Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nimeanza kuamini… hakuna kitu kama coincidence duniani…

Hii mechi imeanza kuwa kama movie la hollywood.

But Time will prive this soon…
 
Mpaka Sasa Hakuna Wa Kuniaminisha Kuwa Tutafungwa Kwa Sababu Katoka Salah!

Hata Hivyo Sub ya Emre Can ninaikubali Zaidi Kuliko Ya Adam Lallana
 
Referee Yuko Bize Zaidi Kuwalinda Wachezaji Wa Real Lakini Kashindwa Kumlinda Mo Salah dhidi Ya Ramos
 
nawaona tu mnavyotafutana gizani dadeeeki, uefa ina wenyewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom