Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Shemdarling niko poa kabisa hofu kwako tu.

Huku shemdarling siyo hater kivile nawaombea tu kila la heri atleast muitoe England kimasomaso,am in love with England nimeichoka Hispania kila siku hahahaha!! Haya mie niwatakie kila la heri tu.
 
Gemu kubwa klop awaache forwards zetu mwanzo mwisho lile kosa dhidi man city sikutegemea kabisa ingejirudia Jana!
 
Shemdarling niko poa kabisa hofu kwako tu.

Huku shemdarling siyo hater kivile nawaombea tu kila la heri atleast muitoe England kimasomaso,am in love with England nimeichoka Hispania kila siku hahahaha!! Haya mie niwatakie kila la heri tu.
Khofu ondoa ni dhaifu zaidi ya man city kama uliangalia vizuri utagundua hilo.

Tulipata nafasi nyingi zaidi Mane uchoyo na kukosa utulivu na ile ya Wijnadum hizi ni wazi kabisa ukiondoa ukosaji mwengine wa kawaida.
 


• Kwa kweli Mfumo Wetu Umeficha Kwa 100% Pengo la Coutinho na Kuondoka Kwake Kumetupa Advantage Sana Na Ndiyomana Bila Ya Yeye Tumeshinda Michezo Mengi Zaidi.

Sababu Ya Kufanya Vizuri Bila Ya Coutinho Kuliko Kuwa na Yeye.

√ Coutinho alibadilishwa na Klopp Kutoka Wide Attacking Midfielder (Left Wing) to Central attacking Midfielder. Baada Ya Kuondoka Nafasi Hiyo inachezwa Kati ya na AOC tunaposhezesha Hendo-Milner-Gini. Au inachezwa na Henderson Tunapochezesha Can-Hendo-Milner au Gini-Hendo-Milner.

Kwahiyo Anapocheza Coutinho Timu ikuwa inashambulia Kwa Kasi na Kufunga Magoli Mengi, Lakini Tulikuwa Na Udhaifu Mkubwa Katika Ukabaji Kutokana Na Coutinho Kutokuwa Na Habit ya Kusaidia Kukaba Na Ndiyomana Tulikuwa Tukiconcede Magoli Hata Matatu Kwa Mchezo Ambao Tunaongoza 3 au 4. Hii Ni Kutokana Na Coutinho Kufocus only Kwenye Kuattack and not Defending.

Lakini Mfumo Wetu Wa Sasa Unakutia Gini-Hendo-Milner Hawa Wote Hupanda Juu Kushambulia then Hurudi Chini Wote Watatu Kwa Pamoja Kuja Kukaba na Kwa Bahati Mzuri Millner Ni Mchezaji anayewin Tackles Mara Kwa Mara.

Kwahiyo Bila Ya Coutinho Tupo More powerful than with Him.

• Na Kuna Tetesi Ni Kwamba Iwapo Liverpool itashinda CL Ni Kwamba Coutinho na Yeye Atapewa Medali Kuwa Ameshinda CL kwasababu Amesajiliwa.

√ Lakini Ukweli Ni Kwamba Coutinho amesajiliwa na Liverpool Kwa ajili Ya CL ila Sheria ya UEFA wanatoa Medali 41 tu Kwa Timu na Viongozi Wake.

Sasa Liverpool imeshatimiza Hao Watu 41 Kwani Alipotoka Yeye Walibaki 40 hatimae Aliposajiliwa VVD wakatimia Wale wale 41.

Kibaya Zaidi Kwa Upande Wake Ni Kuwa Sturidge na Grujic Wametolewa Kwa Mkopo Lakini Wamesajiliwa UEFA na Hawajaondolewa Kwenye Usajili na Ndiyomana wanaweza Kuitwa Muda Wowote.

Kwahiyo Coutinho hana Medali Bali Sturridge na Grujic Watavaa Medali.

Huruma Naipeleka Kwa Origi kwani Yeye Ameondolewa Katika Usajili Kwa Kuongezwa Baadhi Ya U23.
 


Mpira Wa Barcelona na Liverpool Ni Tofauti.

• Barcelona anacheza Controlling Football with Short pass that is why inamchukua Hata Passes 20 kufika Kwenye Box la Wapinzani Bila ya Wapinzani Kuintercept Mpira.

• Liverpool wanacheza attacking football with long pass na Ndiyomana Passes 3 tu Tunaingia Kwenye Box la Wapinzani.

• Liverpool ina hatari Zaidi langoni Kwa Mpinzani Kwani Hujui Umzuie nani kati ya Mane, Salah na Firmino ambao Wote Uwezo Wa Kufunga Magoli Muda Wowote.

• Barcelona ukimdhibiti Messi basi umeidhibiti Barcelona na Hakuna mwengine atakaeweza Kufurukuta.

Hatufanani na Barcelona Kabisa, Ni Man City Ndiye Anayefanana na Barcelona.
 
hii mishahara inabidi ipitiwe upya.
naona humu kuna wezi na pia kuna wanaoibiwa.



Lazima Liverpool tubadilishe Mfumo Wa Wages Kwa Baadhi Ya Wachezaji Kwani Ni Jambo la Aibu Kuwa Mchezaji Wa Bench Wa Manure anakula Hela Ndefu Kuliko Sadio Mane.

Mo Salah Katika New Contract Wanataka wampe £200K jambo ambalo not fair kabisa.
 
Like wise mkuu nilitamani sana semi final na Madrid hili tuionyeshe dunia sisi ni nani
 
Mkuu Mimi kwa Mara ya kwanza nabeti laki Mbili kwa laki Mbili anayebisha aweke mzigo Liverpool ndio mabingwa wa Champion league this season
 
Weka kumbukumbu sahihi 38 kwenye champion league only maana mazuzu watasema labda na EPL
 
Kocha ambaye hajawahi kuchukua hata champions league mnamwita master class coach
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…