Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Naona umefunguka sana bro.....dah,
 
Usipoteze Muda na Nguvu Nyingi Kubishana Na Huyu!
Huenda Ameshasahau Kuwa Timu Yake Ya Arsenal imeshindwa Kufurukuta Mbele Ya Atlantico De Madrid Katika Kale Kakombe Kambuzi Cha Europa.
Acha dharau mkuu cz wote ni trophyless so haina haja ya nyodo...usichokoze ugomvi wa mawe wakati unaishi nyumba ya vioo......
 
....kwani huna kwenu !? Au chokoraa wewe !
Soma vizuri sheria za JF ,hii misiba ya kikatoliki inakuwaga mirefuuuuuu maana mpaka leo maiti haijafika kutoka huko KIEV so usikimbize watu wamekuja msibani,huu msiba waweza chukua wiki 3 hivi......
 
Hii ni sahihi kabisa..PL huwezi fananisha na La Liga wenye tim 3 tu au League 1.
Timu 3 kivipi mkuu wakati mkikutana na hao kina SEVILLA mnakula vichapo vya mbwa mwizi ref. SEVILLA VS LOSERFOOLish in europe league final na ile ya juzi manure nae kafumuliwa
 
Tumeanza vyema kwenye usajili
Fabihno alikuwa anatakiwa Man U nadhani kaichagua Liverpool sababu anataka kucheza mpira
ni kweli Mambo ya vikombe Fabihno hayapendi akacheze mpira vikombe Liverpool anavyo vya kutosha, vikombe tuwaachie city, Chelsea ikibadilika kidogo man u. Nawasilisha
 
hao madrid hawana mpira wowote,wanaojua mpira wanajua hilo nyie wajinga wajinga msiojua lolote ndio mnabaki kupiga makelele,huyo ronaldo wenu alifichwa na mtoto mdogo sana Anorld,alikua anaruka ruka tu.
Ni Tanzania pekee wanaoujua mpira vizuri wanasema bingwa mara tatu mfululizo wa ligi ya mabingwa hawajui mpira.Tusaidieni team ipi inajua
 
Ni Tanzania pekee wanaoujua mpira vizuri wanasema bingwa mara tatu mfululizo wa ligi ya mabingwa hawajui mpira.Tusaidieni team ipi inajua
Hao washachanganyikiwa mkuu kila kitu wanaona UPSnDOWN.....mwingine juzi kasema kuwa stoke city anaongoza ligi hahahaaaaaaaaaaa yan mambo kinyumenyume tu
 
Hahahahahaha participants


At least Kuwa Participants Ni Tofauti Na Kutokuwa Participants Baada Ya Kushindwa Kuipata Nafasi.

Ukweli Usiofichika Ni Kuwa Hamuna Uwezo Wa Kushiriki that is why Munajifariji Kwa Msemo Wa 'Participants'.

By the way wewe uliyeshiriki kwa Takriban Miaka 19 mfululizo na sio Participants Bali Ni 'Contender' hebu twambie uliibuka na Trophies Ngapi za [HASHTAG]#UCL[/HASHTAG] katika hiyo Miaka 19?

Ukinijibu usisahau Kunitag....
 
umeshiriki uropa mpaka sir God kakuhurumia...unajifariji na kikombe cha 2005 na sasa imebaki story2..
Unfortunately klopp ni loser wa fainali
 
Nawashangaa sana Manyumbu United kumaliza msimu huu na mafanikio pekee wanayoweza kujivunia ni Liverpool kufungwa katika fainali ya UEFA.

Hapo ndipo ninapopata majibu kwanini chips haziliwi kwa kijiko.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…