Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kikosi chetu leo
IMG_20180506_182351.jpg
 
UNAMKUMBUKA yule mwamuzi wa Italia mwenye upara, Pierluigi Collina? Sasa ameachana na filimbi na ndiye amekuwa bosi wa waamuzi wa Uefa. Na yeye ndiye ambaye atampanga mwamuzi wa pambano la fainali kati ya Liverpool na Real Madrid pale Kiev.

Collina ndiye Mkuu wa Kamati ya Waamuzi ya Uefa na amekuwa akichunguza kila mechi kupitia kwa watu wake wa karibu na tayari anajua kwamba kumekuwa na utata mwingi katika mechi za Ligi ya mabingwa hivi karibuni.

Tayari homa ya pambano hilo litakalopigwa Mei 26 imezidi kupanda kutokana na timu zitakazocheza fainali hizo kuwa na mvuto mkubwa kwa mashabiki wa soka katika pande nyingi za dunia.

Waamuzi wenye viwango vya juu katika uchezeshaji wanatazamiwa kupitishwa katika mizani ya Collina lakini kwa mujibu wa kanuni mechi hiyo haitachezeshwa na waamuzi kutoka Hispania au England ambazo zimetoa timu zitakazocheza fainali hiyo. Mara nyingi kamati hiyo ya Collina huwa inachagua waamuzi wenye uzoefu zaidi na ambao wamefaya makosa machache zaidi katika msimu huu huku wengi kati yao wakitazamiwa kuwepo katika michuano ya kombe la dunia nchini Russia.

Waamuzi ambao wanatajwa kuwa katika orodha fupi ya kuweza kuchezesha pamoja hilo ni pamoja na Bjorn Kuipers wa Uholanzi, Damir Skomina wa Slovenia, Felix Brych wa Ujerumani, Jonas Eriksson wa Sweden, Clement Turpin wa Ufaransa na Cüneyt Çakir wa Uturuki. Hata hivyo, Cakir alisababisha utata katika pambano la Real Madrid dhidi ya Bayern Munich ambapo anashutumiwa kwa kutoipa penalti Bayern Munich wakati mlinzi wa Madrid, Marcelo alipoonekana kuunawa mpira katika eneo la hatari.

Waamuzi wengi wamekidhi vigezo lakini Collina, ambaye ni mwamuzi maarufu wa zamani kutoka Italia ndiye ambaye atakuwa na kauli ya mwisho kuhusu nani achezeshe pambano hilo linalosubiriwa kwa hamu.

Hata hivyo, nchini Italia Collina amelaumiwa na Rais wa klabu ya Juventus, Andrea Agnelli kwa kushindwa kuruhusu matumizi ya teknolojia katika michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya huku akimlaumu pia mwamuzi huyo kwa kuzikandamiza klabu za Italia katika michuano ya Ulaya.

Inabidi tuwe wapole na kupima suala hili. Nimeona kuna nchi nyingi zinatumia VAR na nimeona kuna matukio ambayo yanakwenda dhidi ya timu za Italia hivi karibuni. Rafu dhidi ya Cuadrado, Milan dhidi ya Arsenal, na Juventus dhidi ya Real Madrid.

Inathibitisha kwamba tunahitaji VAR katika mechi za Ligi ya mabingwa.” Alisema Agnelli.
 
TAA leo anapiga midifild

Kwakweli Tupo Katika Great Problem!!! Yani Sasahivi Mbadala Wa Midfield Yetu Ni TAA??
Kwahiyo Akiumia Mmoja Kati Ya Hendo, Gini au Milli Basi Atakaeziba Nafasi Ni TAA! Wakiumia Wawili??? Itabidi Aingizwe Mfu Lallana.

Ni Kweli Hapo awali Katika Academy TAA alikuwa Ni Midfielder (DM), Lakini Klopp Amembadili na Kuwa Fullback! Kwahiyo Ni Vigumu Kwa Sasa Kuadapt Role ya Midfield Kwa Kipindi Kifupi.

Next Season Panahitajika Usajili Wa Lazima.
 
Hivi Bado Kuna Mshabiki Wa Kweli Wa Liverpool Ambaye Mpaka Sasa Anaamini Kuwa LOVREN Ni Beki Wa Kutegemea??

Yani Anamwachia Giroud Anaruka Free Head!!! Kwa WBA alitufugisha goli Kama Hili....
Kwa Roma game Ya Kwanza ya 5-2 alitufungisha goli kama Hili...
Na Siku ya Man Unite Magoli Yote 2 alishindwa Kucheza Mpira Wa Juu Kwa Lukaku..
Na Leo Kashindwa Kucheza Mpira Kwa Giroud..

Hivi Huyu Lovren Kichwa Chake Kina Matatizo gani Hata Akawa Anashindwa Kucheza Mpira Wa Juu...

Msimu ujao Huyu Awe Mwisho Carabao! Lakini Klopp Anavyomuamini Ninauhakika Tutaendelea Kuwa Nae Miaka mingi Zaidi.
 
mkuu MosDef anamjua sana huyu mzigo
 
Salah anapoteza form kwenye very critical stage of the season.
nadhani ni uchovu wa kucheza games nyingi intensely.

Hii Ni Kutokana Na Pressure Ya Hizi Mechi Za Mwisho zilivyo!

Tumecheza Na WBA Ambao Wanajaribu Kujinusuru Asishuke Daraja! Hawa Walikuwa Walicheza na Salah Badala Ya Liverpool ili asijekuwaathiri...

Tumecheza Na Stoke Ambao Walijaribu Kujinusuru Wasishuke Daraja! Nao Walikuwa Walicheza Na Salah badala ya Liverpool ili asijekuwaathiri...

Tulicheza na Roma (2nd Leg) Ambao Walijaribu Kupindua Matokeo! Na Walikuwa Walicheza na Salah Badala Ya Liverpool ili asije Kuwaathiri....

Na Leo Ndiyo Hivyo Chelshit Wanajaribu Kujinasua Na Europa (They are Just Fighting a losing Battle)! Kwahiyo Walicheza na Salah Kwa Dakika Zote.

Mkuu Pressure Ya Mechi Hizi Sio Ya Kawaida Lazima Mtu Hatari Aandaliwe Mikakati Ya Kupotezwa Mchezoni.

Lakini Baada Ya Mechi Ya Mwisho Ya Ligi atapata Muda Wa Kutosha Wa Kupumzika Kujiandaa na Fainali.
 
our game vs Brighton a must-win.

short of that, we'll have to win vs R Madrid (by hooks and crooks).
 
Wachezaji Hawa Wawili LOVREN & CLYNE Ni Aibu na Kujitaftia Majanga Ya Makusudi iwapo Next Season Wataendelea Kuchezea Liverpool Kama Wachezaji Wanaoaminiwa Kwenye [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG]...

Hawa Ni Wachezaji Wa [HASHTAG]#Carabao[/HASHTAG]
 
Hii Ni Kutokana Na Pressure Ya Hizi Mechi Za Mwisho zilivyo!

Tumecheza Na WBA Ambao Wanajaribu Kujinusuru Asishuke Daraja! Hawa Walikuwa Walicheza na Salah Badala Ya Liverpool ili asijekuwaathiri...

Tumecheza Na Stoke Ambao Walijaribu Kujinusuru Wasishuke Daraja! Nao Walikuwa Walicheza Na Salah badala ya Liverpool ili asijekuwaathiri...

Tulicheza na Roma (2nd Leg) Ambao Walijaribu Kupindua Matokeo! Na Walikuwa Walicheza na Salah Badala Ya Liverpool ili asije Kuwaathiri....

Na Leo Ndiyo Hivyo Chelshit Wanajaribu Kujinasua Na Europa (They are Just Fighting a losing Battle)! Kwahiyo Walicheza na Salah Kwa Dakika Zote.

Mkuu Pressure Ya Mechi Hizi Sio Ya Kawaida Lazima Mtu Hatari Aandaliwe Mikakati Ya Kupotezwa Mchezoni.

Lakini Baada Ya Mechi Ya Mwisho Ya Ligi atapata Muda Wa Kutosha Wa Kupumzika Kujiandaa na Fainali.
body language inaonyesha mtu ambaye yupo exhausted mkuu...Salah looks very tired (poor first touch, awkward second, etc).

kama vipi game ya mwisho vs Brighton apate cameo ya dakika chache tu ili kumpa mapumziko kwa ajili ya big match vs R Madrid.
 
Na Jengine Nililojifunza Katika Michezo Hii:-

1) Man United 2 - 1 Liverpool

2) WBA 2 - 2 Liverpool

3) Liverpool 0 - 0 Stoke City

4) AS Roma 4 - 2 Liverpool

5) Chelshit 1 - 0 Liverpool

Ni Kuwa Akipotezwa Mo Salah Basi imepotezwa Liverpool! Hapa Ndiyo Najiridhisha Kuwa Timu Yetu ingawa Anachezwshwa Firmino Kama Striker lakini Still anahitajika Striker Ambaye Anapopotezwa Mo Salah Yeye Atumie Jitihada Zake Binafsi Kubadilisha Matokeo Kama Alivyokuwa Suarez au Torres.
 
body language inaonyesha mtu ambaye yupo exhausted mkuu...Salah looks very tired (poor first touch, awkward second, etc).

kama vipi game ya mwisho vs Brighton apate cameo ya dakika chache tu ili kumpa mapumziko kwa ajili ya big match vs R Madrid.

Game Ya Mwisho Mimi Sina Wasiwasi Nayo Cuz tunacheza na Brighton & Hove Albion Ambao tayari Wapo Katika Safe Zone!
Kwahiyo Ni Game Rahisi Kwetu Kwani Hawatokuwa na Pressure Ya Kuwa [HASHTAG]#Relegated[/HASHTAG].

Itakuwa Bora Kama Mo Hatocheza Zaidi Ya Dakika 60.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom