Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Mkuu bado tu hujajua falsafa za uyo Klopp? Huyu ni kocha anayetengeneza timu inakuwa ya kiushindani lakini sio timu ya kichukua kombe lolote lilee.. refer alivyokuwa Dortmund.
Liverpool itakuja kuwa kama Tottenham tu ..itakuwa nzuri sana lakini sio kwa kuchukua makombe.
Have you seen what did karius say... hahahUtani Mzuri huu! Nadhani Harry Kane Asipopata Ufungaji Bora basi Atajutia Kitendo cha Kuiba Goli la Mchezaji Mwenziwe.
Jordan Henderson had a laugh at Harry Kane's expense after Liverpool's 3-0 win on Saturday, joking that Mohamed Salah would be credited with all three goals.
Have you seen what did karius say... hahah
View attachment 745286
Yasemekana ni home kit for next seasonView attachment 745474
Milner ndo alianza huu mchezoPia Nasiki Milner Naye Karusha Madongo Kwa Harry Kane Lakini sijayaona bado 😀😀😀
dark red siyo sababu ya muonekano wa picha?Hizo Zimekaa Powa Kuliko Hizi Tulizokuwanzo Season hii!
Halafu Hile Red yetu Ya Asili Naona wenye Timu Wameamua Kuachana Nayo badala Yake Wameamua Moja Kwa Moja Kutumia Hii Dark Red.
Vvd na karius n Lovren pamoja na makocha wa defence wamejitahidi sana...honestly ile 75m waliochukua St Marys seems like a good bargain maana huyu VVD kutoboresha sana idara hio...Hizi Ni Miongoni Kwa Evidence Zinazoonesha Kuwa [HASHTAG]#VVD[/HASHTAG] na [HASHTAG]#Karius[/HASHTAG] Wameimarisha Ukuta Wetu Kwa Kiwango Zaidi ya Sana.
View attachment 745274
kid has th confidence back n seems likr he wont stop..Robertson,King Mo,VVD surely ni usajili safi kabisaa.Klopp: "Oxlade-Chamberlain was outstanding. Quick, good decisions, good technique, good defending, I like it."
dark red siyo sababu ya muonekano wa picha?
Hako ka-button sijakaelewa tu
Mo aside this kid is the real deal..so far sijaona mistake leading to goal...guys thought aiii from Hull city atakua bencher warmer maana wen others were spending millions Klopp saw talent at a cheap price n so far Moreno atasubiri sanaAndy Robertson 7
Kept the dangerous Fraser in check and was always eager to get forward and help the attack. Like so many of his team-mates, playing with such confidence.
mkuu tupo kwa raha na shinda, si unajua You il Never Walk AloneApa asaiv naona mko wengi sana, au kisa timu inapata matokeo mazuri!? Baada ya gemu yenu na Roma muwe hivi hiv ..sio mnakuwa wengi timu ikifanya vizuri tu.
Hichi ni kipindi cha neema kwenu, kipindi cha majanga kinakuja mjiandae.
mkuu Red is Red as long as its for the Red army....Kiev here we come guys
Badilisheni jina muanze kujiita "The Manati" badala ya "The Gunners"!Mimi ni The Gunner.
Ila ni mwanamichezo na mfuatiliaji mzuri tu wa michezo hivyo sio dhambi kutoa wazo langu.
Ubavu tunao, na hata huko nyuma tulishampiga, not once, not twice.Liver hana ubavu wa kuifunga Real, huu ndio ukweli, labda idondokee tu bahati siku hiyo. Hata The Kops mnajua hili.
Na yeye kawapiga mara ngapi??Ubavu tunao, na hata huko nyuma tulishampiga, not once, not twice.
When it comes to champions league final our record is super, tumeingia finali sita tumebeba mara tano!
Na juzi pale Santiago Barnebeu Madrid walipobebwa na refa treni ilikuwa haijashika moto???Mechi za awali hizo, treni ilikuwa haijashika moto. Hata CR7 enzi hizo alikuwa hovyo kila mtu akawa anasema umri hatimaye umefika kumbe shughuli ilikuwa haijaanza.
Sasa inakuwaje Spurs alitolewa na Juve iliyotolewa na Real??
......A typical english man (ingawa ni Mtz), very optimistic but always comes down crashing!!Na juzi pale Santiago Barnebeu Madrid walipobebwa na refa treni ilikuwa haijashika moto???
Jamani acheni kukariri, Liverpool kwenye hii Champions League ya msimu huu ndiyo the only team ambayo haijafungwa so far.
Be warned...