Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mashabiki uchwara wa liverpool wengi wameibuka baada ya timu kufanya vizur
 
Nyie mmebahatisha kuingia final basi mnajiona mmechukua.

Pumbavu!! Tangu lini Madrid akakuacha fainali?

Uzuri ni kwamba Klopp hanaga bahati kabisa na fainali.

Utapigwa tatu kavu.
Aliniacha 81 tena kipindi hiko alikuwa bora kuliko
 
Henderson kunyanyua ubingwa mbele ya Ramos ni sawa na wanawake wanavyoomba haki sawa kwa wanaume...
(povu ruksa)
 
Liverpool leo lazima afungwe, hakuna namna nyingine
 
Henderson kunyanyua ubingwa mbele ya Ramos ni sawa na wanawake wanavyoomba haki sawa kwa wanaume...
(povu ruksa)






Ukweli Ni Kwamba "Mtu Hatongozi Mkewe"! Sisi Real Madrid Ni Mke Wetu Tumeshamuoa Tokea Mwaka 1981 Kule Paris Na Mshenga Wetu Alikuwa Ni Huyu Alan Kennedy.
Kwahiyo Leo Tunaenda Kugonga Mke Wetu tu bila Ya Wasiwasi Wowote.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…