Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wakuu nawasalimu. Sio kwamba sifuatilii yanayojiri... nafuatilia sana. Ila haka kaugonjwa ka presha dokta alinishauri nijitenge sana na mambo yanayonipa presha.

Hii timu yetu nilikuwa siipi nafasi hii... nilikuwa naihofia sana. Nimekuwa mtu wa kusubiri matokeo then nafuatilia mechi baadaye.... (mambo ya kujali afya). Natamani niende kinyume na ushauri wa daktari... niiangalie fainali live lakini naogopa. Naipenda Liverpool na wakati huohuo nayapenda maisha yangu kwa ajili ya wanangu...

Liverpool don't kill me yoooooo..... igweeeee...
Liver is OK,is perfect in the right truck,relax and watch the beautiful game of the corks.Tunaenda kuiteka Dunia believe me.
 
Unafikiri hiyo fainali ndio kama siasa majitaka ulizozizoea za Bongo?
Nawachukia sana watu WASIOJUA KUTOFAUTISHA majukwaa. Huwa sichanganyi hivi vitu, ilitakiwa nisikujibu ktk hili ila nimeona nikufahamishe tu labda nawe itakuwezesha kujitambua.suala la siasa, nenda jukwaa husika, hapa ni michezo!!
 
Actually, ni fainali niliyoitaka. Itapendeza, ili mzizi wa fitna ukatwe!!
Kwa mechi hizi za Roma, raundi hizi 2, liver wajirekebishe! Huu ni ukweli tu.
We jamaa inaonekana liva inakuumiza sana moyo sisi wenye timu yetu matatzo yetu tunayajua au umeona kuna mtu analaumu beki zetu..embu tuache kdgo tupumue!!
 
Nawachukia sana watu WASIOJUA KUTOFAUTISHA majukwaa. Huwa sichanganyi hivi vitu, ilitakiwa nisikujibu ktk hili ila nimeona nikufahamishe tu labda nawe itakuwezesha kujitambua.suala la siasa, nenda jukwaa husika, hapa ni michezo!!

Poa poa MwanaCCM nguli JF!
 
kudos to Klopp kwa hatua hii.
he deserves all the plaudits kwa kweli. karata alizochanga dirisha la January ni spot on!

ila ni wazi Salah leo alionekana very leggy and tired. hii ni kutokana na kucheza mfululizo sana. tungekuwa na depth ya kutosha kwenye squad yetu, ile mechi ya Stoke angepumzishwa na am sure leo dogo angeweza kupiga hata hat trick.

let's hope Klopp & FSG watalifanyia kazi hili kwenye the coming summer.

Real Madrid ile defence yao nyanya sana. tegemeo lao Ramos amekuwa mzito sana these days - so atakuwa victim # 1 wa full throttle ya Bobby.
tuna uwezo wa kuwa overscore (wanaweza kutufunga 3 lakini sisi tutapiga at least 4).

Real Madrid 3 - 4 Liverpool
(take note of this. it's just fact-based science, not superstition!).

naona ndoo ya 6 hiyooo. Manure hii kitu inawauma sana basi tu watafanyeje!!
 
kudos to Klopp kwa hatua hii.
he deserves all the plaudits kwa kweli. karata alizochanga dirisha la January ni spot on!

ila ni wazi Salah leo alionekana very leggy and tired. hii ni kutokana na kucheza mfululizo sana. tungekuwa na depth ya kutosha kwenye squad yetu, ile mechi ya Stoke angepumzishwa na am sure leo dogo angeweza kupiga hata hat trick.

let's hope Klopp & FSG watalifanyia kazi hili kwenye the coming summer.

Real Madrid ile defence yao nyanya sana. tegemeo lao Ramos amekuwa mzito sana these days - so atakuwa victim # 1 wa full throttle ya Bobby.
tuna uwezo wa kuwa overscore (wanaweza kutufunga 3 lakini sisi tutapiga at least 4).

Real Madrid 3 - 4 Liverpool
(take note of this. it's just science, not superstition!).

naona ndoo ya 6 hiyooo. Manure hii kitu inawauma sana basi tu watafanyeje!!
Inapendeza sana kuota. Ramos ana effect pande zote za pitch, ktk mechi kama hizi nae hufunga.
 
Hongera yetu ila bado tuna mapungufu kwenye safu ya Ulinzi hasa upande wa Trent alexander-anord, nimechek game zote za Liverpool mipira Mingi inapitia kwa TAA, tusipo chukua taharadhari Madrid watapitia Sana kwa upande wa TAA
 
Nafikiri kipindi cha pili kocha aliwaambia vijana wapunguze presha kwa wapinzani ili kuepuka majeruhi kwani alishajua ameshamaliza kazi.Pia simlaumu kocha kwa sub kwani kuna mechi muhimu na chels jpili na kama mjuavyo hatuna kikosi kipana haswa kwa forward na viungo.Milner hakuwa na amani kabisa nadhani anahisi amekuwa na mkosi kwenye hizi gem 2 za as roma.All in all Karius anazidi kugain momentum kwenye improvement
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom