barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,811
Pole sana...Sijajua mpira uliangalia dk ya ngapi, dk za mwanzo Liverpool wali possess kuliko Madrid kutoka mwanzo mpaka salah alipoumia mpira ukabadilika kabisa Madrid wakaanza kutawala na hata wale watangazaji waliliona hili na Waka coment mambo mawili lack of maturity na timu kutokuwa na kiongozi na hata kabla kipindi cha pili, mmoja wa wale wachambuzi aka comment kwamba, liver wamekosa kiongozi na wachezaji wake hawajapevuka na ndicho kilicho wagharimu liver japokuwa walijaribu kuchomoa goli, lkn hawakuwa mchezoni baada ya salah kutoka, wote walipoteana.yaan jana Madrid wamshukuru huyu fala Ramos, ndiye aliyesabisha haya lkn jana Ronaldo, modric, marcelo nk wote walipotea lkn alivyoumia salah, tu hata effect ya marcelo uliiona. Kwa kifupi walioamua mechi ni watu wawili Ramos na marcelo ambao wote jana macho yao yalikuwa kwa salah.
Pressure ipo kichwani pia, pia alichofanya Benzema ile ni literally pressing!Acha Kuongea Uongo! Goli La Benzema Hapakuwa Na Pressure Yoyote.
Mpira Aliudaka Kipa Akiwa Peke Yake Katulia! Bali Alijifanya Ana Haraka Katika Kuanza Ndiyo Akamuanzia Benzema Mguuni.
Goli la Pili la Gareth Bale Ndiyo Unaweza Sema Kipa Kafungisha Lakini Kutokana Na Pressure Ya Mchezo.
Tofauti ya Real na Liver, Ronaldo akipotea Bale anaamka. Liver, Mo Salah akipotea timu nzima inapotea.Ni kweli maneno yako. Mimi sitaki kumalumu Firminho sababu kubwa wao wamezoea kucheza 3 mbele inampa nafasi ya Firminho kutokaa sehemu moja ana shift pembeni na kati wanabadilisha inakuwa tabu kuwakamata. alipotoka Salah mfumo wa 433 ukawana hauna mbadala ikabidi waende 442 ina maana muda wote anakuwa kati na defenders hiyo sio style ya Firminho. solution ni kuwa na mbadala wa mfumo kama tumeshindwa 433 unaingiza striker. chukulia jana kama tungekuwa na striker wa maana tungemuingiza ili Firmnho acheze kama inside 10. ukweli tunahitaji kikosi kikubwa kidogo ila kipa hapana tumtoe bure aende tu lazima kipa wa Roma au Ath Madrid tumchukue. pamoja na madrid kupress lakini hawakuwa tishio sana chance za wazi maana Ronaldo alifichwa na watoto hata Benzema. tunahitaji ku add 5 players moja ni kipa lazima.
mkuu upo sahihi Klopp alishasema haijalishi matokeo jana yatakua vipi ila the boys have "enjoyed themselve" kufika fainali....nadhani mentality ya Klopp wakati wa ku prepare hawa wachezaji siku ya fainali ndio tatizo hapa...asipobadilika tutaishia kufikaga fainali na kuchapwa...sijui ile sub ya Lallana aliwaza nini pale maana alichemka...Lallan is tired msimu huu alivyopata nafasi naona yupo kama headless chicken...Season Ya 2017/18 imeshamalizika:
× NO TROPHY
√ ONLY IMPROVEMENT
× NDANI YA MISIMU 3 YA LIVERPOOL, KLOPP AMESHAPOTEZA FAINALI 3 MFULULIZO.
LEO NAJIRIDHISHA KUWA KLOPP KWENYE FAINALI HATA ACHEZE NA NJOMBE MJI BASI ATAPOTEZA.
Pressure sio lazima ushambulie kwa nguvu unapomuona mbele yako mshambuliaji mwenye UEFA 3 unapata taharuki na Hali ya kutokujiamini inayopelekea kurusha mpira karibu alipo na yeye anajua anachofanya kabla refa hajaweka Kati benze anashangilia Henderson anafikiri sio goli analalamika ndg pressure ndio hizo Robertson & Anord hawajawai kuona haya ndio maana dogo Roby alikuwa mkali kinoma alipofanya block ya CR7Acha Kuongea Uongo! Goli La Benzema Hapakuwa Na Pressure Yoyote.
Mpira Aliudaka Kipa Akiwa Peke Yake Katulia! Bali Alijifanya Ana Haraka Katika Kuanza Ndiyo Akamuanzia Benzema Mguuni.
Goli la Pili la Gareth Bale Ndiyo Unaweza Sema Kipa Kafungisha Lakini Kutokana Na Pressure Ya Mchezo.
tutafungwo na wote ila sio Ronaldo...Tofauti ya Real na Liver, Ronaldo akipotea Bale anaamka. Liver, Mo Salah akipotea timu nzima inapotea.
Mmefungwa na Real Madrid, sio Bale.tutafungwo na wote ila sio Ronaldo...
CR7 amedhibitiwa.....maaana vibanda umiza mkuu angetufunga huyo kusingekalika..kabla ya mechi ilikua ooo nyie hamna beki wa kumzuia CR7 atawafunga nyingi...kumbe super Sub ndio kaja kufanya yake na hatimae Madrid kushinda...CR7 nyuma yake wapo mashabiki waleeee wa mashetani red waliosema ni bora kufungwo FA kuliko Liverpool kuchukua Uefa....Mmefungwa na Real Madrid, sio Bale.
Sasa mkuu timu kufika hadi fainali unasema ni bahati kweli??Njia waliyopitia ilikuwa laini Sana, wakijiaminisha kwa wapo vizuri zaidi kumbe kumbe hollaaa
Kipa wako kidogo utamlaumu labda goli la kwanza na chakushangaza yy na wachezaji wenu wote walionekana kushangaa na kulak am ka wakidhan jamaa alikuwa offside, lapili la pili utawezaje kumulaumu ile tiktaka ilivopigwa kwa ustad mkubwa,na latatu utamulaumu vp wakati kitu kilifika dizain ya kombola.!! Tukubali tu mkongwe atabaki kuwa mkongwe mlivokutana na City 100% binafsi nioiamin mtapiga maana kombe hili lina wababe wake na City hana uzoefu nalo tofaut na nyie na ndokilichotokea,kwahiyo ata jana ni uzoefu ndoumezidiana sababu ata fowad wenu watatu kiuchambuz walikuwa na sifa zaid ya fowad wa Madrid lakin uzoefu ndouliwaangusha km uliona Salaah aliumia vip bas utaelewa namanisha nn ninapoongelea uzoefu.Pili Clop apaswi kabisa kulaumiwa angalia timu yenu aliikuta wap na anamda gani lakin bado kaingia final 2kubwa Uropa na Uefa em mpeni mda kwangu mm Crop still ni kocha bora still pesa alovuna inamtosha kuimalisha kikosi.Ni Kweli Real Walituzidi Kwa Kila Kitu na Sipingi Mawazo Yako Lakini Ulimtoa Bayern Akiwa Yupo Juu Kwa Stats dhidi ya Real.
Kwahiyo Stats Sio Zinazo-Matter Katika Ushindi.
Ukweli Ni Kwamba Labda Tupe Sababu Za Msingi Za Kutuaminisha Kuwa KARIUS hakufungisha Magoli Mawili Na Kuwawezesha Real Kuwa Mabingwa.
Hata nami ndicho nilichokiona kwa sababu hata Madrid ilikuwa inapanda kushambulia kwa kiasi kidogo sana ila baada ya Salah kutoka ndipo kazi ilipoanzia kwa Madrid.Kuwa appreciative basi mkuu,
Klopp ni kocha bora aliekuja Liverpool, performance ya leo ilikuwa nzuri ila majeruhi ya Salah yanaweza kuwa ni sababu kubwa ya kupigwa leo
Hata nilipokuwa jana mwanzoni mwa mchezo kila chenga mashabiki wa Liver wanashangiliaMashabiki wa Liverpool na hata kocha wao walikuwa COCKY sana badala ya kuwa confident. Hatukusikia majivuno yoyote toka kwa upande wa Real Madrid.
Liver walikuwa wako bize na misemo kama champions ligi iko ktk dna yetu, tunaenda chukua kombe la sita (wanasahau wanaecheza nae ana vikombe 12 na ndani ya miaka 4 kachukua mara 3), huku Tz nako kila ukikutana nao ni kelele tu hata humu jf.
Sasa mkae kimya, mpira hauchezwi midomoni.
Huo ndio ukweli Madrid alishashindwa kumdhibiti Liver tangu mwanzo wa mchezo kabisa sema ndo hicho baada ya Salah mchezo ukabadilika si wachezaji, kocha, mashabiki wala waangaliaji wa kwenye TV wakawa disappointed..!!Alianza Slow au alikuwa ameshindwa kumzuia Liverpool asiuchezee mpira?
...aligawa goli wakati matokeo ni 0-0 !Kilichosababisha yeye kufungisha ni pressure ya mchezo