KweliKwanza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,520
- 2,820
Can was the worst among 3 midfielder play for Liverpool today, I wonder kule unasema alikamata dimba na akamfunika yule dogoHata hivyo kilichompunguzia Rate Yake ingawa kacheza Uzuri Ni Kufungwa Yale Magoli Mawili Kwani Yote Yalipita Katika Position Yake Baada ya Kuiexpose mpaka ikabidi Lovren atoke nyuma Kuja Kuruka na Lukaku.
Lakini juu ya kuwa naridhia kumpa 5/10 but still he did well compared to Tommy.
rating za ndani anapewa 5 so za nje zinaongezeka anapewa 7/8/9 ?
Can was the worst among 3 midfielder play for Liverpool today, I wonder kule unasema alikamata dimba na akamfunika yule dogo
Can was the worst among 3 midfielder play for Liverpool today, I wonder kule unasema alikamata dimba na akamfunika yule dogo
mkuu, yule dogo si mbaya kivile.Arnold hafai kabisa kuanza mechi kubwa ataendelea kutupa maumivu kama klopp atakua mbishi kwa hili
congrats kaka..this tym kocha wako tactics zake zilikua sahihi....we live to "fight" another dayUmeamini mkuu!
Pole sana best.... ndo mpira huo!!Bado sijapata sababu ya kurudi hapa...
Babu naumia sana....
Acha niendelee kuwa msomaji zaidi...
Poleni sana wajukuu zangu... babu yenu nimelala huku nyuma ya viunga vya Anfield....
Leo nimetembea peke yangu...
I can't you!!!!!!Hivi nyie majogoo mkitiliwa kitunguu swaumu au tangawizi ipi mnanoga zaidiii?
Ndiyo naenda sokoni kununua viungo