Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Na Utata Unajitokeza hapa!

√ Wakala Wake pamoja na yeye walianza Mazungumzo Na Juventus akafikia Mpaka Kudai Mshahara anaoutaka Na Buy out Close.

√ Lakini Ghafla Yeye na Wakala Wake Wakastopisha Mazungumzo Yote na Juventus Without any known reason.

√ Siku Chache Baadae Kwa Kujiamini Kabisa Akatangaza Wazi Kuwa Msimu Ujao Atajiunga na Timu Kubwa Zaidi ya Liverpool akimaanisha Hatoendelea Kubaki Liverpool.

√ Siku Chache Kabisa Tukasikia Kuwa Amepata injury ambayo Klopp alisema Ni Tatizo dogo tu hatochezeshwa Mechi yetu na Palace Kama Tahadhari.
Lakini Cha Ajabu Media Zikatangaza Kuwa Emre Hatachezea Tena Liverpool for the rest of the Season.

Maswali Ya Kujiuliza:

1) Kwanini asitishe Mazungumzo na Juventus ambayo yalikuwa yanaelekea ukingoni?

2) Timu pekee iliyofanya Mazungumzo na yeye Ni Juventus na Hawajakubaliana Kitu baada ya Kuwakatalia lakini isitoshe Katangaza Kuondoka Na Kuhamia Timu Kubwa kama Ni ishara ya Kuwa Kuna Timu ameshakubaliana Nayo! Ni Timu ipi hiyo?

3) Na Swala La Msingi Liverpool in Daktari Wake! Lakini Cha Ajabu Ni Mapaparazi Ndiyo Waliovujisha Kuwa Emre Atabaki nje Kwa Mechi Zote za Liverpool zilizobakia lakini Klopp na Madaktari Wa Walishndwa Kuconfirm hilo wala Kucomment chochote Kuhusu Kutopatikana Kwa Emre! Hii Ni Wazi Kuwa Ni Coutinho Style ya Kusingizia injury fake.

Huyu jamaa Ni Wazi Kuwa Kuna Timu Moja Wapo Ndani Ya [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG] Man City au Man United ameshakubaliana Nayo lakini Kaamua Kukaa Kimya ili Kuavoid reactions za Mashabiki.
Kwa stahili hiuo sitegemei kama atacheza mpila tusubiri tuone na ataumwa kushinda lalana huko aendako
 
Mkuu samahani game ya leo Liver na nani na inachezwa mda gani???


Sorry Nimechelewa Kuiona Notification! Game Tunacheza [HASHTAG]#WBA[/HASHTAG] na sasahivi Ni HT ambapo tunaoongoza Kwa goli 1 la Danny Ings.
 
Joel Gomez na Moreno Nimeona Tatizo Katika Ukabaji Wao! 2nd Half Wenye Namba Zao TAA na ROBBO waingie wenyewe but Lovren Ningependa Aendelee Kubaki Bench Kwa leo Kwa Ajili ya [HASHTAG]#Roma[/HASHTAG].

Ningependa Mane Nayeye Apumzishwe Kwa Ajili ya [HASHTAG]#Roma[/HASHTAG] na Aingie Firmino.
 
😀😀😀 Nilijua Tu Lovren Atimize michezo Mitano bila ya Kutufanya Kitendo Ni jambo la ajabu
 
The most inconsistent player Kwenye [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG] Ni Lovren! Nani anabisha? Yani linaufata Mpira Wa Set Piece halafu linashindwa Kuucheza Kwa Kichwa 😀😀😀
 
Gomez asipo change itakuwa ni wasteful. Lovren sijui ana atakuwa vipi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom