Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Yani hili kosi ndo mwategemea kuchukua nalo uefa?? hahaha...

Apo wakipotezwa wawili tu hakuna timu.

Kama mpira ndio hivyo mngekuwa mnawafunga kila siku,ujui mpira mkuu

Liverpool ya 2005 ilienda kuchukua uefa na ilikuwa mbovu hivyo hivyo na kwenye ligi ikashika nafasi ya 5,lakini uefa kachukua
 
Timu Ambazo ndiyo Pekee Katika Historia Ya [HASHTAG]#UCL[/HASHTAG] zilizobeba Kombe Hilo na Kukabidhiwa Kombe Original na sio Replica Ni:-


√ Real Madrid.

√ Ajax after their third consecutive title in 1973 .

√ Bayern Munich after their third consecutive title in 1976 .

√ Milan after their fifth title in
1994 .

√ Liverpool after their fifth title in
2005 .


Hao Walikabidhiwa Kombe Original Kabisa Kulingana Na Sheria Ya Zamani Ya UEFA Kuwa Timu inaposhinda Kombe hilo MARA 3 MFULULIZO kama alivyofanya Real, Bayern na Ajax au Timu iliyotimiza idadi Ya Kushinda MARA 5 Kombe Hilo Kama Walivyofanya AC Milan na Liverpool Basi Anakabidhiwa Kombe Hilo Original Na Kuwa Mali Yake.

Lakini Sheria Hii Kwa Sasa Haitumiki tena na Ndiyo Mana Barcelona aliposhinda Kwa Mara Ya 5 Mwaka 2015 hakupewa Kombe Hilo Original Kuwa La Kwake.

Kwahiyo Kama Hupewi Kombe Original timu inaposhindwa inapewa Nini?


Ni Kwamba Timu inaposhinda #CL Basi inakabidhiwa Kombe Original na Kukaa nalo Kwa Miezi 10 tu. Baadae Wanalirudisha na Kukabidhiwa Kombe ambalo Ni Replica/Copy mfano Wa Hilo Original ndiyo Timu inakwenda Kulihifadhi Klabuni Kwake, Kwani Hairuhusiwi tena Kwa Timu Yoyote Kubeba Kombe hilo na Kuwa Mali Yake Hata Kama itabeba Mara 10 mfululizo.
Pia Timu inaruhusiwa Kutengeneza Wenyewe Hiyo Replica ya Kombe lakini Ni Lazima ikidhi Masharti Ya UEFA ambayo Ni Lazima liwe na Muundo hulehule Wa Kombe Original, Pia lisifikie au Kuzidi Ukubwa Wa Kombe Original (Lifikie asilimia 80% tu ya Ukubwa Wa Kombe Original).


FINALY, LIVERPOOL ITABAKIA KUWA NI TIMU YA MWISHO KATIKA SAYARI HII KUBEBA KOMBE ORIGINAL LA [HASHTAG]#UCL[/HASHTAG] NA KUWA MALI YAKE
 
Kama mpira ndio hivyo mngekuwa mnawafunga kila siku,ujui mpira mkuu

Liverpool ya 2005 ilienda kuchukua uefa na ilikuwa mbovu hivyo hivyo na kwenye ligi ikashika nafasi ya 5,lakini uefa kachukua


Hao Wameshasahau Kuwa Mwaka 2005 pia Hatukupewa Nafasi Yoyote Ya Kubeba Ubingwa Kulingana na Uwezo Wa AC Milan Kwa Wakati Huo Hasa Ukiangali Uwezo Wao Wa Mchezaji Mmoja Mmoja na Uwezo Wa Wachezaji Wetu.

Vikosi Vilikuwa Hivi:

AC MILAN

• Dida
• Cafu
• Stam
• Nesta
• Maldin
• Pirlo
• Gattuso
• Seedorf
• Kaka
• Shevchenko
• Crespo


LIVERPOOL

• Dudek
• Finnan
• Carragher
• Hyypia
• Traore
• Alonso
• Gerrard
• Garcia
• Riise
• Baros
• Kewell


Sasa Hapo Ukiangalia Kikosi Cha Liverpool Hakuna Aliyefikiria Kuwa Tunaweza Kuhimili Pressure Ya AC Milan Kwani Kwa Wakati Huo Beki Yao Ndiyo iliyojengwa na Mabeki Bora Duniani! Na Washambuliaji Wao Ndiyo Waliokuwa Wakitisha Zaidi Duniani!
Lakini Still tumeweza Kupambana na Kushinda.

Halafu Leo Anatokea Anonymous Anakwambia Eti Kikosi Cha Liverpool Haika Uwezo Wa Kuchukua UEFA Kwa Real Ya Bemzema na Asensio!!!!
 
Hata kuandika majina ya timu hujui halafu unaleta porojo hapa, liver pool ndio timu gani? Kumbuka msimu uliopita liverpool aliingiaje ucl
Hahaa nilitaka kuandika timu inayofeli dk za mwisho
Subiri kipigo madrid
 
Napenda zaidi kama Chelsea angemaliza ndani ya top four then Liverpool awe nje ya top four, lakini Liverpool achukue champions league ili England ziende teams tano kwenye UCL msimu ujao
 
Napenda zaidi kama Chelsea angemaliza ndani ya top four then Liverpool awe nje ya top four, lakini Liverpool achukue champions league ili England ziende teams tano kwenye UCL msimu ujao
Hata Liverpool wanatamani hivyo tatizo uhakika wa kuchukua kombe ndio tatizo, si unajua final haina mwenyewe! Wangesema tiketi ya kucheza michuano ijayo ni kufika final tu basi liver angeshika nafasi ya tano
 
Hahaa nilitaka kuandika timu inayofeli dk za mwisho
Subiri kipigo madrid
We jamaa kwako kuna sherehe kwanini uhangaike na sherehe ya jirani? Au sherehe ya jirani imenoga? Subiri final yenu vs man u
 
Andy Robertson: "We can't think about Kiev. We know the media and the fans will be focused on that but for us it's all about Brighton".
 
On-loan Liverpool winger Harry Wilson has been named the Championship PFA Player of the Month for April after four goals for Hull City
 
Baada ya kukosa namba kikosi cha kwanza licha ya kununuliwa kwa bei mbaya, Jurgen Klopp amemuita Ousmane Dembele katika kikosi cha Liverpool.

Dembele alijiunga na Barcelona kwa Pauni95 milioni, lakini ameshindwa kuvaa viatu vya Neymar aliyetimkia Paris Saint Germain (PSG).

Klopp anamtaja mshambuliaji huyo wa zamani wa Borussia Dortmund ni mchezaji mwenye kiwango bora anayestahili kucheza Liverpool.

Dembele aliyepata maumivu ya misuli iliyomuweka nje uwanja muda mrefu, hajarejea katika kiwango chake.

Dembele mwenye miaka 20, ameshindwa kuendana na aina ya mfumo wa Barcelona tangu alipotua Now Camp katika usajili wa majira ya kiangazi.

Kocha huyo wa Liverpool anataka kumsajili Dembele kuboresha safu ya ushambuliaji.

“Dembele kwani yupo sokoni? Ndio ninamtaka,”alisema kocha huyo aliyewahi kuifundisha Dortmund.

Mchezaji huyo anakabiliwa na mazingira magumu Barcelona, baada ya kucheza mechi moja ya ligi kwa dakika zote licha ya kuanza katika michezo tisa akiwa amefunga bao moja.

Barcelona imeanza mkakati wa kumsajili mshambuliaji wa Atletico Madrid, Antoine Griezmann majira ya kiangazi
 
Manchester City wameanza mazungumzo upya ya kujaribu kumnasa winga wa Leicester City, Riyad Mahrez ambaye huenda akaondoka ndani ya klabu hiyo mwishoni mwa msimu huu.

Pia Manchester United wako tayari kumwachia Anthony Martial kwenda Borussia Dortmund kama chambo ya kumnasa Christian Pulisic.

Hata hivyo winga huyo anayetajwa kuwa na thamani ya £40m anatolewa macho pia na vigogo wengine kama Liverpool, Chelsea na Arsenal.
 
Mo Salah: "I'm very happy here, everything is fine,"

"Of course I have got ambitions for the future with Liverpool. As you can see we had a great season, now we are in the Champions League final and everyone is excited.

"It is just the start. This is my first year here and it is the same for some other players. It is just the beginning."

"Allez, Allez, Allez"
 
Wadau hivi dili la huyu fundi tayari au bado? Nimemtamani sana






Bado Halijatick na Hakuna Chochote Kilichoelezwa Kutoka Kwa Wahusika Bali Kila Upande Umekanusha Taarifa Za Kufanya Makubaliano! Ni Rumours tu.....

Kama Kuna Mazungumzo Yoyote Yanaendelea basi Ni Undisclosed mpaka sasa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom