Brad Jones hata sijui vipi anapangwa kuwa Kipa wakati yule Dogo mwengine mkali kushinda yeye Kipa gani Southampton 2-0 na Game is Over.
Mwaka huu Arsenal na liverpool hakuna anayeweza kumcheka mwenzake kwa kuwa na kipa wa uhakika...
HT 2 - 1 LFC Coutinho kafunga Poor kweli kwa LiverpoolFC Mguu mmoja mbele Mguu mmoja nyuma ndio mwendo wetu aibu kweli, LFC tunahitaji Middle zile zenye Speed,nguvu, na akili muda wa SG ushaisha sio kila siku asubiriwe yeye tu. sema hii game ni over ushindi wa LFC leo ni 2-2 zaidi ya hapo Southampton wanatudidimiza zaidi. Bora Hendo aingie atoke Allen then atoke Coutinho aingie Ibe kwenye dk 66 hivi.
Bora Arsenal kwa kipa kama Jones sio kipa kabisa Arsenal wanabahati mbaya tu naona wanatimu nzuri maumivi ya mabeki ndio inawaangusha sizani kama ni Kipa kwa Arsenal.