Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

tulikuwa tunamiss a total cunt in the middle, MFs wetu wote walikuwa soft, kwenye Final nadhani uliona the only player who confronted Ramos baada ya kumuuza Salah alikuwa ni Mane tu.

now we have two Cunts in the middle, ambao wanaweza kupewa red cards and at the same time kukutafutia wewe cards.

Man City wana Fernandinho

United wana Herrera (this man is a total nuisance) and of-course Fellaini

Spurs wana Wanyama na Delle Ali

Arsenal wana Xhaka na Wilshere

Chelsea wana Kante (well hes not a cunt, but he'll make sure hupati space ya kucheza mpira)

you need these type of players to win you games mambo yakiwa yanaenda vibaya uwanjani.
hatuna captain pale Henderson hamna kitu na back passes zake zisizo kuwa na maana kuna backpass ailipiga kwenye final tulishwa pigwa goal tupo kwenye chance nzuri ya kwenda kuscore mane speed akarudisha mpira nyuma
 
most of his passes kwenye Final zilikuwa ni kwa VVD/LOVREN na kwa GK. man cant make a forward pass to save his life, na huwa anachanganyikiwa kabisa akiwa under pressure. huwa anapenda kuplay it safe ili asiwe kwenye macho na midomo ya critics, ndiyo maana utakuta kina Can, Gini, Milner na Ox wanakuwa kwenye midomo ya critics mara kwa mara kwasababu hata wakiwa wamezidiwa they dont hide at all.

he'll be on the bench next season.
 
I don't see us buying a new Goal keeper!!
Matatizo yataendelea hapa. Labda our opponents waendelee kukosa shots on target fr!!
 
OBLAK release clause is 90m

Monchi will want more than 60m for Allison

and i dont want my Club to employ Jack Butland, he is not better than Mignolet and his stats are not any better than Karius's.

if Klopp wants to invest more on Fekir and Dembele, then sitojali kama hatosign a GK this summer.

And its better kutosign keeper yoyote, kuliko kutupa 30m kwa Jack Butland, i mean he was a good GK kabla ya ile injury yake, but tangu arudi amekuwa tofauti sana, hes not an upgrade to any of our GKs.
 
kipa i think pia Kepa spain, au wa AC milan au wa Chelsi amegoma kuongeza mkataba hao dau lao litakua sio kama la Allison.
Mabeki tunahitaji mmoja maana Lovren pasua kichwa mechi usiyotegemea anakuangusha kama vs Totenham Wembley au Vs Manure Trafford..
Mbele aje Fekir, Lemar au Mbrazil Talissca ndogo kwa uchezaji wa Klopp angefaa sana na sio bei kama Lemar..
All in All in Klopp we Trust
 
TC wa Chelsea wants to go back to Spain and pia sioni Chelsea wakikubali kutuuzia a world class talent kama TC. itakuwa ngumu sana

Donnarumma will also leave for a huge price, pia his agent is Raiola. last summer he was quoted at 70m, sijui kwasasa kama price tag yake imepungua.

Navas wa madrid anaweza akapatikana kwa right price kama Madrid wakiamua kumsign Allison or TC. he's a decent GK, not very good but decent.

it seems Klopp is planning another season with VVD, Lovren, Matip and Klavan. mpaka sasa sijaona serious link yoyote ya new CB, but you never know. ila kama budget yote itatumika kwa Fekir/Guedes na Dembele then i'm fine with that, as long as tuna a very reliable DM right now.
 
last time nilisoma sehemu kuwa we'll be looking for a young CB, but mpaka sasa kwenye backline naona links za Butland tu.

na Butland to LFC ni serious story, heard we tried to sign him in january but stoke didnt want to let him go at that time.

it will be a very bad move kama tukimsign Butland. very bad move.
 
yes man,

not naturally, he was just covering that role kutokana na shortage ya MFs kwenye squad, and sometimes alikuwa anacheza kama number 6.

he's a natural number 10.

At no10 angekuwa anatoa pasi tu kwa Firmino na Salah inatosha, maana amewaste sana goal chances zetu, jamaa sio mzuri yaani kwenye kumalizia
 
hatuna captain pale Henderson hamna kitu na back passes zake zisizo kuwa na maana kuna backpass ailipiga kwenye final tulishwa pigwa goal tupo kwenye chance nzuri ya kwenda kuscore mane speed akarudisha mpira nyuma

Jamaa kwa pasi za nyuma huwaga ananifurahishaga sana wallahi

Ahahahahahah

Sijui ndio maelekezo aliyopewa na Kocha? Unakuta muda mwingine anatishia kupiga pasi mbele halafu huyooo kama kawaida yake AHAHHAHHAHHAH
 
TC wa Chelsea wants to go back to Spain and pia sioni Chelsea wakikubali kutuuzia a world class talent kama TC. itakuwa ngumu sana

Donnarumma will also leave for a huge price, pia his agent is Raiola. last summer he was quoted at 70m, sijui kwasasa kama price tag yake imepungua.

Navas wa madrid anaweza akapatikana kwa right price kama Madrid wakiamua kumsign Allison or TC. he's a decent GK, not very good but decent.

it seems Klopp is planning another season with VVD, Lovren, Matip and Klavan. mpaka sasa sijaona serious link yoyote ya new CB, but you never know. ila kama budget yote itatumika kwa Fekir/Guedes na Dembele then i'm fine with that, as long as tuna a very reliable DM right now.
Donnarum dirisha hili sijaoni Real wala PSG wakimtaja kumhitaji ila bado mapema sana....ikiedelea hivyo bei yake itashuka.
Kepa wa Bilbao ndogo ni kipa mzuri na he keep getting better..Real walionyesha interest Janauri, sasa bila Zizou sijui kama watafuatilia...
Butland wa Stoke japo alionyesha umakini huku wakishuka daraja sioni kama ni upgrade ya zaidi tulionao..
Kloop kwa mabeki hawa sidhani kama tutakua na kikosi bora, ku balance team auze dead woods wote Markovic, Lallana, Mignolet, Matip n.k ili apate pesa ya kusuka kikosi cha kuleta ushindi...
 
oh! that Bilbao GK? not a big fan man, but i trust your jugdement pia, you have a good eye when it comes kwenye ku-identify good talents.

we shouldnt go near Butland, he'll even get worse at LFC, huwa tunashindwa kuangalia the bigger picture, the direct suspect kwenye ishu ya Gks pale LFC ni yule John Archterbeg (Goalkeeping Coach), unakumbuka alivyokuja tu LFC, Rein turned into shit, then we bought Mignolet who at one point kept 11 consecutive clean sheets at sunderland team iliyokuwa inabattle kutoshuka daraja, and any football fan will agree kuwa Migs alikuwa na shot stopping stats nzuri sana za kuweza kudakia a top four team, but when he joined LFC and got trained by Archterbeg he turned into error prone merchant same as Reina, and now we have a best young GK in bundesliga gifting goals to opponents at the biggest stage kwasababu ya lack of concentration. we need to ask ourselves kwanini hawa keepers wanakuwa shit as soon as wakianza kuwa coached na Archeterbeg?

Butland is not a good GK at the moment, sasa akitua mikononi mwa Archterbeg si ndiyo itakuwa balaa zaidi?

Agreed kwenye ishu ya CB, but the thought of Jordan Henderson protecting that backline ndo ilikuwa inaniumiza sana roho, now we have two beast in the midfield. so itachangia kupunguza pressure kwa CBs wetu, though i'd like to see tunafanya addition ya a capable CB, in case ikitokea VVD ameumia. maana combo ya Lovren na Klavan ni scary sight kwa kweli. nimeona links za juu juu kuhusu Boateng, its true he wants to leave Bayern, but 40m for a 29 years old player? FSG arent paying that. but lets see what Klopp and Edwards has in store this TW. and i'd be on the moan if Boateng akisign, dont care about his age, tunaweza kupata service yake kwa miaka 3-4.
 
Donnarum dirisha hili sijaoni Real wala PSG wakimtaja kumhitaji ila bado mapema sana....ikiedelea hivyo bei yake itashuka.
Kepa wa Bilbao ndogo ni kipa mzuri na he keep getting better..Real walionyesha interest Janauri, sasa bila Zizou sijui kama watafuatilia...
Butland wa Stoke japo alionyesha umakini huku wakishuka daraja sioni kama ni upgrade ya zaidi tulionao..
Kloop kwa mabeki hawa sidhani kama tutakua na kikosi bora, ku balance team auze dead woods wote Markovic, Lallana, Mignolet, Matip n.k ili apate pesa ya kusuka kikosi cha kuleta ushindi...

honestly,

i wont sell MATIP yet, if tutapata a new CB, then i'd sell Klavan, if not i'd keep both.

but yeah, Lallana to bournermouth need to happen man.

i'd keep Henderson and Milner for the bench, also think Milner will get a job at LFC, he's close mate with Klopp.

the back line should be;

VVD and Lovern/Matip (back ups - Klavan and Gomez) if we dont sign any new CB.

Full backs - Trent and Andy (back ups - Clyne and Moreno)

MFs - Fabinho, Keita, Fekir (if we'll sign him)/Ox/Gini (back ups - Henderson/Milner/Grujic/Woodburn)

Attack - Salah, Bobby, Mane (back ups - new signing/origi/brewster/wilson)

Klopp amefanikiwa kwa Trent, now he needs to try kwa kina Brewster na Wilson, they have good potential.
 
Japo mpira hautabiriki kimatokeo,team yetu ya LFC ikipangwa vizuri tunabeba EPL FA .
Keita number 6, Mane (7) Fabinho(8) Tumekamata kiungo chote.
Firminho (9) Fekir(10) Mooh (11) tutafunga zaidi ya goals 3.
 
last time nilisoma sehemu kuwa we'll be looking for a young CB, but mpaka sasa kwenye backline naona links za Butland tu.

na Butland to LFC ni serious story, heard we tried to sign him in january but stoke didnt want to let him go at that time.

it will be a very bad move kama tukimsign Butland. very bad move.
yeah man!
Fr.. butland is a waste.. mimi pia siamn kama atachange tena. he's lost!
Na links ni nyingi sana.. Labda Migs aanze tena kaz..but these two guys wametucost. Inabidi tukubali hilo.. Ile season 2014 he played well but kuna games hatukugundua hilo. tukamgeukia tu Stevie G.. but in real sense the kipa alihusika pia.. na since the form ya Migs ndo ikapotea...
So, for sure matatizo mengi ya Lfc yameanzia kwa kipa since then..wametucost
 
Sell lallana
Markovic
ings
Loan Solanke
Origi arudishwe!!
Its better amlete boateng, Najua this time round Klopp atakuja na 1 germany player(i believe so).
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom