Wakampeleka Barry Hunter Kwenda Ku-Kill the deal...
Now let us enjoy the Coming of Xhaqiri..
Dogo jiheshimu sana,hii ni JF utajikuta unatukana baba zako oooohhhh mama zenu wenyewe hawaeleweki .....shubamitt..mtu mwenyewe jina lako UNABANDULIWA sasa tafuta wakukubandua huko mtaani kwenu....Hili jukwaa la Liverpool, hao mabasha zenu kawatangazeni huko kwenu. Wasengerema mwili mzima nyie !
Una MIMBA nini mkuu?...ondoa kichefuchefu hapa !
Khaaaaaa mkuu jamaa anaitwa national team BRAZIL unasema hana kipaji? Huyo martial kama ana kipaji kikubwa angeachwa france?AHAHHAHAHAHAHHAHHAHHAHAH,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,Mzee baba, Willian ana kipaji kuliko Martial ?!!
Mbona wakata tamaa mapema mkuu dirisha lipo wazi mpaka septemba....waweza chukua hata fundi ramsey pesa yunu tuYani Sipati Picha Namuona tena Captain Mjinga Hendo Huyo anakuja Kutawala Tena Kwenye Midfield...
Mwaka Mwengine unakuja Wa 2018/19 Wa Kuondoka Patupu bila ya Hata Carabao...
This fekir crap has made me sick to my stomach
Merseyside craps would buy an English Muppet for 50m, but wouldn't go for a French Muslim easily
Losing fekir will signal the end of klopp era... He will leave