Ametumia zaidi ya £200mills kununua Kama sikosei zaidi ya wachezaji 15 kwa miaka mitatu na hana kikombe cha kuonesha, nafikiri msimu ujao utakuwa ni ultmatum kwake la sivyo ataigeuza Liverpool kuwa Tottenham
Give Trent new number,
Tavarez should get Lovrens number 6.
Give Lovren new number (emre can's number maybe?)
Mane should get number 10
Fekir should get number 7.
give Millie new number.
Napendeleaga natural culture ifuatwe, CB kuvaa jezi namba sita ni jambo ambalo halinibariki
yeah ni kweli,
Tavarez should get that number.
and the good thing about Tavarez and Keita ni kuwa now Gini atarudi katika advance role yake aliyoizoea, number 10, so atakuwa anarotate sana na Fekir.
bro, spending za managers/club huwa zinapimwa na net spends kila baada ya summer/january transfer window.
huwezi kusema kuwa Jurgen kaspend over 200m wakati net spend yake ni 85m tangu aje LFC, kwa maana ya kuwa LFC wanauza kwanza wachezaji kabla ya kununua mchezaji, we just sold Coutinho for 130m, his sale alone have covered the signings of VVD and Keita, sold Stewart for 8m and bought Robertson for the same price, sold Sakho and Lucas sale covered the signing of Mo salah, etc, and now we have CL money that are covering the signings of Tavarez and Fekir. ndiyo huwa hatuna net spend kubwa kama wenzetu united na City. Klopp angekuwa amespend zaidi ya 200m team isingekuwa na stooges tangu msimu wa kwanza aliyokuja, kila msimu alikuwa anawork under budget ya FSG, kwa kutegemea players sales na extra 25-30m.
tangu Mourinho aende Utd ana net spend ya 260m, Pep Guardiola ana net spend ya 358m na itaongezeka zaidi this summer kwasababu they are paying more than 65m for jorginho and more than 50m for Mahrez.
matumizi ya fedha za usajili wa team husika huwa yakuwa determined na Net spend ya team husika mara baada ya usajili kufungwa.
Ila tukirudi kwenye swali la msingi je Klop atairudisha Liverpool kwenye Glory days? Anaweza akachukua EPL? . To me kocha atayeiwezesha Liverpool kuchukua EPL katika kizazi hiki ataheshimika kulipo hata aliyechukua Champions league(my opinion).bro, spending za managers/club huwa zinapimwa na net spends kila baada ya summer/january transfer window.
huwezi kusema kuwa Jurgen kaspend over 200m wakati net spend yake ni 85m tangu aje LFC, kwa maana ya kuwa LFC wanauza kwanza wachezaji kabla ya kununua mchezaji, we just sold Coutinho for 130m, his sale alone have covered the signings of VVD and Keita, sold Stewart for 8m and bought Robertson for the same price, sold Sakho and Lucas sale covered the signing of Mo salah, etc, and now we have CL money that are covering the signings of Tavarez and Fekir. ndiyo huwa hatuna net spend kubwa kama wenzetu united na City. Klopp angekuwa amespend zaidi ya 200m team isingekuwa na stooges tangu msimu wa kwanza aliyokuja, kila msimu alikuwa anawork under budget ya FSG, kwa kutegemea players sales na extra 25-30m.
tangu Mourinho aende Utd ana net spend ya 260m, Pep Guardiola ana net spend ya 358m na itaongezeka zaidi this summer kwasababu they are paying more than 65m for jorginho and more than 50m for Mahrez.
matumizi ya fedha za usajili wa team husika huwa yakuwa determined na Net spend ya team husika mara baada ya usajili kufungwa.
kapigwa na liva yake fainali na Emery tena sevilla...ajiandae kuendelea kunywesha maziwa..Nadhani Kama Umesoma Maelezo Yangu Kwa Kina Kwenye Hicho Kipengele Basi Ungejua Kwanini Nimesema Conte Mbovu na Si Kocha Sahihi Wa Kuifundisha Chelsea.
Hata Ranieri Alibeba Trophy na Lesta Je Umewahi Kusikia Kuna Timu iliyo na haja na Ranieri?
Mimi Naamini Klopp iwapo ataendelea Kuijenga Timu kama Anavyofanya Sasa Kwa Kuzidi Kuongeza Wachezaji Basi Trophy Zitakuja.
Kwahakika Klopp Kakuta Timu Mbovu ya Kucheza Ndondo Cup Lakini anajitahidi Kuijenga ingawa bado Hajamaliza Lakini Atakamilisha.
Na Subirini karibuni Nyie Arsenal Munaemsifia Emery Muone atakavyowaumbua na Mukamtamani Wenger.
Mane apewe no 10 au no 7, Trent apewe no 2, Andy apewe no 3
Ila tukirudi kwenye swali la msingi je Klop atairudisha Liverpool kwenye Glory days? Anaweza akachukua EPL? . To me kocha atayeiwezesha Liverpool kuchukua EPL katika kizazi hiki ataheshimika kulipo hata aliyechukua Champions league(my opinion).
Mane should get number 10,
Fekir should get number 7 or 15
yeah Number 3 is free, so Robertson should get it.
Number 2 is already taken by Clyne, and i dont think Klopp is planning to sell him any time soon. he was our best RB before his injury, and amerudi kutoka kwenye majeruhi yaliyomuweka nje for almost one year, think klopp will give him another chance.
Bro, You are missing my point here about spending, mbona hata BR alikuwa na net spend nzuri tu japokuwa alitumia more than £300mil kununua wachezaji wachache na magarasa kibao aliyoyajaza pale na alipokuja Klopp akaanza kuya offload, mambo ya net send waachie FSG. Mm kama shabiki kocha wangu akitumia let say £300mills akanunua magarasa matatu regarless net spend ya timu inasemaje lazima nitampigia makelele tu. When it comes to winning trophies kama timu ina uwezo hakika itatumia tu sababu trophies are PRICELESS.
Nani atakuwa mrithi wa Gerard8
Tatizo lingine kubwa naliona hapo ni tamaa za hawa mabosi wenu, nafikiri Kama hawa outstanding players watabaki at least 2 more season na kuongeza nguvu na usajili wa wachezaji waliokamilika kadhaa mnaweza kuzingumzia EPL, ila sasa there is chance hizo two more seasons zikawa trophless, kama ikiwa hivyo je hawa outstanding players watavumilia for that long bila medali na mabosi watajizuia na majaribu ya ofa za hela ndefu zikija? na wakiondoka huoni Kama mtakuwa mnaanza tena upya "kujenga".. Kwa kuwa naona moja ya weaknes ya Klopp ni Kama kocha anayetaka kuwa na the perfect team(best chemistry ) ili kushinda vikombe, yaani ni opposite ya kocha kama Mou ambaye anaweza kushinda vikombe kijanja janja hata kama ana vimeo kwenye timu(huyu mtu anaweza hata kuanzisha mabeki 8 kwenye line up yake kama anajua atapata matokeo fulani anayotakahakuna team duniani inaweza kuchukua kombe na Kiungo cha Henderson/Milner/Lallana.
now Klopp ameanza kutengeneza team kamili, kuanzia kwa VVD mpaka kwenye Midfield, bro kwa Midfield ya Fabinho-Keita-Fekir, mtu yeyote anayejua mpira atakwambia kuwa LFC can compete na any team kwasasa, forget about Henderson na wenzake, we are talking about a real Midfield, ni kama MF ya Dortmund ya Bender, Gundogan na Sahin. Midfield ambayo ipo balanced.
we just need few additions upfront kwaajili ya kuwaback up kina Salah, then the team will be ready to compete at every level.
my problem ilikuwa ni kwenye midfield tu, and now imekuwa sorted.
iam not saying Klopp can win the league coz club zingine pia zinaendelea kuinvest, but surely he can compete na team yoyote ile kwasasa kulingana na hii Midfield trio anayoitengeneza.

)