Fafanua Mkuu..Hongera kwa refa pia
Mane anazingua sana leo.
Hao ni mikia tuu,achana nao.Kuna Majamaa Fulani Wao Tokea Tupo Kwenye Makundi Wanatutabiria Kutoka Mpaka Hii leo Walikuwa Wanatutabiria Kuwa Tutatolewa lakini Leo Sijui Watasemaje!!!!!! 😀😀😀
Liverpool always concede goals regardless who they play against, no matter how their offence is clinical in front of goal, the defence somewhere somehow go to sleep, this will darely cost them!!
Najua mtu wa liver atabisha!!
Hiyo ni kweli mbona tunakubali,ila forward yetu pia haipoi.Liverpool always concede goals regardless who they play against, no matter how their offence is clinical in front of goal, the defence somewhere somehow go to sleep, this will darely cost them!!
Najua mtu wa liver atabisha!!
The nightmare is yet to come!!
them keeping saying "leo mnatolewa n.k" ila bado tupo kama kawa tunasonga mbele...Kyiv here we come the Red Army blazing in RedThe nightmare is yet to come!!
Wanasema GOOD OFFENSE WINS YOU MATCHES, but GOOD DEFENCE WINS YOU TITLES. There is a title on the line here buddy!!Hiyo ni kweli mbona tunakubali,ila forward yetu pia haipoi.
Actually, ni fainali niliyoitaka. Itapendeza, ili mzizi wa fitna ukatwe!!them keeping saying "leo mnatolewa n.k" ila bado tupo kama kawa tunasonga mbele...Kyiv here we come the Red Army blazing in Red
Bila tatizo?? Watu walikuwa kwenye suspense ya hali ya juu, nail biting final seconds!!niljua kbs fainal tunafika bla tatzo lolote
And we ,the korps are going to win that very title,trust me.Wanasema GOOD OFFENSE WINS YOU MATCHES, but GOOD DEFENCE WINS YOU TITLES. There is a title on the line here buddy!!
oh really, check ua stat properly n u il see how em the White Army have a weakness.....what a game forget abt "wanasema" the fact tumeingia fainali is damn so cool, how u wish ua team could have gone this far...mtaaani amani tele...In Klopp we Trust, we cherish you...mnatupa raha kwa kweliWanasema GOOD OFFENSE WINS YOU MATCHES, but GOOD DEFENCE WINS YOU TITLES. There is a title on the line here buddy!!
I trust you as a kop because i dont expext nothing less but optimism!!And we ,the korps are going to win that very title,trust me.