Monaco are in the Semi-finals of the Uefa CL..wamefikia hapo wakiwa na bit-immature squad katika Top Level football..
They're not richer than LFC, Not bigger than LFC, and most of all Jardim is not in anyway better manager than Klopp. But you know what? their recruitment and scouting department is miles better than us.
And what about Juventus and Atletico Madrid? Are they richer than LFC? Are they popular than LFC? Wage bill yao ni kubwa kuliko LFC? the answer is NO.
But again wana recruitment na scout department bora kuliko LFC..na ndiyo maana wanayafanya yale ambayo LFC tumeshindwa kuyafanya kwa zaidi ya Miaka Tisa (9)..despite being richer, bigger, popular kuliko wao..
Nianze tu kwa kusema kuwa tangu 2009, LFC haijawa the same tena..ni kipindi ambacho tuliwauza Xabi Alonso na Mascherano bila ya kufanya replacement yoyote ya maana, and to be honest Steven Gerrard career ended mara tu baada ya kina Xabi/Masch/Torres kuondoka, jamaa akaanza kuwa partnered na kina Jan Paulsen/Jay Spearing/Jonjo Shelvey/Henderon (hawa wote ni useless mids to ever play for LFC) sijamtaja Lucas Leiva kwasababu alikuwa ni DM mzuri, ACL injury ruined his career.
Na pia at that time, tulikuwa na Agger/Hyypia/Carra/In-form Skrtel. Japokuwa hawakuwahi kufikia levels za kina Hansen/Lawro/Yeats/neal etc but walikuwa wazuri sana. But now tuna kina Lovren/Klavan/Milner..i love Matip but asingeanza kipindi kile cha kina Agger..and ukweli ni kwamba ni Matip tu ndiyo mwenye afadhali kwenye kikosi chetu hiki..
We sold Reina/Agger/finished Skrtel/Aurelio/Riise/Riera/Xabi/Masch/Sissoko etc but we've never replaced them. NEVER. na hicho kitu ndiyo kinatufanya leo hii tuishie kushabikia Monaco/Juve/Atletico kwenye UCL, na kushabikia Chelsea over Spurs kwenye BPL..bila kufikiria kwa fikra pevu why Monaco and even Spurs wamekuwa na better teams than us (second year in a row Spurs are competing for the title) a team with no PL title and European title tangu kuanzishw kwake, leo ni 3 LFC players tu ndo wanaweza ingia kwenye kikosi cha Spurs..
Siwalaumu fans ambao wanawakubali kina Mignolet, Lovren, Klavan, Milner, Henderson, Ings etc but as a LFC fan lazima uelewe kuwa aina hii ya wachezaji ndiyo imefanya tushiriki UCL mara moja tu katika kipindi cha miaka Saba. Over the years tangu 2009, tumekuwa na Viungo average sana..
Monaco/Juventus/Atletico wanafanikiwa kwasababu ya Good and organised Midfield. Chelsea/Spurs are competting for the title kwasababu ya good midfield..midfield ndiyo spine ya team, team haiwezi kupata mafanikio bila ya kuwa na Mid nzuri.
Lukaku ndiyo anaongelewa sana this season, but Ev are nothing without Gueye. Last year walistruggle sana, but msimu huu wanajitahidi kwasababu koeman aliwekeza kwenye Kiungo..
As a football fan, huwezi ukawa unawaangalia kila weekend kina Kante/Dembele/Gueye/Romeu etc (BPL tu) na bado ukaendelea kufikiria kuwa Henderson ni Midfielder Mzuri.
Klopp anahitaji kuwekeza kwenye kiungo, tuna mid wawili wazuri sana tayari (Can and Gini), tunahitaji kiungo mmoja tu ili kutengeneza a perfect spine, eneo ambalo anacheza Lucas Leiva kwasasa. Nasema Gini na Can ni wazuri kwasababu wameform a good partnership, wanafanya mpaka a washed Lucas anashine kwenye ile 6-role, sasa imagine kama tukipata a good and hungry Number 6?
Going by the reports it seems Klopp wants to invest sana kwenye upande wa RW and CB, kuna a lot of talks about a new Mid. But system ya 4-3-2-1 ambayo anataka kuimplement next season inahitaji a very good and strong number 6 with Gini and Can supplying the ball.
I dont hate Henderson, but i just dont rate, na kwa Club aina ya LFC wachezaji kama Henderson aren't good enough kabisa. Kuwa na Captain kama Henderson ni kipimo kikubwq tosha kuwa tumepitia katika kipindi kigumu sana. LFC haikuwa hivi. We had Steven Gerrard ambaye players wengi walijiunga LFC kwasababu ya kuja kucheza nae, i remember story ya Toni Kroos, Brendan Rodgers asked SG to call him kumuomba ajoin LFC, kutokea Bayern..Kroos anasema hakuamini alipojua anaongea na Steven Gerrard, but unfortunately Madrid walikuwa washafanya move..and nani angeikataa Madrid? He told SG tulikuwq tumeshachelewa, can you imagine Henderson Calling James Rodriguez and ask him to join LFC? Now wachezaji watajiunga LFC kwasababu ya Klopp na Coutinho..Firmino joined us kwasababu ya Coutinho, Gini/Mane/Grujic/Karius/Matip joined us kwasababu ya Klopp.
LFC fans wanahitaji kubadilisha mentality yao. Mentality ambayo ilitoka na kuzoea kuona kina Jay Spearing/Poulsen/Jonjo Shelvey/Pacheco/Jovanovic/Charlie Adam etc wakiichezea LFC katika vipindi tofauti tangu mwaka 2009..huo muda umeshapita, Club inajaribu kuziondoa hizo kumbu kumbu mbaya..tunahitaji better players wa kuirudisha LFC katika nafasi yake, na players aina ya Henderson/Lovren hawawezi kutufikisha pale tunapohitaji. Tunahitaji Upgrades.
Dudek wasnt a bad keeper, he was just average and despite him playing a Huge part ya sisi kushinda Kombe la CL 2005 na kuwa Man of the Match, Still Benitez replaced him with Pepe Reina. Klopp must do the same thing kama tu anataka kutengeneza legacy nzuri pale LFC.
Players ambao wanatakiwa kuwa Upgraded ni Migs/Lovren/Milner/Klavan/Henderson/Lucas/Lallana/Ings
Matip needs a new Partner.
Gini and Can needs a new partner.
Coutinho and Mane needs a New Partner.
Firmino will contiue to be the main man net season.
TAA/Gomez/Grujic/Ejaria/Woodburn/Wilson/Divock still progressing na ni good enough for the bench. here's hoping kama tutaongeza two new CBs, LB, DM, RW na ST wa ziada (wouldnt mind Azmoun).