Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Wakuu pengo la Can na Coutno naona hata kabla ya usajili kama halipo vile....yaaani so far so gooood, mwalimu anavyowaelekeza kufanya vijana wetu hawajamwangusha...
kasoro hizi kosa kosa za Mane....game ya Everton Anfield, game ya Westbrom Anfield ya FA na Epl alikosa hivyo hivyo na kua mchoyo wa pasi ya mwisho...
Coutno anasubiri apate medal ya Champions league maana kwa mwendo huu sioni wa kutuzuia, majeruhi wasiongezeke tenaa.
In Klopp we trust....YNWA