Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
huu uzi ni special kwa Liverpool ila naona wamorocco ndo mmejaa humu[emoji23]
Ajiandae tu kutetemeka kama amepanda trekta.Acha ujinga.
Unamfahamu mnyama the GOAT, the murderer, the killer, the UCL star, the 5 times Ballon D'or winner... Cristiano Hernandez Madeira Ronaldo!!!!
Nakupa tahadhari tu, sikutishi!!!
Nashukuru sana mkuu, bonge la comment!Mashabiki uchwara wa liverpool wengi wameibuka baada ya timu kufanya vizur
Nimekuwa nikipita majukwaa ya timu zote na niko active, sikumbuki kukuona wakati Steve Gerrard kajikwaa na kusababisha Demba Ba kufunga lile goli.Mimi Sikuibuka Nusu Fainali! Hebu Anza Kuangalia Conversations Zangu Tokea Tunacheza Play-Off uone Kama Niliwahi Kumiss Jukwaa Humu.
Leo tujiandae kubeba ubingwa wa 6 tu,hakuna cha Rinaldo wala nini,Leo tunapiga 3 hawa Madrid hawatakaa waamini.
Hatimae leo imewadia mkuu.View attachment 785381 Dimba litakalotumika siku ya jumamosi
Mkuu, mahaba yamekuzidi. Pole sana.Hilo neno Regret Ni Maneno Ya Independent! Lakini Hanry Hakusema Maneno Hayo na Ninasimamia Kwa Usahihi Ninachokisema. Link Haimaanishi Kuwa Ni Authentic Source Wakati Interview inaoneshwa Live Wakati Inapofanywa.
Nimekuwa nikipita majukwaa ya timu zote na niko active, sikumbuki kukuona wakati Steve Gerrard kajikwaa na kusababisha Demba Ba kufunga lile goli.
Ila poa, roho safi wote wadau wa michezo
Mkuu me nakuombea mema kabisa kwenye hii fainali.Kubahatisha Hakuna Mipaka, Kwanini Na Nyinyi Chelsea Musibahatishe Basi Mukafika Fainali?
Au Hamukupenda Kufika Fainali?
sisi tushaanza kusheherekea ubingwa huku.countdown......7 hours away!
kutoka mitaani.....
sasa hizi niko mahali napata vitu. kuna jamaa kama 4 hivi wamekaa karibu yangu hapa najua ni wanazi wakubwa wa Manure - yaani hawana raha kabisa hadi wanatia huruma!
matarajio...
kiukweli kwa mliomsikiliza Klopp jana mtakuwa convinced kuwa hii ndoo tunabeba leo. YNWA!
safi mkuu....kwa kwenda mbele!!sisi tushaanza kusheherekea ubingwa huku.