Huyu Suarez mchezaji mzuri ila anaharibu sana image ya Liverpool fc. Kwa incident ya jana naona ndio kaishajiondoa kwenye tuzo ya PFA. Af naona ameamua kutafuta sababu ya kuondoka Liverpool. Mbaya zaidi angemng'ata mchezaji mweusi af angekuwa wa Man United sijui habari leo zingekuwaje!
kashengo,nadhani hukuelewa alichosema +255
 
Last edited by a moderator:
alisikiliza kwenye radio

Hehehe TehTeh hakuelewa jaani alichoongea +255 alichosema mkuu wapo ni Angemngata mchezaji mweusi ingekuwa balaa manake ni kweli unaweza kuona mchezaji Mweusi Mfano narudia tena Mfano ugomvi wa Viera na Roy Keane ule au Mchezaji Mweusi anavyogombana na Mweupe kwa Gazabu na kusukumizana leo akifanya Suarez kila mtu inamchukulia ni anafanya Ubaguzi hata kama sio mpaka unamuona akigongana na Mweusi anajaribu kujituliza, ila Zaidi ya Hapo alichofanya Suarez sio Haki LIverpoolfc bora wamUuze ataendelea ila kuna vitu pia Suarez anaonewa najaribu kufikiria je Suarez angeruka Mbili kama zile za Aguerro aliomfanyia David Luiz kama mnakumbuka Story ya Luis Suarez ingekuwaje?
 
aisee kile kichwa kama goli la aguero aisee... the cannibalist made it..

Mkuu, naona jina alilokuwa nalo la "Racist" litapotea kwa sasa atakuwa anaitwa hilo jina la "Cannibalist" ila ame apologize na club imempiga fine.
Tusubira kwa FA itakuwaje ila naona sign za kufungiwa game zilizobaki na Van P kuwa na mazingira mazuri ya kuchukua kiatu.
For my unacceptable behaviour yesterday, the
club has fined me today. I have asked the club to
donate the money to the Hillsborough Family
Support Group for the inconvenience I have
created to the Liverpool fans and to Ivanovic.
http://m.facebook.com/suarez16luis?refid=46
 
itakuwa soo sana kama refa atakuwa kareport hilo tukio..

Refa sidhani kama atakuwa aliliona lile tukio, ingekuwa hivyo angemlima kadi. Ila nadhani FA lazima wamuadhibu hata kama refa hajali-report. Mi kinachoniuma zaidi naona kaisha poteza credibility ya kuwa mchezaji bora. Ila tusubiri anaweza ikawa kama kwa Zidane.
 
Refa sidhani kama atakuwa
aliliona lile tukio, ingekuwa hivyo angemlima kadi. Ila nadhani FA
lazima wamuadhibu hata kama refa hajali-report. Mi kinachoniuma zaidi
naona kaisha poteza credibility ya kuwa mchezaji bora. Ila tusubiri
anaweza ikawa kama kwa Zidane.

Waingereza wanafiki sana, kwani Defoe alipomng'ata Mascherano FA walichukua hatua gani?
 
Refa sidhani kama atakuwa aliliona lile tukio, ingekuwa hivyo angemlima kadi. Ila nadhani FA lazima wamuadhibu hata kama refa hajali-report. Mi kinachoniuma zaidi naona kaisha poteza credibility ya kuwa mchezaji bora. Ila tusubiri anaweza ikawa kama kwa Zidane.

tik tok ndio tunavosubiri tamko hilo jumatano..
 
Waingereza wanafiki sana, kwani Defoe alipomng'ata Mascherano FA walichukua hatua gani?
Defoe si ndio Muingereza mwenyewe! FA inawalinda sana wachezaji wa Kiingereza. Mtu kama Joe Barton pamoja na fujo zote walikuwa hawamfanyi kitu hafi hii mara ya mwisho walipomfungia, au kwa kesi ya John Terry na Suarez zilikuwa na tofauti gani? ila angalia adhabu zilikuwa tofauti kabisa!
 
defoe si ndio muingereza mwenyewe! Fa inawalinda sana wachezaji wa kiingereza. Mtu kama joe barton pamoja na fujo zote walikuwa hawamfanyi kitu hafi hii mara ya mwisho walipomfungia, au kwa kesi ya john terry na suarez zilikuwa na tofauti gani? Ila angalia adhabu zilikuwa tofauti kabisa!

mkuu mifani mingi rooney kampiga teke macedonia walienda kutaka ipunguzwe ila wageni ligi ya uengereza wakifanya hivyo wanapinga jengine rio alimpiga kofi torres ilionekana wao walisema hawajaona na video hawajaona wakati video zipo na ushahidi upo ila sababu walikuwa wanajisafisha kwa rio fredinand ili arudi england wakajifanya hawajaona sasa matokeo yake rio fredinand naye akawalia bati kenda timu ya taifa mishabiki yao ikaimba kwa ubaguzi wakasema hawajasikia wakati video za nyimbo hata youtube zipo wao mfano wanaonyesha kwa wachezaji wa nje.
 
Sasa hiv wamempa Chagre sheet eti wanasema hata kama angepewa kadi nyekundu na kukosa mechi tatu ingekuwa haitoshi maana yake bado wangemwongezea adhabu wakati Defoe alipewa kadi ya njao na tukio liliishia uwanjani....Poor FA ndio maana mpira wao hauwezi hata kidogo kuwa sasa na wa Uruguay
 
Wamemlima game kumi. Hivi ina maana issue ya kung'ata adhabu yake ni kubwa kuliko issue ya racism?.
 
Tujiandae kutafuta striker mwingine, safari yake yakuendelea kuwa Anfield ndio imeshaishia toka game na Chelsea, nina uhakika lazima atauzwa tu. Mwisho wa siku hii kitu Suarez kajitakia mwenyewe.
 
Defoe si ndio Muingereza mwenyewe! FA inawalinda sana wachezaji wa Kiingereza. Mtu kama Joe Barton pamoja na fujo zote walikuwa hawamfanyi kitu hafi hii mara ya mwisho walipomfungia, au kwa kesi ya John Terry na Suarez zilikuwa na tofauti gani? ila angalia adhabu zilikuwa tofauti kabisa!

Tatizo uongozi wa Liverpool ulimdekeza sana Suarez kwenye ile issue ya EVRA na chuki nyingi zilianzia pale,SUAREZ amejipalia mkaa mwenyewe.
 
Back
Top Bottom