Mimi Mwenzenu Dah! Naona Hypertension inanisogelea Kwa Kasi.... Nina Sababu Mbili Kuu Ambazo Zinanifanya Nisiwe Sawa Kwa Game Ya Leo:
1) Klopp: Kwa Kweli Klopp Hana Rekodi Nzuri Ya Kushinda Fainali Jambo Ambalo Ninachelea Huu Mzimu Wa Fainali Kuja Ukamuandama.
2) Lovren: Kwa Kweli Dejan Lovren Leo Ndiye Atakaeamua Atupe Kombe au Asitupe! Akiwa Katika Form Nzuri Basi Tutabeba Kombe, Lakini Akiwa Katika Hali Yake Ya Master of Error Basi Huenda Akatucost Kwani Huyu Jamaa Ni Very Inconsistent.
Pamoja Na Hayo Bado Nina Matumaini Ya Kubeba Kombe.
"Allez, Allez, Allez"