Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mr Failure

Mtu anashangaa Klopp kufungwa kwenye fainali ya UCL na Real Madrid, huyu kupoteza fainali ndiyo tabia yake Kama mlikuwa hamjui
 
BREAKING NEWS: Reliable Reports from France suggests Liverpool have made a €55m bid for Monaco midfielder Fabinho.
 
BREAKING NEWS: Reliable Reports from France suggests Liverpool have made a €55m bid for Monaco midfielder Fabinho.


Hii Habari imekuwa Viral Katika Media Na inamake sense huenda ikawa Ni Kweli.

Mimi Siwezi Kucomment chochote Kuhusiana Na Performance Yake Coz siko Familiar naye Sana Katika Kucheza Kwake Kwahiyo Sijui uwezo Wake ukoje? Labda Munaomfahamu mutatwambia.

Fabinho Ni Defensive Midfielder! Iwapo Klopp atamsajili FABINHO it means Emre Can tayari ameshaaga kuelekea Juve.
Na Jengine Ni Kuwa Ujio Wa Fabinho unamaanisha Klopp ameshajitoa Katika Kumuania JOGINHO.
 
its a done deal, smart move, new dawn
 

Attachments

  • IMG_20180528_232303_312.jpg
    50.8 KB · Views: 67
Fabinho is top player and fit Klopp system than Jorginho,Jorginho fit to Pep system .Can is Juve player pending to medical
 
well said fellow Koppites...hata mie Messi namkumbali sana tu....ana vitu vyake uwanjani bana sio za kawaida..
 
Kwa hiyo tunaenda kwenye penati ??

Kwnza mm natofautiana na notion kama tumefungwa kwa sababu ya Karius na Salah kuumia
Kwangu tumefungwa sababu ya kipa tu!Mane kasawazisha bao na kawapa njaa hadi akagonga mwamba!
Bao hizi za kipuuzi zimeamua nani we bingwa UCL wala sio umahiri wa akina CR7
 
Ulitaka mfungwe kwa sababu ya nani ?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…