Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Golikipa wa As Roma anataka kuleta mbwembwe na mikogo kwa mshambuliaji wa Liverpool filmino.
 
Muda unakwenda muda unayoyoma,beki wa Liverpool anapewa kadi ya manjano Robertson.
 
Lakini As Roma bado wanamlima mrefu sana.

Wanahitaji wapate magoli matatu.
 
Pongezi na hongera kwa liverpool fans wote. Sasa ni kujipanga kwa faina pale kiev.

YNWA
 
Pongezi za dhati kwa mashabiki wote na wachezaji wa Liverpool na wapenzi wa Liverpool.

Sasa washakata tiketi ya Fainali ya Uefa itakayochezwa katika Taifa la Ukraine ambalo Putin aliweza kujimegea jimbo la crimea mnamo mwaka 2014.

Nsc stadium kiev-Ukraine 26/5/2018 Real Madrid watamenyana vikali na Liverpool hakika mechi si ya kukosa.

Hongereni Shabiki wote wa Liverpool Jamii forums.

Mpira ni burudani,Mpira ni urafiki na udugu dumisha, Mpira hutuleta pamoja.
Maisha ya faa nini bila soka..??

Usiku mwema wote kwa wapenda soka Jf.
 
Pongezi za dhati kwa mashabiki wote na wachezaji wa Liverpool na wapenzi wa Liverpool.

Sasa washakata tiketi ya Fainali ya Uefa itakayochezwa katika Taifa la Ukraine ambalo Putin aliweza kujimegea jimbo la crimea mnamo mwaka 2014.

Nsc stadimu kiev-Ukraine 26/5/2018 Real Madrid watamenyana vikali na Liverpool hakika mechi si ya kukosa.

Hongereni Shabiki wote wa Liverpool Jamii forums.

Mpira ni burudani,Mpira ni urafiki na udugu dumisha, Mpira hutuleta pamoja.
Maisha ya faa nini bila soka..??

Usiku mwema wote kwa wapenda soka Jf.
Hongera kwa refa pia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom