Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

28167124_2046976798891550_4764624924107776585_n.png.jpg

This man the so called Stefan de Vrij will leave Lazio bure hapo Summer baada Ya Mkataba Wake Kufikia Ukingoni...
Ni Central Defender Mzuri tu! Kwa Hiyo anaweza Kutusaidia Hasa Ni Kwamba Tukifanikiwa Kumchukua tutakuwa Tumeokota Dodo Mchangani Kwa Tunamchukua Bure.
Klopp aliwahi kuwa interested na huyu Jamaa! Kwahiyo Ni Bora Akamrudia tena ili amchukue.
 
Hizo gemu zote tunashinda mkuu...

Game Ya Manure (Away) itakuwa Ni Ngumu Sana!
Lakini Hata Hivyo Mpira Ni Mchezo usiokosekana Makosa! Kwahiyo Wanaweza Kosea, Na Wakikosea Basis We will use available chance and beat them.

[HASHTAG]#YNWA[/HASHTAG]
 
usichanganye masomo ndugu.
hapa tunamuongelea Klopp ambaye ssa yumo ndani ya msimu wake wa 3 lakini bado ameshindwa kutengeneza balanced team ya ku challenge for silverware.

Misimu hiyo mitatu imepatikana vipi?
Utapata vipi silverware umerithi team yenye first 11 akina Kolo Toure?
Ina maana bado hujaona team ilivyo anza kubadirika?Lini Liverpool alifikia robo final ya CL?Lini Liverpool akawa na nafasi ya kucheza UCL back to back?
Liverpool imara kwa miaka ya karibuni ndiyo hii na Klopp ndiyo kocha sahihi
 
Pamoja na kuwa na hicho kikosi kibovu Rodgers alikaribia kuchukua ubingwa msimu wake wa pili while Klopp yuko msimu wa 3 so far

Alikaribia ndiyo kauli gani kwenye soka?
Liverpool alishindwa kupenya playoffs kwenye kundi la Madrid,Basel na Ludogtets then unakuja hapa na kauli yako kama ‘alikaribia’

Klopp nae alikaribia kuchukua Yuropa alipo fungwa na Seville kwenye final?
 
in the meantime makocha wengine watakuwa wako kwenye comma au? msijidanganye!

tatizo baadhi yenu mnataka Klopp aishi kwenye comfort zone. no f....g way!
@7M quid he's the 4th highest paid coach in the league. Ranieri did for a lot less!!

I won't have faith in him until and unless he lands us a silverware. kwa sasa lazima apigwe pressure kubwa tu hakuna namna.

Kwa hiyo ni ww na wenzako hapa pressure yenu ndiyo itamtoa Klopp?
Huwa nacheka sana maandishi yenu marefu yasiyo na substances ndai yake!
 
Hiyo Barca ambayo ukichanganya kikosi na Liverpool hamna mchezaji wa Liverpool atakaye anza ndiyo hii au kuna ingine!?
Hii ni Barca mbovu kupatwa kuonwa na mm for years,huwa mnatujazia tu thread yetu kwa uchambuzi pumba kweli kweli!
Hata Suarez huyu hawezi muweka nje Firmino labda mumpangie jina lake
 
Kwa hiyo ni ww na wenzako hapa pressure yenu ndiyo itamtoa Klopp?
Huwa nacheka sana maandishi yenu marefu yasiyo na substances ndai yake!
substance ni silverware. ndicho tunachokiongelea hapa.
of course pressure yetu ndiyo itakayomfanya Klopp afanye vizuri akishindwa achape lapa fasta!!
 
substance ni silverware. ndicho tunachokiongelea hapa.
of course pressure yetu ndiyo itakayomfanya Klopp afanye vizuri akishindwa achape lapa fasta!!

Klopp is there to stay!
Wanaojua soka wanamuelewa Klopp na kejeli za hapa na kwingine wala
Hazimfikii!
 
Klopp is there to stay!
Wanaojua soka wanamuelewa Klopp na kejeli za hapa na kwingine wala
Hazimfikii!
Nakuelewa sana Malafyale hao wasioona Maendeleo yoyote since Klopp amechukua timu waende kushangilia timu nyingine ili wanyanyue makwapa kila msimu. Klopp is there to stay.
 
Nakuelewa sana Malafyale hao wasioona Maendeleo yoyote since Klopp amechukua timu waende kushangilia timu nyingine ili wanyanyue makwapa kila msimu. Klopp is there to stay.

Kuna watu hapa waliandika kurasa ndefu sana hadi wakafikia eti Barca na Liverpool ukichanganya team hamna mchezaji wetu atakaye ingia first 11 ya Barca ile jana imecheza na Chelsea na watu hawa wakawa wanashangilia upuuzi ule!
Barca ile haimfungi Liverpool huyu hata wachezee Kirumba Stadium!
Mkuu maendeleo chini ya Klop ni makubwa sana
Mwaka wa kwanza nafasi ya nane
Mwa wa pili nafasi ya nne na sasa tupo robo final
Mwaka huu anamaliza runners wa Man City na kaja VVD na baadae Keita
Klopp anajua kuunda team!!
 
Hiyo Barca ambayo ukichanganya kikosi na Liverpool hamna mchezaji wa Liverpool atakaye anza ndiyo hii au kuna ingine!?
Hii ni Barca mbovu kupatwa kuonwa na mm for years,huwa mnatujazia tu thread yetu kwa uchambuzi pumba kweli kweli!
Hata Suarez huyu hawezi muweka nje Firmino labda mumpangie jina lake
Bora tu ninyamaze
 
Kuna watu hapa waliandika kurasa ndefu sana hadi wakafikia eti Barca na Liverpool ukichanganya team hamna mchezaji wetu atakaye ingia first 11 ya Barca ile jana imecheza na Chelsea na watu hawa wakawa wanashangilia upuuzi ule!
Barca ile haimfungi Liverpool huyu hata wachezee Kirumba Stadium!
Mkuu maendeleo chini ya Klop ni makubwa sana
Mwaka wa kwanza nafasi ya nane
Mwa wa pili nafasi ya nne na sasa tupo robo final
Mwaka huu anamaliza runners wa Man City na kaja VVD na baadae Keita
Klopp anajua kuunda team!!
Mkuu lile basi chelsea anawapkia barca 2 ...a ngefunguka jana,m2 ka messi na suarez ingekuwa habari nyingine jana....afu m pia n shabiki ya barca ila kiukweli barca akicheza na liver kwa izi beki za liver uwepo 2 wa m2 anaeitwa messi anamaliza kila ki2 afu bado ya apo barca anamuoutplay liver ..liver atakuja kwa counter attack nyngi na anaweza akafunga ila kumbuka liver kule mbele inahtaj nafas nyng ndo ufunge so game ka iyo ya chance 2 mechi nzima liver lcz atakuwa outplayed lazma asande...afu kila timu ina mbabe ake kumbuka ilo
 
Nakuelewa sana Malafyale hao wasioona Maendeleo yoyote since Klopp amechukua timu waende kushangilia timu nyingine ili wanyanyue makwapa kila msimu. Klopp is there to stay.

Ukitoa Makombe basi Hakuna Kitu Chengine Chochote Ninachokihitaji Ndani Ya Liverpool...

• Hata Liverpool ifunge Magoli 200 kwenye Msimu Huu Kama Haijabeba Kombe lolote basis Kwangu Mimi nahesabu Timu imefanya vibaya visivyokubalika.
• Hata Kama [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG] tutakamata nafasi ya Pili, Kama Hatujabeba Kombe lolote basi Timu imefanya Vibaya Kwani si lengo La timu yoyote Kugombania Nafasi Ya Pili.
• Hata Mo Sala afunge Magoli Hamsini! basi Kama Liverpool haikubeba Kombe lolote tunahesabu Kuwa imefanya vibaya! Liverpool haikuundwa Kwa Ajili ya Kusheherekea Magoli Ya Mo Salah, Bali imeundwa Kwa ajili ya Kubeba Makombe.
• Mpira Ni Makombe na wala si jengine! Hile Kujisifia Gengenpressing, Heavy Metal Football, FABFOUR, Front Three, Pace... Bila ya Kombe basi Ni Mbwembwe tu zisizo na maana!

Ninakushangaa Sana Unaposema Kuwa Huna Haja Ya Makombe!! Kwanini Usipende Leeds United kama Hutaki Makombe?
Hivi Kwani Mpira na Heshima inapatikana Kwa Kugombania Top 4 au Kubeba Makombe?

Kumbe unachopenda Wewe Ni Mipasi mengi na Ball possession na wala sio Makombe?

Hivi Ni Maendeleo Gani Ya Liverpool unayojisifia bila ya Kikombe Hata cha Kahawa?

Au kukamata Nafasi ya Tatu kwenye ligi ndiyo Maendeleo?
 
Mkuu lile basi chelsea anawapkia barca 2 ...a ngefunguka jana,m2 ka messi na suarez ingekuwa habari nyingine jana....afu m pia n shabiki ya barca ila kiukweli barca akicheza na liver kwa izi beki za liver uwepo 2 wa m2 anaeitwa messi anamaliza kila ki2 afu bado ya apo barca anamuoutplay liver ..liver atakuja kwa counter attack nyngi na anaweza akafunga ila kumbuka liver kule mbele inahtaj nafas nyng ndo ufunge so game ka iyo ya chance 2 mechi nzima liver lcz atakuwa outplayed lazma asande...afu kila timu ina mbabe ake kumbuka ilo

Hivi Umeanza Kupenda Mpira lini?

Kama nimekuelewa Vizuri, Tokea Lini Barca akawa Mbabe Wa Liverpool?

Hebu fatilia Barca akikutana na Liver anafanywa Nini?

Chelsea msimu Ni wepesi sana! Lakini Subiri Huyo Barcelona wenu akikutana na Liverpool uone Kitakachomkuta..
 
Mkuu lile basi chelsea anawapkia barca 2 ...a ngefunguka jana,m2 ka messi na suarez ingekuwa habari nyingine jana....afu m pia n shabiki ya barca ila kiukweli barca akicheza na liver kwa izi beki za liver uwepo 2 wa m2 anaeitwa messi anamaliza kila ki2 afu bado ya apo barca anamuoutplay liver ..liver atakuja kwa counter attack nyngi na anaweza akafunga ila kumbuka liver kule mbele inahtaj nafas nyng ndo ufunge so game ka iyo ya chance 2 mechi nzima liver lcz atakuwa outplayed lazma asande...afu kila timu ina mbabe ake kumbuka ilo

Liverpool frontmen 3 wataifanya Barca kitu mbaya sana!
 
usichanganye masomo ndugu.
hapa tunamuongelea Klopp ambaye ssa yumo ndani ya msimu wake wa 3 lakini bado ameshindwa kutengeneza balanced team ya ku challenge for silverware.

i am not kinda person wa kushow my true nature kwenye hizi social platforms because watu wengi hutumia fake IDs, so ili kumaintain that "respect" huwa naamua kujitune ili heshima ibaki pale pale, but trust me, one of my biggest weakness ni "kuchukia watu ambao hawapendi kuwepo na utofauti wa mawazo na fikra kwa kila individual"

but today i want to allow the flow of my true nature, and honestly i think unapoteza muda wako kujaribu kuconstruct reasonable arguments na "a fool", huyo jamaa atakuwa na "autism disorder", ameshindwa kabisa kuifanya akili yake nzito kubadilika kutokana na dhana ya ukuaji wa binadamu, watu wa namna hii huwa wanajiona wapo right kwa kila kitu lakini in reality ni the most ignorant individuals in the world. kwenye hizi arguments zako ni rahisi za kwa mtu ambaye yupo open minded kuelewa kuwa unajaribu kuzichallenge weaknesses za Klopp (whilst admitting kuwa he's a good manager), but jamaa hapo anakazania tu you want KLOPP OUT, this man is an embarrassment.

let me tell you a weird story, back in 2013/2014 season, mimi pamoja na others reds kila siku tulikuwa humu calling for Rodgers head and begging for FSG to hire KLOPP, (mind you, hii ilikuwa ni msimu wa 2014/2015, ambapo kabla ya msimu huu tulikuwa tumetoka kumaliza nafasi ya pili), but these same top reds were telling us Rodgers is a good manager, kwamba katoka kutufikisha nafasi ya pili msimu uliopita kwanini afukuzwe?, na zile execuses kibao kuwa ahitahi muda, and weird enough ni kwa sisi tulikuwa tunamtaka Klopp kipindi ambacho alikuwa na msimu mbovu kule Dortmund, na hawa top reds wakawa wanatuambia humu "huyo Klopp mwenyewe hana jipya huko Dortmund, Rodgers apewe muda" and sadly later kwenye msimu uliofatia wa 2015/16 they jumped on RodgersOUT bandwagon baada ya things kuharibika kabisa, lakini kabla ya hapo tulikuwepo ambao tulikuwa tunamuhitaji Klopp kwa muda mrefu. and now these fools are here quashing everybody opinions on Klopp like they knew what he was made of back in 2014 when we were crying for him.

we wanted Klopp back then kwasababu tulishajua ubora wake, tulishajua anachoweza kukifanya, tulishajua kuwa ni WORLD CLASS MANAGER pekee ambaye anaweza kufanya kazi chini ya policies za FSG, we knew about these staffs long time ago, and these fools probs knew Klopp kipindi kile kwasababu tu alikuwa ni kocha maarufu (kama kina Sarri,Tuchel,Naingelsmann etc) but walikuwa hawajui what he is made of. so when i am criticizing Klopp for his stubbornness au vitu vingine ni kwasababu i know ni manager mzuri kiasi gani, kwasababu i know he's the only manager in ther world that can take this Club to another level if he want to do it RIGHT now. (he's that good). but ukimcrticise kidogo humu unaambiwa we Klopp out, so in this case who should more "Klopp Out", sisi ambayo tulikuwa tunamlilia tangu mwaka 2013, au these ignorant fools ambao walikuwa wanatuponda kwa kumlilia manager "alikuwa anastruggle kwenye easy league kama bundesliga kwa msimu ule" ?. These ignorant fools are so weird man.

now, they will tell you, Klopp inherited a shit team from Rodgers, wakati kipindi hicho wakati Rogders anatupa hela ya Suarez kwa kina Lovren walikuwa wana-msupport kwa makelele kibao, These stupid fools man.

Most of these top reds started to support this club in 2005 after that SG masterclass in Istanbul ndo maana wanaona kawaida Club kuspend more than 12 years huku ikibeba vikombe vitatu tu, rather than reading this club history kwenye internet, they know nothing about the size of this club, they know nothing about the power of this club, and with that being said they dont know the feeling of winning a trophy every season. utasikia wanakwambia tumeanza kushabikia this club tangu miaka ya 80, sasa mtu gani ambaye alianza kushabikia LFC tangu kipindi hicho anakuwa hana njaa ya makombe? kwasababu shabiki wa namna anaijua how LFC ruled europe back then. these top reds huwa wanapenda kuonekana ni wakongwe wa kuishabikia LFC but they useless arguments can tell you wanaijua vipi LFC, and honestly sijawahi kukutana na "an ignorant LFC fan" kama huyo jamaa, he's such a troll.

nakumbuka baada ya KLOPP kufail kushinda fainali zote mbili ule msimu wa 2015/16, kuna reds walimuattack sana humu Klopp, mmoja wapo akiwa ni Tisha toto, nakumbuka tulibishana kuhusu Klopp mpaka ile ishu ikaenda personal (tulivunjiana heshima), because i was defending Klopp and Tisha toto was demanding an immediate impact kutoka kwa Klopp, Aisee things got messier kwenye mabishano, but you know what i came to realize later on?, ni kuwa huyu Tisha toto alikuwa ameshashuhudia kina Barnes and other LFC legends winning trophies for LFC back then, hapo nikaelewa kuwa this man missed his old LFC and most of all missed them trophies, so tulivyoingia zile finals alikuwa atapata ahueni kidogo, thats why tulivyomiss-out he was madly pissed off, and these are kinda reds who have lived LFC for the most of their life you want to associate with, siyo hawa useless bums ambao kila kukicha wanamka kwaajili ya kupiga watu "shades" kwasababu tu they are entertaining their rights to share their opinions on this platforms. our Country ipo katika shit situations in terms of politics, so pale unapoamua kuja kureflesh your mind humu unakutana na fools wenye same mentality kama ya hawa viongozi wetu ya kuzuia watu kuexpress their opinions kwasababu tu zitaumiza feelings. These stupid fools are cancerous.

back then when i had that feud with Tisha Toto, nilimwambia hiki kitu kuhusu Klopp na nitaendelea kuamini hiki nilichomwambia siku zote.
 
Attachments

  • wp_ss_20180220_0001.png
    wp_ss_20180220_0001.png
    9.7 KB · Views: 58

Similar Discussions

Back
Top Bottom