M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,201
- 23,030
LFC tunataka makombe na Klopp anapaswa awe tayari ame deliver by now. binafsi nitaanza kum back Klopp by 101% pale tu atakapochukua kombe lake la kwanza - potelea mbali hata kama litakuwa la mbuzi!Conte alirithi team nzuri sana Chelsea,wachezaji walimgomea tu Mourihno na sera zake za ku pack Bus.
Pep alirithi team nzuri Man City akikosa tu mabeki wa pembeni kuanzisha mashambulizi
Klopp alirithi team beki wa tegemezi ni Skrtel na Kolo Toure,mbele tunamtegemea Origi!
Sasa ndiyo Klopp ametengeneza team,bado tu kwa kipa kama Karius atazingua atakuja Allison!
Makombe yanaanza kuja Liverpool wala haina wasiwasi
amepata fursa ya madirisha 4 kutengeneza timu. Lovren (wa BR) bado eti amekuwa "spine" ya backline kwa misimu 2 iliyopita. kweli unahitaji hata nusu msimu kagundua kuwa Hendo hafai kuwa midfield linchpin wa timu inayotafuta silveware kama LFC? really?
solution ya genius wetu - Klavan, Karius, Wijnaldum!
Lord have mercy...
