Ligi Leo imeisha! Nilichogundua:
Kama Timu haitofanya Usajili Kwa CENTRE BACK, MIDFIELD na MSHAMBULIAJI basi Hata Akija Naby Keita, Mwakani Tusubiri tena Kugombania TOP FOUR lakini tusitegemee Kubeba EPL, Kwa Kikosi Hichi Cha Wachezaji Hawa Hatuna Timu Ya Kubeba EPL.
Kwanini Nimetaja Mshambuliaji Wakati Tuna Mane, Salah na Bobby??
Ukweli Ni Kwamba Katika Michezo Yetu Minne iliyopita (vs Everton, WBA, Roma na Stoke) ambayo Salah Hakuwa Katika Performance Nzuri na Haluweza Kufunga Basi Hatujashinda Yote...
So, Kumbe Salah akimiss Michezo isiyozidi Minne Kwa injury basi Ni Problem Kubwa Kwani Waliobakia Ubunifu Wao Ni Mdogo.
So, Ni Lazima Tupate Striker Mbunifu Wa Kutoa Ushindi from Nowhere.
Kwasasa Tujipongezeni Kuwa Angalau Tumepata Nafasi Ya Kucheza UCL next Season! ILA TUKUMBUKE KUWA, UKWELI USIOFICHIKA NI KWAMBA TROPHY = 0..
KWAHIYO BADO HATUJAPATA MAFANIKIO YOYOTE MPAKA SASA KWANI KUJISIFU KUWA LIVERPOOL IMESHAPATA MAFANIKIO KWA KUKAMATA NAFASI YA NNE NI MEANINGLESS. TUSUBIRI FAINALI YA CL IWAPO TUTABEBA KOMBE BASI HAPO NDIYO TUTAANZA KUHESABU MAFANIKIO KWANI MAFANIKIO NI MAKOMBE TU NA SI NAFASI YA NNE.