Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Leo game Sijapata Nafasi Ya Kuiangalia Bali Ninaifuatilia Kupitia [HASHTAG]#LiveScore[/HASHTAG]
 
Namna gani hapa kiungo wa Roma Nai anaonekana kuunawa mpira

Refa anasema twende kazi
 
Roma wanakosa goli hapa,
Golikipa wa Liverpool unauficha mpira kwapani.

Mechi bado nzuri yoyote anauwezo wa kupata magoli zaidi
 
Liverpool wanatikiwa kushambulia wakati wote, wasijaribu kupaki bus hata kidogo!
 
Captain florenzi anapewa kadi ya manjano kwa kumfanyia madhambi Mane.
 
79' As Roma 2-2 Liverpool.

Naona hawa vijana wa Roma wanasaka goli kwa juhudi kubwa lakini majogoo wamegangamara.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom