Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Gini namkubali kwenye dribling, ila ananichosha tu kwenye kupiga pasi za mashambulizi hawezi halafu ni mzito kuchukua maamuzi sahihi kwa haraka

his role aliyokuwa anacheza ilikuwa inamlimit.

kazi kubwa ya Gini ilikuwa ni kuifanya team iwe na control na mpira (kukaa na mpira na kupunguza nguvu za counters za adui) thats ilikuwa ni mara chache sana kumuona akisogeza zaidi mbele au kucheza through balls za mara kwa mara.

sasa hivi atakuwa na freedom kubwa sana, and he'll enjoy the game to the fullest.

he's a very good player.
 
Tatizo lingine kubwa naliona hapo ni tamaa za hawa mabosi wenu, nafikiri Kama hawa outstanding players watabaki at least 2 more season na kuongeza nguvu na usajili wa wachezaji waliokamilika kadhaa mnaweza kuzingumzia EPL, ila sasa there is chance hizo two more seasons zikawa trophless, kama ikiwa hivyo je hawa outstanding players watavumilia for that long bila medali na mabosi watajizuia na majaribu ya ofa za hela ndefu zikija? na wakiondoka huoni Kama mtakuwa mnaanza tena upya "kujenga".. Kwa kuwa naona moja ya weaknes ya Klopp ni Kama kocha anayetaka kuwa na the perfect team(best chemistry ) ili kushinda vikombe, yaani ni opposite ya kocha kama Mou ambaye anaweza kushinda vikombe kijanja janja hata kama ana vimeo kwenye timu(huyu mtu anaweza hata kuanzisha mabeki 8 kwenye line up yake kama anajua atapaka matokeo fulani anayotaka)

FSG are the main problem. YES.

but now nadhani wameona kile anachoweza kufanya Klopp akiwa bugdet ndogo, na naamini watam-back kwasasa, kwasababu LFC kufika final ya CL nao pia wanapata sifa kubwa sana na pesa zinaongezeka, it means uwekezaji wao unawalipa big time kwasasa, back to back CL footie, CL finalists, ni hela nyingi man. they better start to back him vizuri.

LOL, suala la kuuza wachezaji lipo kwenye DNA ya FSG man, they will never stop selling players, we are so close na kule tutakotaka kufika, hii signing ya Tavarez imeprove hicho kitu, sasa kama FSG watataka kuharibu project ya Klopp kwa kuuza key players kila baada ya two seasons, then nadhan Klopp will walk kama alivyofanya kule Dortmund.

Man, Mourinho tangu aondoke Porto, hajawahi kuwa na kikosi cha ujanja janja, hii team yake ya Utd imekamilika vizuri sana, team ina more than 3 world class talents, Top Class Stiker, top class youngsters etc huwezi kuiita ya kijanja janja. United, players kama Mata, Shaw, Martial etc are overlooked wakat at Liverpool Klopp is forced to sub on Adam Lallana in the CL final. at LFC klopp has Solanke on the bench while Mou has Antony Martial, hiyo siyo team ya kiujanja janja man. its a perfect team ambayo manager ameshindwa ku-utilize players.
 
Kile kikosi cha 2013/4 kilikuwa kinahitaji marekebisho kidogo tu na kumaintain key players naamini kingechukua Epl within 2 seasons lakini walichokuja kukifanya FSG wanakijua wenyewe. Mkuu usiwe unapotea sana
 
his role aliyokuwa anacheza ilikuwa inamlimit.

kazi kubwa ya Gini ilikuwa ni kuifanya team iwe na control na mpira (kukaa na mpira na kupunguza nguvu za counters za adui) thats ilikuwa ni mara chache sana kumuona akisogeza zaidi mbele au kucheza through balls za mara kwa mara.

sasa hivi atakuwa na freedom kubwa sana, and he'll enjoy the game to the fullest.

he's a very good player.

Kwa hiyo alikuwa kama natural 8 sio ?
 
Kwa Mantiki Ya Post Yako Hii Najiridhisha Kuwa Kuwa Mimi Ni Sawa Na BAKHRESSA ninayebishana na MUUZA KARANGA.

Mimi Nimeshift Kutoka Europa Kuja Kushiriki CL. Hapa nimeimprove Kwa Kupiga Hatua Mbele.

Lakini Cha Ajabu wewe Mwenzangu umetoka Kushiriki CL na Kwenda Kushiriki Europa. Hapo umepiga Hatua nyuma.

Then, Wewe unayerudi Nyuma unapata Wapi Ujasiri Wa Kunisema Mimi Ninayekwenda Mbele?

Bora Nikuache tu nispoteze muda wangu Kwa Kubishana na wewe unayeshindwa Kutofautisha Forward na Backward.
Hatua imekusaidia nn...utabaki kushangilia kushinda mechi na si makombe..
 
Kuna Kitu Huwa Munakijua Lakini Munababaisha Kwa Makusudi.

Mara Nyingi Makocha Wanaoshinda Makombe Katika Misimu Yao Ya Mwanzo Huwa Wanshinda Kupitia Foundation imara Za Wengine. Lakini Kocha Aliyekuta Timu Katika Foundation Mbovu Basi lazima imchukue Muda Kujenga Foundation iliyoimara ili aweze Kushinda Makombe.
Nitakupa Mifano.

√ Mtazame Conte ambaye Ni Kocha Mbovu! Last Season alibeba Kombe la EPL Katika Msimu Wake Wa Kwanza na Mashabiki Wa Chelsea Wakaona Wamepata Bonge la Kocha!
Kumbe timu aliyoshindia Kombe Kaikuta Kamili ambayo ilishatengenezwa na Na Foundation ya Mourinho. Alipoipangua Kwa Kutoa Key Players Matic & Costa na Kujenga Foundation Yake Ya Kina Drinkwater, Zappacosta na Bakayoko, muangalie Timu anapoipeleka.

√ Mtazame Wnger Miaka Ya Mwazo 1996 kuja Arsenal Na Kukuta Timu imeshajengwa Foundation imara alivyokuwa na Mafanikio ya EPL, Lakini alipoanza Kujenga Foundation Yake Ya Kina Abou Diaby na Welbeck nadhani unajua Kilichomtokea.

√ Ferguson Baada Ya Kuichukua Man United Mwaka 1986 aliikuta Katika Foundation Mbovu ikamchukuwa Miaka 6 kuijenga mpaka Mwaka 1992 akafanikiwa Kuijenga Foundation imara iliyodumu Kwa Miaka isiyopungua 20. Hatimae Foundation hile Watu Wa Mwisho Kabisa Walioimalizia Ni Paul Scholes, Garry Neville na Ryan Giggs.
Baada Ya Hapo Fergie Akaondoka Akawaachia Warithi Balaa lililopo.
Sasahivi ndiyo Mourinho anajitahidi Kutaka Kutengeneza Foundation imara.

√ Zidane Ni Kocha Aliyepata Mafanikio Kwa Haraka, Lakini angalia Timu imara aliyoikuta ya Kina Ramos, Marcelo, Kroos, Modric, Ronaldo, Bale na Benzema Je Ni Foundation Yake? Ukweli Ni Kwamba Ni Foundation ambayo Kwa 90% Mourinho anahusika. Lakini Subiri Imalizike Foundation Ya Wachezaji aliwakuta ambao wengi wao umri umeshawakimbia ikisha atengeneze Yake ya Kina Asensio na Vasquez uone Mafanikio Yake.

√ Barcelona ilianza Kupata Mafanikio Baada Ya Ridjkad Kuanza Kutengeneza Foundation yake (Ronaldinho, Deco, Eto'o, Yaya Toure) akisaidiwa na Foundation Ya La Macia (Xavi, Messi na Iniest) wakati Huo ikiwa inaanza Kuleta impact.
Hatimae Guardiola akawakuta La Macia Tayari Wameshafikia Katika Peak ndiyo Akafanikiwa Kwa Kiasi Kikubwa Kwa Kikosi Kilichodumj Takriban Miaka 10.
Sasahivi La Macia inaelekea Ukingoni basi Unaona Wanavyonyanyaswa na Hata Roma! Sasa Sijengi Picha Yule Mchawi Messi anaetumia Jitihana Zake Binafsi atakapofikia Ukingoni sijui itakuaje.

TUJE KWENYE POINT:

Na Yeye Klopp huu Ni Msimu Wa 3 tokea aje Liverpool! Lakini To be Honest iangalie Foundation aliyoikuta Ya Kina Mignolet, Henderson, Kolo Toure, Benteke, Lovren, Skirtel, Lucas, Can, Clyne, Moreno, Origi n.k. Ni Kweli anaweza Shinda Kombe?

Lazima imchukue Muda Kujenga Foundation Yake Imara itakayoweza Kuleta Mafanikio.
Na Sasahivi Ndiyo unaona Yupo Anaendelea Na Ujengaji Wa Timu.
Kwavile Timu Hakuikuta na Baadhi Ya Mapungufu tu Kama Atayaziba Kwa Msimu Mmoja Kama Alivyofanya Guardiola! itambidi achukue Muda Zaidi Ya Misimu 3 ili kuijenga Kwani Kaikuta Timu Yote Nzima ina Mchezaji Mmoja tu (Mtoe Coutinho) Anayedeserve Kucheza First XI ambaye Ni Firmino Peke Yake.
Klopp inambidi Ajenge Wachezaji Wote10 waliobakia na Benchi la Subs jambo Ambalo Haiwezekani Kununua Wachezaji Wa Timu Nzima Kwa Msimu mmoja au Miwili.

• Msimu Wake Wa Kwanza Alianza Kujenga Kwa Kumnunua Sadio Mane na Kumpandisha TAA kutoka Academy.

• Msimu Wa Pili Akamnunua Mo Salah, Robertson na VVD

• Na Msimu Huu Kamnunua Keita na Fabinho na Huenda Akamnunua Nabil Fekir, CB na GK.

Sasa Hapo itakuwa Tayari ameshajenga Foundation Yake Mwenyewe na Ndiyo anaweza Kushindania Makombe.
Wenger alichofail si masuala ya foundation bali ni mfumo wa soka la kisasa...alipenda sana vya dezo..
kumbuka arsenal ya 2003/2004 na 2004/2005 aliijenga yy mwenyewe na wala hakujengewa foundation na mtu mwingine..
 
liverpool.jpg
 
Klopp Tofauti Na Makocha Wengine! Yeye Alipokuja tu Liverpool, Msimu Wa Kwanza Mzima na Nusu Yake Aliupoteza Bila Ya Kufanya Maboresho Kwani Alimleta Sadio Mane Pekee Jambo Ambalo lilitutia Hasira Wengi na ikawa Vurugu Hapa Jukwaani Kwa Kitendo Hicho Cha Kutoifanyia Timu Marekebisho na Kukumbatia Wachezaji Wabovu Kina Origi, Sturridge, Hendo, Lallana, Clyne, Klavan, Lovren, Mignolet, Lucas, Moreno n.k.

Timu Hasa Kaanza Kuitengeneza Msimu Huu Uliomalizika Kwa Kuwanunua Keita, Salah, Robertson na VVD

Lakini Kwa Sasahivi Liverpool Haijapata Mafanikio Yoyote Kwanini Hatumsemi Vibaya wala Hatuna Hasira Naye Kama ilivyokuwa Awali?

Jawabu Ni Kwamba Tayari Anatufanyia Kile Tulichokitaka Cha Kuanzia Kuijenga Timu Kuwa Kusajili Wachezaji Wa Ushindani na Kuanza Kuwaeka Pembeni Yale Magarasa Yote.

Tunajua Huezi Kushinda Kombe kama Huna Timu! Kwahiyo Kwanza Atengeze Timu Ndiyo Aje Ashinde Trophy.

Ni Kweli Klopp Aliahidi Miaka 3 ya Kujenga Timu! Hata Mimi Namuunga Mkono Kwa Hilo na Nitaanza Kumuangalia Msimu Ujao Kuwa Nini Atakifanya.
ok sawa mkuu
 
hakuna team duniani inaweza kuchukua kombe na Kiungo cha Henderson/Milner/Lallana.

now Klopp ameanza kutengeneza team kamili, kuanzia kwa VVD mpaka kwenye Midfield, bro kwa Midfield ya Fabinho-Keita-Fekir, mtu yeyote anayejua mpira atakwambia kuwa LFC can compete na any team kwasasa, forget about Henderson na wenzake, we are talking about a real Midfield, ni kama MF ya Dortmund ya Bender, Gundogan na Sahin. Midfield ambayo ipo balanced.

we just need few additions upfront kwaajili ya kuwaback up kina Salah, then the team will be ready to compete at every level.

my problem ilikuwa ni kwenye midfield tu, and now imekuwa sorted.

iam not saying Klopp can win the league coz club zingine pia zinaendelea kuinvest, but surely he can compete na team yoyote ile kwasasa kulingana na hii Midfield trio anayoitengeneza.
acha uwongo wewe mbona LEICESTER kalibeba ikiwa na drinkwater na kante?usiseme "HAKUNA" unakosea sana ,imekuwaje SG na ALONSO hawakubeba EPL na walikuwa VIZURI SANA ?
THIS IS SOCCER BROTHER
 
Man, was so far away from this platform, but i had to find a way to post kitu chochote kile nilivyosikia kuwa Club imemsajili Fabio Tavarez. HAHAHAHAHAAHAHA.

Finally, after 9 years club imefanikisha kusajili a WORLD CLASS DEFENSIVE MIDFIELDER, and not just a DM but a TOP DM. I dont think you even understand the importance of this signing.

FABIO TAVAREZ MAN HAHAHAHAHHA, what a Signing ffssssssss!!!!!!!!

Klopp finally binning the Stooges hhahahahaha, the Dortmund Era has begun, a team full of BALLERS HAHAHAHAHAHA.

KLOPP WITH MONEY TO SPLASH THIS SUMMER, THEY ARE NOT READY MY MAN, THEY ARE NOT READY AT ALL.
namuona T.BAKAYOKO mwingine hapa,maana 98% ya players waliotoka LEAGUE 1 ya france wameshuka viwango kidogo sijui EPL ngumu ama nini refer GIROUD,MARTIAL,BAKAYOKO,IBRAHIMOVIC, ila wakitoka EPL kwenda kule wanashine mfano DEPAY,BALOTTELI,DI MARIA,PAYET n.k
 
Aongeze beki kama wawili hv.. na striker 1. Epl ijayo ni moto.
Klop kocha poa sana hata mm wa man u namtamani.
Kama hapo kwa Fekir+Keita+Fabinho ni moto sana
 
namuona T.BAKAYOKO mwingine hapa,maana 98% ya players waliotoka LEAGUE 1 ya france wameshuka viwango kidogo sijui EPL ngumu ama nini refer GIROUD,MARTIAL,BAKAYOKO,IBRAHIMOVIC, ila wakitoka EPL kwenda kule wanashine mfano DEPAY,BALOTTELI,DI MARIA,PAYET n.k

Unapofanya Comparison usiwe Biased!
Pia Wako Waliotoka Kule na Wakashine Zaidi Kwenye EPL na Kwengineko.

Drogba → Chelsea
Malouda → Chelsea
Essien → Chelsea
Evra → Man United
Wiltord → Arsenal
Benzema →Real
Ronaldinho →Barcelona
Ribery → Bayern
Others → ........

Kwahiyo Usijiaminishe tu Kuwa Yoyote anayetoka League 1 ataishia Kuflop.
Fabinho Anaweza pia Kushine.
 
acha uwongo wewe mbona LEICESTER kalibeba ikiwa na drinkwater na kante?usiseme "HAKUNA" unakosea sana ,imekuwaje SG na ALONSO hawakubeba EPL na walikuwa VIZURI SANA ?
THIS IS SOCCER BROTHER

Kante/Mahrez/Drinkwater Ndiyo Sawa na Henderson/Millner/Lallana??

Hapo Bei Ya Mahrez Pekee Man city wameshafika £60m sasa sijui ya Kante itakuwaje manake Yupo juu Kuliko Mahrez??

Sasa ichukue Bei ya Drinkwater ambayo Ni ndogo Kuliko hao wawili Je Hao Millner/Henderson/Lallana wote Kwa Pamoja wanaweza kuifikia Hata hiyo thamani ye Drinkwater Pekee Kwa soko la sasa kulingana na Viwango vyao vya sasa?

Nimelinganisha thamani kwasababu Thamani Ya Mchezaji inaendana na Kiwango Cha Mchezaji.

Kama Hujui Combination hii Ya Mahrez-Kante-Drinkwater walipokuwa pamona Basi Walikuwa na uwezo Wa Kuleta Mafanikio Kwenye Timu yoyote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom