Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Records of real Madrid in UCL
1.Real Madrid wametwaa kombe Mara 12 sawa na idadi ya timu zote za uingereza
Liverpool 5
Man u. 3
Nottingham forest 2
Aston villa 1
Chelsea 1


This record has nothing to do with our Final in Kiev!
Kwa mfano Real Ni Timu Pekee Kwa Spain iliyo na Record mbaya Zaidi Kwa Timu Za Kiingereza!
Real ndiyo Timu pekee Ya Spain iliyokuwa Haijawahi Kumfunga Arsenal Hata Siku moja.
Real ndiyo Timu Pekee Ya Spain iliyowahi Kupoteza Mchezo Wa Finali dhidi ya Timu Kiingereza (1981 against Liverpool).
So, rekodi kama hizi Hazina maana.
 
Buvac has interview with Frankfurt

Liverpool assistant Zeljko Buvac has interviewed with Eintracht Frankfurt for their managerial position, reports Back Page Football.

Jurgen Klopp's longtime No.2 left the Reds on gardening leave last week and has been rumoured to be in line for Arsenal's top job.

But Buvac could instead be heading back to Germany, with current Frankfurt boss Niko Kovac taking over Bayern Munich after the season ends.
 
Aliekuwa na Haki Ya Kumzuia Madrid Si Liverpool Pekee! Timu zilizoshiriki zilikuwa 32 ambazo Zote Zilikuwa na Haki Ya Kumzuia!

Hata Misimu miwili iliyopita Liverpool Hakushiriki lakini Arsenal alishiriki na Real Madrid Akabeba Kombe Mara Mbili mfululizo Kiboya! Kwanini Hamukumzuia asibebe?
Wana wivu wa kike kama demu wa Martin Kadinda kudai anachukizwa na kupokonywa mpenzi wake na mwanaume mwenzake Bora angepokonywa na mwanamke.
 
hili tunabeba bila wasiwasi.tukutane hapa 26 may 2018 kusheherekea ubingwa tu!........................................................................................................................................................................................................................................................
 
Records of real Madrid in UCL
1.Real Madrid wametwaa kombe Mara 12 sawa na idadi ya timu zote za uingereza
Liverpool 5
Man u. 3
Nottingham forest 2
Aston villa 1
Chelsea 1

Umeisahau Arsenal, Tottenham na ManCity kwenye list
 
Na ujanja wako wooote wewe ni Arsenal!
Nimekuona kule jukwaa la the Gooners unalalama kucheza futuhi
Mtasubiri sana
A proudly GOONER, you are damn right mi ni Arsenal.
Kwa comment yako hii inaonyesha wewe umafuataga timu inayoenda fainali, ni fake fan!!
 
Naona unavamia maulid yasiyokuhusu
Fuatilia huu uzi since 2006 ndio utanijua mimi ni Koppite wa namna gani
Arsenal is old news
It’s a mid table team
Fuatilia na mimi nimejiunga jf lini na jukwaa la arsenal na michezo kwa jumla niko vipi.
Sikimbiagi kisha natokea nusu fainali au fainali.
 
Labda la wizi mkuu,Chelsea wenyewe walilibeba juzi tu hapa akina Drogba walikuwa hawajawahi.Arsenal ntakwambia 2006 ndo ilicheza final yake ya kwanza na akafungwa na Barcelona.
 
Fuatilia na mimi nimejiunga jf lini na jukwaa la arsenal na michezo kwa jumla niko vipi.
Sikimbiagi kisha natokea nusu fainali au fainali.

Ungekuwa na mapenzi na ArseAnal usingeshinda kutwa nzima hapa The Kop
Inaonyesha ni jinsi gani hata support ya timu yako kibonde huna
 
Ungekuwa na mapenzi na ArseAnal usingeshinda kutwa nzima hapa The Kop
Inaonyesha ni jinsi gani hata support ya timu yako kibonde huna
Mimi ni mwanamichezo wewe, usinichagulie jukwaa. Hata jukwaa la leicester nachangia kule. Usiwe one dimensional sana kisa wewe ni liver, mbona unaonyesha utoto, liver fans wengi ni watu wazima na wanaojitambua, nakushangaa wewe kufura mwanamichezo mwingine kuwa jukwaa la liver.
Na pia, liver siichukii. Ni kwamba kwa msimu huu na pia hata walipolikosa kosa kombe la epl pale gerrard alipojikwaa, mashabiki wa liver huwa ni kero hivyo nami huwa nakuwa dhidi ya hao mashabiki na sio timu yenyewe.
 
Mimi ni mwanamichezo wewe, usinichagulie jukwaa. Hata jukwaa la leicester nachangia kule. Usiwe one dimensional sana kisa wewe ni liver, mbona unaonyesha utoto, liver fans wengi ni watu wazima na wanaojitambua, nakushangaa wewe kufura mwanamichezo mwingine kuwa jukwaa la liver.
Na pia, liver siichukii. Ni kwamba kwa msimu huu na pia hata walipolikosa kosa kombe la epl pale gerrard alipojikwaa, mashabiki wa liver huwa ni kero hivyo nami huwa nakuwa dhidi ya hao mashabiki na sio timu yenyewe.

Wewe ni mshabiki maandazi na hujitambui
Karibu Kyev
 
Just thinking aloud....Nimesikia kuwa Yaya Toure anaondoka city mwisho wa msimu.For the sake ya kuongeza depth kwenye kiungo nilifikiri kama akija inaweza kuwa nzuri.....au?

What do you think?
 
Just thinking aloud....Nimesikia kuwa Yaya Toure anaondoka city mwisho wa msimu.For the sake ya kuongeza depth kwenye kiungo nilifikiri kama akija inaweza kuwa nzuri.....au?

What do you think?
a big NO for me, chief.

he is notoriously injury prone.
throw in our "full throttle" style, it'll be akin to trying to force square pegs into round holes!
 
Bustani za maua, na gwaride la wanajeshi 3000 ndiyo baadhi ya mambo watakayo karibishwa nayo mashabiki wa Liverpool na Real Madrid wakati timu hizo mbili kubwa zitakapokutana katika fainali za ligi ya Ubingwa katika uwanja wa Olympic Stadium mnamo Mei 26.
Uwanja huo - umejizolea umaarufu kwa kuwa mwenyeji wa baadhiya mechi za soka katika mashindano ya Olimpiki Moscow mnamo 1980 .
Una takriban viti 70,050 licha ya kwamba kiwango cha mashabiki watakaoruhusiwa katika fainali hiyo ni 63,000.

Vilabu vyote vimepewa takriban tiketi 16 500 kwa hivyo jumla ya mashabiki 33,000 wa Liverpool na wa Real Madrid wanatarajiwa kusafiri kuelekea katika mji mkuu huo wa Ukraine - na pia mashabiki wa Wolfsburg na Lyon kwa fainali ya ligi hiyo kwa wanawake siku mbili kabla ya hapo itakayochezwa katika uwanja mdogo wa Dynamo.
Meya wa mji wa Kiev Vitali Klitschko - bingwa mara tatu uzani mzito wa masumbwi amesema anatarajia hadi watalii 100,000 mwishoni mwa juma.

Kwa kipindi cha fainali hiyo, kando na vikosi vya polisi mjini Kiev na maeneo mengine, wanajeshi 3000 watasaidia katika kuhakikisha utulivu," amesema naibu waziri wa mambo ya ndani Serhiy Yarovyi.

Usafiri na malazi je?
Uwanja wa ndege mjini humo Borispol unatarajia ndege 100 za ziada mwishoni mwa juma.
Utafunga mojawapo wa njia kuu za uwanja huo ili kukabiliana ongezeko hilo, na kuruhusu njia nyingine kutumika kama maeneo ya ndege kusubiri.
Katika baadhi ya ndege ni marufuku kubeba mizigo ili kuharakisha kushuka kwa abiria.
Bei za kukodisha hoteli pia zinatarajiwa kupanda.
Mpaka sasa takwimu zinaonyesha 98% ya malazi katika hoteli yamekodishwa.

Eneo kuu la kivutio linalojulikana kama 'kijiji cha mabingwa', lipo katika mtaa wa kati kati wa Khreshchatyk. Kutakuwa na mechi ndogo ya watu mashuhuri kati ya marafaiki wa meya Klitschko na mshambuliaji bingwa wa Ukrain Andriy Shevchenko.

Kila kijiji cha mji huo kinapanga kuwa na mpangilio wa maua na michoro na sanaa za aina nyingine, na Kibofu kikubwa kilicho mfano wa taji kuu la ligi hiyo ya ubingwa.
Ukarabati mkubwa umefanywa wa uwanja huo, ikiwa ni pamoja na kuwekwa kamera za CCTV vipaza sauti na taa pamoja na kutengwa sehemu maalum ya waandishi habari.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom