Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

body language inaonyesha mtu ambaye yupo exhausted mkuu...Salah looks very tired (poor first touch, awkward second, etc).

kama vipi game ya mwisho vs Brighton apate cameo ya dakika chache tu ili kumpa mapumziko kwa ajili ya big match vs R Madrid.
Ukumbuke inabidi tushinde hiyo ili tujihakikishie top 4 labda huddersfield wamfunge chelsea j5 au newcatle huyo j2
 
Hivi Bado Kuna Mshabiki Wa Kweli Wa Liverpool Ambaye Mpaka Sasa Anaamini Kuwa LOVREN Ni Beki Wa Kutegemea??

Yani Anamwachia Giroud Anaruka Free Head!!! Kwa WBA alitufugisha goli Kama Hili....
Kwa Roma game Ya Kwanza ya 5-2 alitufungisha goli kama Hili...
Na Siku ya Man Unite Magoli Yote 2 alishindwa Kucheza Mpira Wa Juu Kwa Lukaku..
Na Leo Kashindwa Kucheza Mpira Kwa Giroud..

Hivi Huyu Lovren Kichwa Chake Kina Matatizo gani Hata Akawa Anashindwa Kucheza Mpira Wa Juu...

Msimu ujao Huyu Awe Mwisho Carabao! Lakini Klopp Anavyomuamini Ninauhakika Tutaendelea Kuwa Nae Miaka mingi Zaidi.
na madrid wanavyopenda Mipira ya Juu
 
Hii Ni Kutokana Na Pressure Ya Hizi Mechi Za Mwisho zilivyo!

Tumecheza Na WBA Ambao Wanajaribu Kujinusuru Asishuke Daraja! Hawa Walikuwa Walicheza na Salah Badala Ya Liverpool ili asijekuwaathiri...

Tumecheza Na Stoke Ambao Walijaribu Kujinusuru Wasishuke Daraja! Nao Walikuwa Walicheza Na Salah badala ya Liverpool ili asijekuwaathiri...

Tulicheza na Roma (2nd Leg) Ambao Walijaribu Kupindua Matokeo! Na Walikuwa Walicheza na Salah Badala Ya Liverpool ili asije Kuwaathiri....

Na Leo Ndiyo Hivyo Chelshit Wanajaribu Kujinasua Na Europa (They are Just Fighting a losing Battle)! Kwahiyo Walicheza na Salah Kwa Dakika Zote.

Mkuu Pressure Ya Mechi Hizi Sio Ya Kawaida Lazima Mtu Hatari Aandaliwe Mikakati Ya Kupotezwa Mchezoni.

Lakini Baada Ya Mechi Ya Mwisho Ya Ligi atapata Muda Wa Kutosha Wa Kupumzika Kujiandaa na Fainali.
Oooh, kumbe ukicheza na Salah basi kazi ndio imeisha!! Sasa Casemiro atacheza nae hata akienda kunywa maji, atamsindikiza kisha kina Modric na Kros watachezesha timu!
Mechi imeshaisha!!
 
As usual! just depth inahitajika.. pale bench hakuna wa kubadili matokeo

Solanke kapanic sana.. Origi was better
 
Breaking news Liverpool reach €70m deal to sign Nabil Ferik from lyon.View attachment 768470


Mkuu Nimemnasa Klopp Baada Ya Mechi Alivyouliwa na Mwandishi Kuhusu Nabil Fekir na Ousmane Dembele alijibu Hivi:

"During the game, we agreed a deal (with Fekir)?! I would be surprised about that to be honest. No comment."



"Oooh, (Dembele) is he on the market? Now i am interested! I never comment on transfer rumours."



Hapo Hakukubali Wala Hakukataa! Bali Kasema NO COMMENT.

Maoni Yangu:
Kama Ni Uongo Kuhusu Fekir Mara Nyingi Nimemsoma Klopp Hujibu No interest! ...
Lakini Kajibu No Comment Coz Kama Ni Kweli Basi Hawezi Kukubali Mpaka iwe Confirmed Kwa Pande Zote Mbili Kwani Dili Laweza Kukwama Kwenye Kutiliana Saini tu.
 
Does it mean Buvac ndo kashaondoka au?!?


Buvac Hawezi Kurudi Tena Liverpool labda Yeye Mwenyewe Buvac Abadilike na Aombe Samahani Kwa Klopp!
Kwani Nimepata Tetesi Uhusiano Wake Na Klopp Haukuwa Mzuri Siku za Hivi Karibuni Kutokana Na Kitendo Chake Cha Kufanya Mazungumzo Ya Siri na Bodi Ya Arsenal Kuangalia Uwezekano Wa Kumrithi Wenger. Jambo hili lilimkera Sana Klopp Mpaka Buvac Akaamua Kukaa Pembeni.
 
Buvac Hawezi Kurudi Tena Liverpool labda Yeye Mwenyewe Buvac Abadilike na Aombe Samahani Kwa Klopp!
Kwani Nimepata Tetesi Uhusiano Wake Na Klopp Haukuwa Mzuri Siku za Hivi Karibuni Kutokana Na Kitendo Chake Cha Kufanya Mazungumzo Ya Siri na Bodi Ya Arsenal Kuangalia Uwezekano Wa Kumrithi Wenger. Jambo hili lilimkera Sana Klopp Mpaka Buvac Akaamua Kukaa Pembeni.
Kuna tetesi kuwa jamaa anafanya mazungumzo na Humburg.
 
Game Ya Mwisho Mimi Sina Wasiwasi Nayo Cuz tunacheza na Brighton & Hove Albion Ambao tayari Wapo Katika Safe Zone!
Kwahiyo Ni Game Rahisi Kwetu Kwani Hawatokuwa na Pressure Ya Kuwa [HASHTAG]#Relegated[/HASHTAG].

Itakuwa Bora Kama Mo Hatocheza Zaidi Ya Dakika 60.
Liverpool mna mchezo mmoja tu, hizo za Brighton & Hove Albion zinatoka wapi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom