Bandiwe
JF-Expert Member
- Oct 19, 2013
- 9,530
- 3,556
...ondoa kichefuchefu hapa !We jamaa unaumwa nn....unapoona mchezaji wa timu nyingine anahusishwa jua fika kuwa kuna sababu iliyopelekea yy kuhusishwa...kwan wenyewe hawafahamu kuwa hili ni jukwaa la liverpool....tunajua una mahaba na timu yako ila wape nafasi na wengine..


