Listi na Reading itakuwa kama hivyo Suarez Twin wake huyo.
 
Attachments

  • BHqQtCcCIAA3P3s.jpg
    BHqQtCcCIAA3P3s.jpg
    40.1 KB · Views: 47
  • BHftNNnCEAI_aeP.jpg
    BHftNNnCEAI_aeP.jpg
    47.2 KB · Views: 49
Dah washabiki wenzangu naona mkekimbia wote rumu hii tehteh! from 5 goals to 4 goals to 2 now 0 baada 0 timu hii sawa na kunywa Diet Coke, wao kazi yao pasi kufanya skills badala ya kupasua moja kwa moja na kujaribu wanapiga vihuti hata mwanangu anadaka.
 
habari ya wewe mkuu ndio mpira huo bana..
 
Mkuu tupo ila duh....kuanzia ile game na Soton ikafuata Westham na leo loh....Pole yetu but You will never walk alone
 
habari ya wewe mkuu ndio mpira huo bana..

Nikweli ndio football ndetichia ila bora mtu draw ya kufungana ukiwa hali yetu ingekuwa mtu top by 15 point goaless draw sio mbaya, mkuu mbata Tupo pamoja kina full moon na mazee red washapiga panadol za Kopo zile za kwa mchaga.
 
timu yetu iko incosistant kama maendeleo ya bongo....mi naona rodgers ana tatizo la kutojiamini afu sio muhamasishaji mzuri...ukiwa kama kocha vilevile lazima uwe muhamasishaji kwan manure wanakikosi kikali kiivyo?...sema ferguson hana utani anawakazia wacchezaji wanakua wanachezaq kwa kujituma ile jihad...sasa liverpool pale watu wanacheza kama wamelazimishwa vile wachezaji hawana mzuka kabisa yaani ile game na reading ndo ilinichefua kinoma...
 
Tetesi Romano ameweka dau la £100 000 kumnunua sure boy baada ya kumtafuna Iva ... . ..
 
Dah naona pic hapo wameshaondoa wanoko wanahaha na Gunners .... .... .... there is always next time .... .... ..
 
Mie sinatatizo na watu wa Arsenal. Wacha1 inakuwaje? Msiwawekee United Red Carpet na kuwapigia Makofi siku wataokuja kwenu msije kujipanga kama mbunge wa CCM kaja. Suarez naomba mungu auziliwe mbali anatujengea LiverpoolFc jina baya yani anatafuna mtu kama Vimpare! Bora tuwe na Striker kama Heskey wa leo ila tabia nzuri tabia ya Suarez ndio inachafua jina la timu na anawapa wenzake kuwa na tabia mbaya kwa kumtetea yeye ujinga wachukue hata Million 30 apotee zake nishamchoka mie yeye na Carra. Mie hata akifunga Goal sishangilii nashangilia timu yangu tu LFC 4 Life.
 
kamjamaa kamejifunza kwa DEFOE Khe khe kheeee kheee kheeeee

View attachment 90895
 
Huyu Suarez mchezaji mzuri ila anaharibu sana image ya Liverpool fc. Kwa incident ya jana naona ndio kaishajiondoa kwenye tuzo ya PFA. Af naona ameamua kutafuta sababu ya kuondoka Liverpool. Mbaya zaidi angemng'ata mchezaji mweusi af angekuwa wa Man United sijui habari leo zingekuwaje!
 
Banislav Ivanovic ni Mweusi? Kaka game hukuoiona nini?
 
123 Reactions
Reply
Back
Top Bottom