Mkuu hujanielewa angalia vizuri nimeweka viwango vya asilimia hapo nikimaanisha wengi wao huwa hivyo sababu najua hazard pia alitoka LILLE kama sijakosea ila ameupiga mwingi mpaka leo,ila kwa hivi karibuni wengi wameishia kuflop tu then nimezungumzia EPL sio laliga......Unapofanya Comparison usiwe Biased!
Pia Wako Waliotoka Kule na Wakashine Zaidi Kwenye EPL na Kwengineko.
Drogba → Chelsea
Malouda → Chelsea
Essien → Chelsea
Evra → Man United
Wiltord → Arsenal
Benzema →Real
Ronaldinho →Barcelona
Ribery → Bayern
Others → ........
Kwahiyo Usijiaminishe tu Kuwa Yoyote anayetoka League 1 ataishia Kuflop.
Fabinho Anaweza pia Kushine.
Kwani leicester waliwanunua kwa bei gani?tuanzie hapo kwanza then tuambie liver walinunua kwa bei gani hao kina hendo,milner na lallana.......maana kama thamani ya mchezaji inaendana na kiwango chake basi hawa kina hendo walikuwa vizuri kuliko hao kina drinkwater maana wao walikuwa ghali sokoni zaidi yao........Kante/Mahrez/Drinkwater Ndiyo Sawa na Henderson/Millner/Lallana??
Hapo Bei Ya Mahrez Pekee Man city wameshafika £60m sasa sijui ya Kante itakuwaje manake Yupo juu Kuliko Mahrez??
Sasa ichukue Bei ya Drinkwater ambayo Ni ndogo Kuliko hao wawili Je Hao Millner/Henderson/Lallana wote Kwa Pamoja wanaweza kuifikia Hata hiyo thamani ye Drinkwater Pekee Kwa soko la sasa kulingana na Viwango vyao vya sasa?
Nimelinganisha thamani kwasababu Thamani Ya Mchezaji inaendana na Kiwango Cha Mchezaji.
Kama Hujui Combination hii Ya Mahrez-Kante-Drinkwater walipokuwa pamona Basi Walikuwa na uwezo Wa Kuleta Mafanikio Kwenye Timu yoyote.
Kwani leicester waliwanunua kwa bei gani?tuanzie hapo kwanza then tuambie liver walinunua kwa bei gani hao kina hendo,milner na lallana.......maana kama thamani ya mchezaji inaendana na kiwango chake basi hawa kina hendo walikuwa vizuri kuliko hao kina drinkwater maana wao walikuwa ghali sokoni zaidi yao........
ila umenichekesha sana uliposema thamani ya mchezaji inalingana na kiwango kama ingekuwa hivyo kweli YULE POGBA HATA 40M NISINGETOA......
kwel kabsaa mkuuKlopp Ni lazima Afinalize dili la Fekir before World Cup ili after World Cup adili na GK na CB tu.
mkuu agiza kinywaj chochote nakuja kulipiaHii post Yako Yote umeiharibu Kwa Kumdharau Pogba!
Mimi Siipendi Man United lakink Amini usiamini Pogba Ni Greatest Midfielder Kwa Sasa Hapa Duniani Wala Hakuna Mido Yoyote inayoweza Kumkaribia Pogba! Hata Yule De Bruyne Hana uwezo Alionao Pogba.
Ila Ni Mourinho ndiye anayemfanya Pogba Achekwe Mpaka Na Watoto Wadogo.
Lakini iwapo Atampata Kocha Kama Klopp atakayempa Uhuru Basi Pogba atatisha. PP Ni Mchezaji aliyetimia. Lakini Kwa Mfumo anaomchezesha Mourinho Basi Hata Dembele ataweza onekana bora kuliko Pogba.
Ni kweli mkuuHiyo beki pia anapaswa kuongeza wazoefu hata wawili.
.HAO NI LOSERFOOL HAMNA KITU MKUU
Jibu mzizi wa hoja sio matawi yake mkuu hilo la PP ni nyongeza tuHii post Yako Yote umeiharibu Kwa Kumdharau Pogba!
Mimi Siipendi Man United lakini Amini usiamini Pogba Ni Greatest Midfielder Kwa Sasa Hapa Duniani Wala Hakuna Mido Yoyote inayoweza Kumkaribia Pogba! Hata Yule De Bruyne Hana uwezo Alionao Pogba.
Ila Ni Mourinho ndiye anayemfanya Pogba Achekwe Mpaka Na Watoto Wadogo.
Lakini iwapo Atampata Kocha Kama Klopp atakayempa Uhuru Basi Pogba atatisha. PP Ni Mchezaji aliyetimia. Lakini Kwa Mfumo anaomchezesha Mourinho Basi Hata Dembele ataweza onekana bora kuliko Pogba.
Kile kikosi cha 2013/4 kilikuwa kinahitaji marekebisho kidogo tu na kumaintain key players naamini kingechukua Epl within 2 seasons lakini walichokuja kukifanya FSG wanakijua wenyewe. Mkuu usiwe unapotea sana
Sometime unajikutia unashindwa Kuwaelewa Binadamu!
Klopp anapozungumzia Kumpa Second Chance Karius ingawa yeye na Migno Wanafanya Makosa yenye Kujirudia! Mbona Hajawahi Kumpa Danny Ward Hata Chance moja ili amuone na yeye atafanyaje?
Fabinho Katika Michezo Yake 233 aliyokwisha Cheza ana total Cards (Reds + Yellow) 53.
Keita Last season Pekee Kapata Red Cards 4.
Sipati Picha Liverpool itakuaje.......!
As long as tutashinda game Basi I don't care about their bookings.
Kwa hiyo alikuwa kama natural 8 sio ?