Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Stuart Atwell Ni referee ambaye Alichezesha Mchezo Wa Jana Kati ya WBA vs Liverpool.

Baada Ya Mchezo Wa Jana #FA imemshusha Hadi Daraja la pili (League Two) ambayo atachezesha Next week.

Na ikumbukwe Kuwa Referee huyuhuyu mnamo Mwak 2012 Kutokana na Maamuzi Yake Mabovu Kwa Timu anazoonekana Kuzichukia Kama Liverpool aliteremshwa Kuchezesha Championship mpaka akarudishwa Tena [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG] mwaka 2014/
 
FA nao yule Mmisri mwenye akili mbovu Hegazi hawajamuona?
 
Ni Kweli Kosa lilianzia Kwa Gomez! Lakini Kosa la Gomez halifuti Kosa la Lovren!
Lovren alikuwa anao uwezo Wa Kucheza hile Set Piece Lakini Udhaifu wake Ni Kuwa Hawezi Kucheza Mipira Ya Juu.
Moreno,Klavan,VVD na Gomez,Lovren kwa kweli ukimuindoa VVD wengine walikua very inconsistent na walionekana ku panic muda mwingi ku deal na mipira ya kutokea pembeni jana...
Klopp ku challenge all front msimu ujao anahitaji kikosi kipana sio mediocre players kama Klavan n clu
 
IMG_2588.JPG
 
Vijana wamepambana sana kupata sare na WBA sababu mentality yao ni game na Roma
Kupata sare pale sio jambo baya
Roma game inaishia Anfield
Nina uhakika KYIV tunaenda!
Hahaha hivi nyie Roma mnaichukulia kirahisi sana ..ngoja mpigwe nje ndani ndo akili zitakaa sawa.
 
Kops...
Kuna taarifa ya dogo Maddison wa Norwich city nafikiri, kutakiwa Liverpool. Kwa anayemfahamu vema nisaidiwe taarifa zake.
 
Kops...
Kuna taarifa ya dogo Maddison wa Norwich city nafikiri, kutakiwa Liverpool. Kwa anayemfahamu vema nisaidiwe taarifa zake.

Tetesi Zipo Kweli Kuwa Scouts Wa Liverpool Wanafatilia Progress ya Midfielders [HASHTAG]#Maddison[/HASHTAG] na Yule [HASHTAG]#Neves[/HASHTAG] Wa Wolverhampton.

Lakini Target Kubwa ipo Kwa Joginho na Yule Wa Real mwenye Jina gumu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom